Nilidhania ameoza tu, kumbe kabakia mifupa tu!

shungurui

JF-Expert Member
Sep 1, 2008
3,765
5,153
Toka alipokuwa anafanya halakati za kuingia mjengoni, na hatimaye amefanikiwa kuingia mjengoni,sikutegemea lolote toka kwake hasa ukiangalia historia ya ufanisi wake wa kazi huko aliko pitia.

Katika hili tulitofautiana na wengi sana kipindi cha mwanzoni.

Ila sikutegemea angefanya mambo ya ajabu ambayo kwa mtu mwenye akili zake timamu hawezi kuyafanya kwa nchi yake na wananchi wake (yaani waislamu wenzake,wakristo na wapagani) wa Tanzania hii yenye rasilimali nyingi za ambazo tungezitumia vizuri tusingekuwepo hapa tulipo na wala tusingeyapata yaha tunayoyapata.

Yaani nilijua ameoza tu,kumbe "nilimuunderestamate" alishabakia mifupa tu.
Wadanganyika wenzangu Openi your Mind, not your Eyes.
 
Tehe tehe, duh umemchoka si kawaida, mpotezee tu utaumiza kichwa.
 
Mzee mbona hii ni public info, hata bibi yangu (70+ and never been in a class room) anajua jamaa ni mweupe, na alishangaa ilikuwaje akapata asilimia 61 kwenye uchaguzi uliopita wa 2010!
 
Laiti Olymipic ingekuwa na mchezo wa Kiduku naimani angetuletea medal ya Gold!
 
Tangu lini mswahili akaweza kazi? Tangu alipoteuliwa rasmi na chama cha magamba kule Dodoma nilijua watanzania tusahau kitu kinachoitwa maendeleo kwa muda wa miaka 10. Unajua tatizo la chama cha magamba mtu akiwa rais hata awe kigwendu lazima atamaliza miaka kumi.
 
Then Ujumbe huu usiishie Hapa tu upeleke kwa Bibi yako na Babu yako kule kijijini nami niupeleke kwa Mjomba wangu anayechomwa na Miba akichunga Ng'ombe kule Polini kwa kuwa WAO ndiyo waliompa hiyo 61%
 
Walimpa chini ya 61, akajazia na za kuiba ndo ikafika 61...
Then Ujumbe huu usiishie Hapa tu upeleke kwa Bibi yako na Babu yako kule kijijini nami niupeleke kwa Mjomba wangu anayechomwa na Miba akichunga Ng'ombe kule Polini kwa kuwa WAO ndiyo waliompa hiyo 61%
 
Changiane lakini mcpende ku2mia dini na kumponda m2..kama mkosaji m1 kwann mhusishe na waumini wa dini nyingine?
 
Angalau saa hizi anajitahidi kuondoa harufu ya uozo mwilini mwake!
 
mtapoteza nguvu zenu kwa kumtafakari yeye maana ni Nyani asiyeliona KUNDULE bali analiona ***** la Gbagbo, mamvi, muiran, na la mzee wa vijisenti, ***** lake hata halioni!
 
Ndio Rais wenu hata mtapike hapa JF! Mtasema mtalala! Yeye anaendelea na ninyi mtabakia na kijiba cha roho!
 
Maneno ya kiswahili hayo sasa,kijiba cha roho maana yake nini?au ndio taarabu imeanza hivyo?

ama kweli we kichomi nadhani hata babako unamsumbua sana.huna point unaongea kama mtu aliefyatukiwa
 
Ndio Rais wenu hata mtapike hapa JF! Mtasema mtalala! Yeye anaendelea na ninyi mtabakia na kijiba cha roho!

Wewe ni miongoni mwa mb.... koko wanaokota mabaki ya mkw.... anayosaza na kutupa kwenye jalala. Hayo ni maneno ya mtu aliyevimbiwa uchafu. Katika nchi hii inawezekana ni wewe tu mwenye mawazo hayo. I am sorry for you!
 
Toka alipokuwa anafanya halakati za kuingia mjengoni, na hatimaye amefanikiwa kuingia mjengoni,sikutegemea lolote toka kwake hasa ukiangalia historia ya ufanisi wake wa kazi huko aliko pitia.

Katika hili tulitofautiana na wengi sana kipindi cha mwanzoni.

Ila sikutegemea angefanya mambo ya ajabu ambayo kwa mtu mwenye akili zake timamu hawezi kuyafanya kwa nchi yake na wananchi wake (yaani waislamu wenzake,wakristo na wapagani) wa Tanzania hii yenye rasilimali nyingi za ambazo tungezitumia vizuri tusingekuwepo hapa tulipo na wala tusingeyapata yaha tunayoyapata.

Yaani nilijua ameoza tu,kumbe "nilimuunderestamate" alishabakia mifupa tu.
Wadanganyika wenzangu Openi your Mind, not your Eyes.

Nani huyo unayemsema? hebu toa dondoo zaidi ya hii ya udini ili tukupate vizuri. Vinginevyo tunashindwa kuchangia hii hoja yako ambayo mpaka sasa ni hoja tata.
 
Nani huyo unayemsema? hebu toa dondoo zaidi ya hii ya udini ili tukupate vizuri. Vinginevyo tunashindwa kuchangia hii hoja yako ambayo mpaka sasa ni hoja tata.

Mjengoni ni Ikulu
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom