Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wa Z'bari wapinga rasimu ya katiba, Wanataka wajadili muungano sio katiba ya tanzania,wakati wazanzbari wanayo katiba yao. Wanataka tanganyika izaliwe upya ili ndio mjadala ufanyike wa muungano...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kwa hali ninayoiona humu ndani ya jf,chadema wakipewa hii nchi watakuja kuondolewa na mabomu ya UN siyo kura!yaani viongozi wa cdm na wapenz wao ni wabinafsi,wasiopenda kuambiwa ukweli!vile vile...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
:welcome:
0 Reactions
3 Replies
1K Views
ni yule aliyezuia chadema-moshi kulipia watoto wa shule ada kwa madai kuwa wazazi watakosa uchungu wa elimu kwa watoto wao. eti na yeye (kinabo) ni mfanyakazi hodari.
0 Reactions
44 Replies
6K Views
Wana JF Dalili zinaonyesha kuwa upo mkakati mkubwa umesukwa kuivuruga CHADEMA kwa mbinu mbalimbali. Kwa mfano ukiangalia kwa sasa mara baada ya CCM kumtosa EL na RA vyombo vya habari vya ITV na...
1 Reactions
33 Replies
4K Views
Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, Mch Mtikila amekuja na mpya kuhusu CCM "...........Kuhusu hatima ya CCM na kile alichokiita usanii wa kujivua gamba, Mchungaji Mtikila alisema chama hicho...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Hata hivyo Spika Makinda alielezea jinsi anavyokerwa na baadhi ya wasomi ambao huwapotosha wananchi kuhusu Muswada wa kuundwa kwa tume itakayoratibu mchakato wa wananchi kutoa maoni kuhusu Katiba...
0 Reactions
31 Replies
3K Views
Katika kipindi cha mahojiano mnamo tarehe 24/03/2011,Dr Hans Kitine mbali na mambo mengine alidiriki kuangazia ndani ya serikali hii kwa sasa na kusema moja kati vitu vinavyochangia ukosefu wa...
1 Reactions
25 Replies
7K Views
Soma watanzania wanavyoteswa marekani
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Kuna taarifa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama, ameita mkutano wa wahariri wa vyombo vya habari muda huu kwenye Hotel ya Peacock jijini Dar es Salaam. Hebu wahariri tupeni yaliyojiri mkiwa...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Rais Jakaya Kikwete amekemea watu wanaotaka kuhodhi mjadala wa mchakato wa kupata katiba mpya na amewafananisha na madikteta. Amesema watu hao wanajiona kuwa wao ndio wenye mawazo mazuri kuliko...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Jamani tunaomba mwenye taarifa atujuze kuna nini Sinza FFU wengi sana Sinza na magari wamewasha taa.
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Jamani, siku hizi kama wewe ni mfanyakazi au hata mwananchi wa kawaida kila unapojaribu kuhoji kitu hasa serikali au kwenye mashirika ya umma unaambiwa wewe ni Chadema. Hivi hawa watu waliopo...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
MADIWANI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji wamegomea kikao cha Baraza la Madiwani kwa kile walichoeleza kuwa ni kupinga kupewa makabrasha ya mkutano siku...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Wakuu Tujalidi hii Picha kwa kuangalia Tutakomboa vipi Taifa letu kwa kutafakari picha hii:
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Hivi JK anapowaasa Watanzania kuwakataa madictator anamaanisha nini? Hao madictator ni akina nani?
0 Reactions
1 Replies
2K Views
wakuu sikuwa na muda wa kumsikiliza jk kwenye hotuba yake kama kuna mtu anayo nihabarishe tafadhali mambo kama 1.mishahara kwa wafanyakazi 2.Hali ngumu ya maisha 3.Uchumi wa nchi nk
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Nishaona na kusikia nyoka kajivua gamba Lakini hili la majoka ya aina moja kujivua gamba kwa wakati mmoja na sehemu moja sijaona wala kusikia. Kinachonisumbua zaidi ni tafsili yake nini na...
0 Reactions
2 Replies
3K Views
  • Closed
Habari iliyoandikwa na gazeti linalomilikiwa na Ridhwani Jamboleo la Jumatatu limeelezea kuwa Dr wa Ukweli anamsingia RZ1 kuwa bilionea wakati yeye ni milionea. MY TAKE: Kwa umeri na kazi...
1 Reactions
32 Replies
4K Views
Ninaandika maoni haya kwa msaada mkubwa sana wa makala ya "CCM, Kikwete na Mafisadi" iliyoandikwa kwenye gazeti la Raia Mwema namba 183, la aprili 27. Mwandishi wake amechambua mambo vizuri na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom