Chadema kama Gbagbo! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Chadema kama Gbagbo!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tolowski, May 2, 2011.

 1. T

  Tolowski Senior Member

  #1
  May 2, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Kwa hali ninayoiona humu ndani ya jf,chadema wakipewa hii nchi watakuja kuondolewa na mabomu ya UN siyo kura!yaani viongozi wa cdm na wapenz wao ni wabinafsi,wasiopenda kuambiwa ukweli!vile vile wanapenda kila mtu awasifie hata kama wanaharibu!!ona now wanavyowasema vibaya mwananchi na mtikila,kisa eti wameongea kinyume nao!! Natamani kitokee chama cha upinzani cha ukweli tanzania nijiunge nacho!SIO HIKI CHAMA CHA WAHUNI
   
 2. K

  Kijallo JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  na hicho ulichonacho sasa ni cha wakinanani,wahuni wako kule......
   
 3. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Magamba sasa yamejaa JF:

  Join Date : 28th April 2011
  Posts : 3
  Thanks 0
  Thanked 0 Times in 0 Posts  Rep Power : 0
   
 4. Tuko

  Tuko JF Bronze Member

  #4
  May 2, 2011
  Joined: Jul 29, 2010
  Messages: 11,186
  Likes Received: 396
  Trophy Points: 180

  Kwa akili yako inabidi kitokee chama cha mata.ko ndo ujiunge nacho...
   
 5. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Nyani halioni kundule , wewe je ?
  Join Date : 17th March 2011
  Posts : 251
  Thanks 21
  Thanked 25 Times in 19 Posts

  Rep Power : 21​
   
 6. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sidhani kama utaepuka BAN aisee !
   
 7. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #7
  May 2, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 85
  Trophy Points: 145
  Hili ni dhahiri sana. Ghafla tunaanza kuona posts nyingi za watu waliojiunga JF hivi karibuni na posts zao nyingi ni kuchafua CDM. Kwa taarifa ya hao wageni mamluki, humu jamvini tunajadili mambo ambayo yanaleta maslahi kwa jamii nzima ya Tanzania. Ni kwa sababu ccm imekuwa ikiongoza nchi huku ikiruhusu ufisadi mkubwa ufanyike, ndio maana chama hicho kinatupiwa madongo sana. CDM kimekuwa kikitetea maslahi ya jamii ya Kitanzania, na mtu yeyote ambaye ataanza kuhujumu utetezi wa maslahi ya walio wengi, huyo ni msaliti.

  Kwa hao wasaliti, mamluki, nawaambia: juhudi zenu zitagonga ukuta, maana mwenye haki, daima anashinda.
   
 8. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Msiumize kichwa jamani,hii ni lazima ingetokea baada ya Babu yao kutamka......,,,,,wakaribisheni tu wakichoka wa watakimbia wenyewe
   
 9. T

  Tolowski Senior Member

  #9
  May 2, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 122
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ukweli waumaga!wanachadema hawapendi kuambiwa ukweli!mtakufa kama osama
   
 10. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #10
  May 2, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,228
  Likes Received: 4,949
  Trophy Points: 280
  Ashukuriwe aketiye enzini ambaye kwa amri yake aliumba binadamu mwenye akili timamu na milango kamilifu ya ufahamu ila kwa ulafi wa kuahidiwa mbingu na ibilisi mwanadamu huyo huyo akajaribu kumkosoa muumba! Ole wenu! Saa ya hukumu yaja!
   
 11. Monstgala

  Monstgala JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2011
  Joined: Aug 25, 2009
  Messages: 1,080
  Likes Received: 77
  Trophy Points: 135
  Acha uvivu na lawama... take your time to find out what is behind huyo mwandishi Ramadhan Semtawa na Zitto then you have all the right to say what you want to say...

  kwa kukusaidia angalia (click the link) habari anazoandika huyu mtu kisha changanya na zako na za mbayuwayu..

  Moto wawaka Chadema, NI VITA YA KAMBI ZA MBOWE, ZITTO

  Zitto apata kigugumizi kumzungumzia Kikwete

  Zitto akabwa koo jimboni

  Mgodi wa Sh7 bilioni, wauzwa kwa Sh90m

  Mwananchi Habari|News::Zitto atembea na barua ya kujiuzulu Chadema

  Makatibu wakuu wapunguziwa "kula"

  Meremeta na Tangold kukaguliwa
   
 12. Wa Kwilondo

  Wa Kwilondo JF-Expert Member

  #12
  May 2, 2011
  Joined: Sep 15, 2007
  Messages: 1,083
  Likes Received: 136
  Trophy Points: 160
  watu wa dizaini hii tumewapokea wengi sana hapa JF na wameondoka na watakuja wengi tu hapa wacheni waje wametumwa
   
 13. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,126
  Likes Received: 1,705
  Trophy Points: 280
  naona umeandika ili emotions zako zitulie, leta nyingine!
   
 14. Mkenazi

  Mkenazi Senior Member

  #14
  May 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 124
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Jamani msitulaumu sisi, tumejua JF baada ya utafiti wa Mukama na Pius M kusema ni hatari kwa CCM. Kwa hiyo msitushangae tunatafuta kupanda chati kupitia humux2.
   
 15. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #15
  May 2, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Leo kazi ipo. kila mahali Chadema! Jamani hii tenda ya kuishambulia Chadema inauzwa kwa Shilingi ngapi?
   
 16. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Jivueni magamba, mmebadilika sura baada ya ruzuku kuongezwa, sasa kimekuwa chama cha ponda mali kufa kwaja !
   
 17. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #17
  May 2, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Mkuu Dingswayo heshima mbele.
  Napenda kutofautiana na wewe katika jambo la msingi kabisa.Wazo au idea itabaki kuwa hivyo hadi hapo litakapopatikana wazo mbadala au lunalopinga wazo la awali.
  Nichango mingi ya "wageni" ndani ya JF ni kweli imekuwa ikiipinga CDM lakini, kwa mantiki ya yale yanayoonekana na kujulikana kupitia vyombo vya habari.
  Mimi sijifichi ni mwana CCM lakini nilipinga sana mafisadi na ufisadi ndani ya chama tawala.Nilipinga vile vile hali ya kutelekeza miiko ya uongozi ndani ya utawala.
  Tunashukuru kuwa yameanza kushughulikiwa ingawaje kwa spidi ndogo.Tunataka nini zaidi?Damu imwagike ndio tuone kuwa mambo yanashughulikiwa?Time will tell on the sincirety of the "Kuijivua Gamba" theorem na matokeo yake.
  Tulio wengi tulichokiona kule ndani ya CCM ndio hicho hicho likichomo CDM, wafanyabiashara walionzisha CDM ni kama wale mafisadi, kwa muelekeo wao na matendeo.
  Sasa wana JF, hata akiwa mgeni akilaumu hilo utamwita mamluki?
  Huo ni ukosefu wa kufikiri kwa maana ile tuhuma haiondoki kwa kujibu matusi.Jibu sahihi na maelezo kutoka kwa mwana JF litatosheleza, na kuna viongozi wengi tu wa CDM humu JF.
  Jibuni hizo tuhuma.
  Kufikiria kuwa CCM itachukiwa daima ni shortsightedness and naive.
  Lazima CDM ikubali kuwa wananchi wanaichunguza CDM kwa macho yale yale taliyokuwa yakiichunguza CCM.
  Hatutaki kuondoa fisadi katika chama kimoja ili tutawaliwe na fisadi aliye chama kingine.
  CDM get your house in order.
   
 18. Tiba

  Tiba JF-Expert Member

  #18
  May 2, 2011
  Joined: Jul 15, 2008
  Messages: 4,511
  Likes Received: 95
  Trophy Points: 145
  "Gamba" karibu jamvini kutekeleza ahadi ya Msekwa!!!!

  Tiba
   
 19. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #19
  May 2, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Well said !
   
 20. Mpaka Kieleweke

  Mpaka Kieleweke JF-Expert Member

  #20
  May 2, 2011
  Joined: Feb 27, 2007
  Messages: 4,137
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Eti kwenye mkakati wao wanasema kuwa ndio kuiteka JF iwe ya CCM kwa kushambulia , kumbe hawajui watu hapa wanaangalia hoja na sio nani kamshambulia nani zaidi .
   
Loading...