Wa Z'bar wasema bila ya Tanganyika hakuna mazungumzo ya katiba

GHIBUU

JF-Expert Member
Jan 13, 2011
4,432
3,006
Wa Z'bari wapinga rasimu ya katiba,
Wanataka wajadili muungano sio katiba ya tanzania,wakati wazanzbari wanayo katiba yao.
Wanataka tanganyika izaliwe upya ili ndio mjadala ufanyike wa muungano sio katiba.
Wataka mjadala huu wa mazungumzo uwe na walikishaji sawa sawa kwa pande zote mbili.
Wanataka tanganyika ijitoe katika koti la muungano,ili waweze kuchambua mambo ya muungano.
Wanataka wazihirishiwe ikiwa tanganyika ipo kama ndo hii tanzania basi itangaze kuwa tanzania ni jamuhuri ya watu wa tanzania sio ya muungano,,,,,ili tujadili upya muungano mpya na utafutiwe mfumo mpya sio huu tulionao,m1 kuvaa koti lamuungano.

Ikiwa haya hawayataki ccm,basi bora muungano uvunjike. 218173_10150146350811176_721596175_6946051_3575373_n.jpg
 
Muungano umo kwenye mashaka makubwa na nathubutu kusema Muungano uko kwenye "LIFE SUPPORT" - INTENSIVE CARE UNIT. It was LOUD and CLEAR kama muasisi wa muungano mmoja alivotaamka zanzibar akiwueleza mwenzake waliokuwa pamoja kwa miaka mingi tu - Bw. Samuel Siita, "IT'S OVER".
 
Ipigwe kura ya maoni kuhusu muungano thn kitakachoamriwa ndo hicho ...thn mambo mengine yafuatie
 
Yaani tuulizwe kama tunataka uhuru wetu?

Kwani lini tuliulizwa kama tunataka kuungana?

I dont think so, zanzibar for zanzibaris, tanganyika mliiua wenyewe mtajua vya kufanya.

"Its now or never" - Waziri Mansour Yusuf Himid
"Bwana sitta, its over" - Hassan Nassor Moyo, CCM Veteran and Former Union Minister
 
Zanzibar wajanja sana na sisi wabara tumebaki kukubali kila wanachotaka Wazanzibar eti ili tuendelee kuulinda muungano ambao Watanganyika tunanyonywa sana kimaslahi na karibu nyanja zote
 
Zanzibar wajanja sana na sisi wabara tumebaki kukubali kila wanachotaka Wazanzibar eti ili tuendelee kuulinda muungano ambao Watanganyika tunanyonywa sana kimaslahi na karibu nyanja zote


Mkuu Boma,

Hapa tunahitaji ufafanuzi mkuu. Zanzibar ujanja wake nini na wamenasa kwenye mtego wa Tanganyika?

Mmekubali kipi kwa Zanzibar?

Kuna haja gani tena ya kuulinda Muungano kwa hali hio ulioieleza?

Unaonaje kila mtu akawa na lake, halafu ndio tukatafuta namna bora ya kuungana kwa misingi ya kuaminiana na kuheshimiana?
 
Back
Top Bottom