Madictator ni akina nani hasa?

Konakali

JF-Expert Member
Dec 15, 2009
1,533
263
Hivi JK anapowaasa Watanzania kuwakataa madictator anamaanisha nini? Hao madictator ni akina nani?
 
average student wa elementary school anaweza kutoa maamuzi mazito kuliko huyu bwana! Hatujasahau alikiri kutomjua mmiliki wa Dowans,kisha akaja na ya kutojua kwanini watanzania ni masikini,kabla hakujakuchwa akafungua miradi anuai ambayo baadae Tanroads wakavunja,....ni juzi tu alitoa "agizo" la kuvunja uzio wa Jangwani na siku chache baadae ukatolewa ujumbe wa "hatuvunji"...sasa anakuja na kilio cha kuwakataa madictator...kwani yeye ni nani? ana maana gani kuwa kocha wa timu ambayo kila mchezaji ana maamuzi yake mwenyewe...kwanini asituoneshe basi "baba" ambaye tutakua tukimlilia machozi yetu moja kwa moja badala ya kuweweseka ovyo?
 
Back
Top Bottom