Hali ya hatari kwa CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hali ya hatari kwa CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Joblube, May 2, 2011.

 1. J

  Joblube JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Wana JF

  Dalili zinaonyesha kuwa upo mkakati mkubwa umesukwa kuivuruga CHADEMA kwa mbinu mbalimbali. Kwa mfano ukiangalia kwa sasa mara baada ya CCM kumtosa EL na RA vyombo vya habari vya ITV na Redio one vimegeuza mwelekeo na sasa vinapenyeza kiaina habari mbaya zote zinaelekezwa kwa CHADEMA ili kuifanya CDM isikubalike na wananchi.

  Upo mkakati unafanyika ili kuwavunja nguvu wabunge wa CHADEMA wakose kujiamini bungeni unaofanywa na Spika wa bunge na baadhi ya vyombo vya habari ikiwemo Radio one na ITV ili ionekene kuwa wabunge wa CHADEMA hawajui kanuni za bunge mfano Spika Makinda ameripotiwa kuwa Bunge la bajeti la mwaka huu itabidi lianze kwa wabunge kufundishwa kanuni kwani eti wabunge wengi hasa wa upinzani ni wapya hawajui kanuni wanaropoka hovyo bungeni hii si kweli hata kidogo wote tunafuatilia bunge na tuna macho ni ujinga kutufanya hatujui nani hafuati kanuni. Mtaona pia yale yaliozungumzwa wiki iliyopita na Katibu wa Bunge ilikuwa moja ya mbinu za mkakati huo unaoratibiwa kistadi isivyorahisi kugundulika na mwanachi wa kawaida.

  Mkakakati mwingine ni kuwatumia wabunge mamluki waliondani ya CHADEMA kuanzisha vurugu kwa kutafuta hoja za kuvuruga chama.

  Nilitoa angalizo mapema kuwa CCM sasa watatumia sana wale waandishi mahiri ambao wanaaminiwa na wananchi kuivuruga CHADEMA.

  CHADEMA isimame imara kwani ikikubali kuvurugwa kama vyama vingine vilivyosambaratishwa na CCM itakuwa ndio mwisho wa imani ya wananchi wa nchi hii kwa vyama vya upinzani. Kumbukeni CHADEMA kilivyosaidia watu wengi kuamka na kujua haki zao na kimefanya CCM kujikuta kiko uchi na wizi wa mali za uuma umepungia. CHONDECHONDE kuweni makini. MUNGU IBARIKI TANZANIA MUNGU ILINDE CHADEMA.
   
 2. M

  Marytina JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Chadema tayari imeshakuwa 'hisia' ukombozi -imezama vichwani mwetu kama moshi wa bangi unavyozama kwa mtumiaji

  Hata likifa jina CDM hisia za kiukombozi hazitakufa daima till malengo yamefikiwa
   
 3. L

  LAT JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  habari hii imeletwa kwenu na ubongo wa Joblube
   
 4. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Huu mkakati upo

  Genge la wahuni nimelipa hela ya kutosha pale CLOUDS FM
   
 5. L

  Lilombe JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 242
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  cdm wakaze buti waondoe mifarakano baina yao. Chama kiepuke kusikiliza mawazo ya upande mmoja; kuna watu wanajifanya wao ni bora kuliko wengine.

  mbunge kama lema anajiona yeye ni damu ya chadema kuliko zito wakati ambapo kimawazo zito yuko juu; cdm inaharibiwa na uriho wa madaraka na ufisadi wa akina mbowe
   
 6. M

  Makupa JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Ni lazima hiki chama kiitishe uchaguzi mkuu mapema kwa ajili ya kumwondoa mwenyekiti uwezo wake huendani na matakwa ya cdm kwa sasa msipojivua gamaba hiki chama kitakuwa kama NCCR ama TLP
   
 7. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #7
  May 2, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Mhmm hii habari ina matatizo kidogo! Hapa hoja ni ipi?
  1. CCM imewatosa EL na RA; na imewatosa lini Wakuu! au hizi ndio habari za Pwagu na Pwaguzi!
  2. Mkakati Mkubwa wa kuivuruga CDM! Mbona hakuna Mpango Mkakati ulioainishwa hapa?
  Sahamani sana wakuu mi naona kama hizo hoja mbili zimekaa hapo pamoja lakini zina maudhui tofauti ukiachiambali kuwa zote hazina ushahidi, lakini ya kwanza imefanyika lini labda mimi ndio sina taarifa naomba kufahamishwa CCM imewatosa hao watu lini na wapi? au hii habari ina lenga kutu adaha kuwa tayari wametoswa hivyo hatuna budi kuridhilika maana sasa mambo yapo shwali? huo sio uongo wakuu?

  Habari ya pili, pia naona kama ipo hapa kusherehesha habari namba moja, yaani hoja ya kusimika uongo.

  Mtoa taarifa naomba kuwekwa sawa, CCM imewatosa lini hao watajwa? pia lete ushahidi wa Mpango wa kuivuruga CDM kichwa cha habari hakitoshi kuwa ushahidi hata kama kinafurahisha.
   
 8. J

  Joblube JF-Expert Member

  #8
  May 2, 2011
  Joined: Mar 4, 2011
  Messages: 367
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Hawa ndio wale walio na kazi ya kuibomoa CDM haiwezekani ukimbilie mambo ya uchaguzi kuwaondaa watu waliokijenga chama. Hizi ndio njama za kina Zitto zisizo na mashiko.
   
 9. T

  The GreatMwai Member

  #9
  May 2, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 43
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0

  Naunga mkono mawazo haya ni ya msingi, kuleta hoja zilizo na walakini kwa maana ya kutokuwa na ushahidi itaondoa hata maana ya great thinkers.
   
 10. Lole Gwakisa

  Lole Gwakisa JF-Expert Member

  #10
  May 2, 2011
  Joined: Nov 5, 2008
  Messages: 3,962
  Likes Received: 403
  Trophy Points: 180
  Hii ni pumba tupu.
  CHADEMA itajivuruga yenyewe kwa kutokuwa na muelekeo sahihi unaopendwa na wananchi wa kawaida.
  Full stop.
  Kilio cha ufisadi ndani ya CCM na Serikali kimeeleweka vyema, lakini hiyo si sera ya kukipeleka CDM Ikulu.
  Kwa taarifa yako mafisadi(wafanyabiashara) walioko CCM ndio hao hao walioko CDM.
   
 11. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,921
  Likes Received: 454
  Trophy Points: 180
  duh watu wako bize na osama kuleeeeeee...!!
   
 12. d

  daniel.nickson Member

  #12
  May 2, 2011
  Joined: Apr 30, 2011
  Messages: 33
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  nafikiri baada ya mwamvuli(SAMWELI SITTA), Kuondolewa juu ya makinda na baadhi ya watu ndani ya ccm kwa malengo yao binafsi bila kufanya tathmin juu ya uwezo wa makinda wakitegemea kwamba watafanikisha malengo yao inaweza ikawa kinyume cha mambo kwasababu kwa muda huu mfupi kila mtu mwenye akili timamu bila kujali kama amesoma au la anamdharau makinda. kwahiyo mimi sioni kama makinda ni mtu mwenye akili ya kuyumbisha wabunge wa chadema, lakini ni vizuri pia chadema wakachukua tahadhari kwa kuwa makini zaidi ili mwisho wa siku adui zetu waumbuke.
   
 13. Wa Ndima

  Wa Ndima JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2011
  Joined: Aug 13, 2010
  Messages: 1,512
  Likes Received: 39
  Trophy Points: 145
  Hivi Makinda Adv. Diploma anaweza kuzuia nguvu ya CDM?
   
 14. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #14
  May 2, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Huu upuuzi mtupu! Cdm haiwezi kuvurugwa na wapumbavu wa CCM kwani wao hawani upeo wowote kwa sasa, nani mwenye uwezo hou? Kwani wajinga wale wa cloudsfm ndio wameshika akili za watanzania? Atakayevurugwa ni mpuuzi yeye binafsi sio sie wenye uelewa. hata hii mada pia haina mantiki zaidi ya uoga usio na maana. Mimi ni mpigania haki wa kweli tena siyumbishwi eti kisa spika kasema hili au coulds wamezusha lile, ninajua ninachotaka full stop. "You can cheat some poeple some time...but you cant cheat all the people all the time' CCm inakufa haiwezi kuacha kutapatapa
   
 15. Mchaka Mchaka

  Mchaka Mchaka JF Bronze Member

  #15
  May 2, 2011
  Joined: Jul 20, 2010
  Messages: 4,530
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Zitto=hopeless
   
 16. i

  ismila Member

  #16
  May 2, 2011
  Joined: Apr 28, 2011
  Messages: 17
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 3
  Tatizo la CDM ni lao wasizingizie CCM kwani pale kuna umwinyi;kuna wanaojionna wao ndo wenyewe na mvurugaji wa CDM ni MBW kwani anafanya udikteta na zito anaimamia haki htaki kuburuzwa.MBW anajenga MTANDAO wakati anajua mtandao umeshaua CCM utaiua CDM pia
   
 17. Mawenzi

  Mawenzi JF-Expert Member

  #17
  May 2, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 1,261
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 0
  Well said!! You can kill a person but never an idea
   
 18. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #18
  May 2, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Sasa hili la ufisadi wa kununua magari chakavu nalo ni la CCM ? mlaumuni Slaa (katibu wenu) ambae alileta na alipendekeza kwenye kamati kuu hoja hii ili hali anajua ni kinyume na sheria za manunuzi ya nchi. Zitto kusema ukweli imekuwa hamuutaki. Msimtafute mchawi jivueni magamba !
   
 19. M

  Makupa JF-Expert Member

  #19
  May 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Mbona hamdhubutu kuweka sifa za menyekiti wenu wazi
   
 20. t

  thinktank Senior Member

  #20
  May 2, 2011
  Joined: Mar 11, 2008
  Messages: 132
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Na kitakachofanya CDM kufa mapema kuliko ilivyotarajiwa ni kujisikia na pia kutokujipambanua kisera na kimkakati.Tatizo kubwa la hiki chama kimekumbatia matajiri wakubwa na kuwadharau wazalendo na watu wasioegemea siasa za ubinafsi kama kina Zitto.
   
Loading...