Tujadili hii Picha kwa kulenga Mstakabali wa taifa letu. | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Tujadili hii Picha kwa kulenga Mstakabali wa taifa letu.

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Arafat, May 2, 2011.

 1. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Wakuu Tujalidi hii Picha kwa kuangalia Tutakomboa vipi Taifa letu kwa kutafakari picha hii:

  Jakayafriend[1].jpg
   
 2. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,083
  Likes Received: 881
  Trophy Points: 280
  kama ni picha tujadili na hii hapa.
   

  Attached Files:

 3. pangalashaba

  pangalashaba JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 1,083
  Likes Received: 881
  Trophy Points: 280
  huku ndipo tunapoelekea kama tusipozingatia hiyo picha ya kidemokrasia aka sauti ya watu.
   
 4. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  simply tu kutafakari picha kulikomboe taifa!! mmmh let me be aside nitazame!
   
 5. Mkulima wa Kuku

  Mkulima wa Kuku JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2011
  Joined: Jan 13, 2011
  Messages: 1,259
  Likes Received: 81
  Trophy Points: 145
  Hawa inaonyesha ni marafiki wakubwa wa pete na kidole...unadhani iwapo Gadaffi atakimbia Libya sehemu ya kwanza kukimbilia wapi kama si kwa rafiki mpenzi mkubwa? Nasikia tetesi kuwa baada ya kukoswakoswa ameshakimbilia kwa rafiki yake waliyepiga naye picha...siwezi kupinga kwani kama mnakumbuka rafiki wa Kambarage "Obote" naye mambo yalipomchachia alikimbilia kwa rafiki yake akatunzwa kule Lushoto kwa miaka lukuki.
   
 6. saragossa

  saragossa JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2011
  Joined: Jan 3, 2011
  Messages: 2,141
  Likes Received: 148
  Trophy Points: 160
  da
  dah! mkuu hii picha ni nomaaa!
   
Loading...