Ridhwani sio Bilionea ni Milionea tu | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ridhwani sio Bilionea ni Milionea tu

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by OgwaluMapesa, May 2, 2011.

Thread Status:
Not open for further replies.
 1. O

  OgwaluMapesa JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2011
  Joined: May 24, 2008
  Messages: 10,948
  Likes Received: 45
  Trophy Points: 145
  Habari iliyoandikwa na gazeti linalomilikiwa na Ridhwani Jamboleo la Jumatatu limeelezea kuwa Dr wa Ukweli anamsingia RZ1 kuwa bilionea wakati yeye ni milionea. MY TAKE: Kwa umeri na kazi anazofanya rz1 umilionea kaupataje? Wadau naomba ufafanuzi
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Bullshi.t RZ1 muda wako unahesabika na baba yako
   
 3. M

  Marytina JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,037
  Likes Received: 44
  Trophy Points: 145
  Mtoto wa Gadaffi auwawa
  Mubaraka na wanawe washikiliwa
  Watoto wa Sadam wauwawa
   
 4. Limbani

  Limbani JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2011
  Joined: Apr 24, 2008
  Messages: 1,438
  Likes Received: 91
  Trophy Points: 145
  Hivi wale watoto wa Mobutu wakao wapi? Walikuwa na hela sana wale enzi hizo wakiimbwa na Wenge na Koffi..
   
 5. L

  LAT JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Osama na mwanawe Hamza wauwawa
   
 6. L

  LAT JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 4,523
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 0
  Kongolo Mobutu Seseseko Kuku wa Zabanga .....
   
 7. Msarendo

  Msarendo JF-Expert Member

  #7
  May 2, 2011
  Joined: Jan 29, 2011
  Messages: 9,135
  Likes Received: 3,325
  Trophy Points: 280
  Tunataka pia kujua wewe ridhwan hata huo umillionaire umeutoa wapi?
   
 8. M

  MVUA GAMBA Senior Member

  #8
  May 2, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 102
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Huyu mtoto mjinga sana yaani kujifanya milionea ndiyo anadhani tutasahau kuhoji kapata wapi hizo fedha. Tena anatumia gazeti lake unajua gharama za mtu kumiliki gazeti la kila siku, huo tu ni mtaji wa bilioni na sasa kanaibuka na wapambe wake kujifanya kamilionea. Huu ni udhalilishaji wa utaifa na kuwafanya watanzania wajinga kama kalivyo kenyewe. Hakuna muda tunakasubiri tu gamba lake halitavuliwa bali litachunwa na damu yake kumwagwa chini
   
 9. Iza

  Iza JF-Expert Member

  #9
  May 2, 2011
  Joined: Jan 8, 2009
  Messages: 1,848
  Likes Received: 120
  Trophy Points: 160
  Wangetueleza pia huo umilionea wake unatokana na kumiliki vitu gani..
   
 10. Anfaal

  Anfaal JF-Expert Member

  #10
  May 2, 2011
  Joined: Jan 19, 2010
  Messages: 1,157
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 0
  <br />
  <br />
  kuna haja ya kupima akili za baadhi ya watu hapa. Kwani umilionea unaanzia kwenye ngapi? Tena pesa yenyewe ni Tsh. Ingekuwa umilionea kwenye dollar tungezungumza. Hii inanikumbusha enzi za utoto mtu akiwa na dola haijalishi dola ngapi basi huyo ni tajiri.
   
 11. i411

  i411 JF-Expert Member

  #11
  May 2, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  Jamani yeye ni mtoto wa raisi pengine amekatiwa mapande na wafanyabiashara just as a good will ndo maana anamapesa havo. Kwani kunamtu ambaye maisha yake yote ajawahi kutoa favours kwa mtu fulani kwavile anaweza akapata benefit fulani huko baadaya basi ajitokeze?
  Mfano mtoto wa mwalimu shule ya msingi akikuomba tambi zako una mpa kashilingi tano siku hizo ulikuwa unapata tambi nyingine. Siyo kwamba atakusaidia ni kwa vile mtoto wa mwalimu tuu ujui sikugani hataweza kukusaidia
   
 12. Pasco_jr_ngumi

  Pasco_jr_ngumi JF-Expert Member

  #12
  May 2, 2011
  Joined: Nov 20, 2010
  Messages: 1,811
  Likes Received: 29
  Trophy Points: 145
  kwishneyyyyyyyyyyyyyyyyy
  owwiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiiii

  NCHI IMEUZWAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAAA
   
 13. i411

  i411 JF-Expert Member

  #13
  May 2, 2011
  Joined: Mar 23, 2011
  Messages: 810
  Likes Received: 53
  Trophy Points: 45
  kigezo gani kinamfanya mtu awe milionea bongo? manake najua karibia mishahara ya wabunge wote ni kama zaidi ya milioni 8 sasa hao wote ni mamilionea au lazima uwe na pesa zaidi yao au kuna double standards mahali
   
 14. Ta Muganyizi

  Ta Muganyizi JF Gold Member

  #14
  May 2, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 5,134
  Likes Received: 413
  Trophy Points: 180
  tehtehetehetehetehetehetehetehetegteteeeeeee nchi hii bana. Haya
   
 15. lukindo

  lukindo JF-Expert Member

  #15
  May 2, 2011
  Joined: Mar 20, 2010
  Messages: 7,891
  Likes Received: 6,085
  Trophy Points: 280
  dogo anaweza kuwa yuko sahihi katika kujitetea ....maana anajua akina Bill Gates wanaitwa "millionaires", sasa kama yeye ana utajiri wa kama $70m tu si kiasi cha mboga tu jamani!!!? Maana RA yeye anasema anaweza kumake kama Tsh 180 Billion kwa miezi mitatu na bado hajatangazwa hata huo umillionea! ...weka zako
   
 16. Ngalikivembu

  Ngalikivembu JF-Expert Member

  #16
  May 2, 2011
  Joined: Oct 6, 2010
  Messages: 1,908
  Likes Received: 355
  Trophy Points: 180
  Nilipanga kuandika hapa jf kuhusu gazet hili.Ni moja ya magazet nisiyoyapaenda hasa kwa kuandika uchochezi.sikufahamu kama gazet hilo ni la rz1.leo nimefahamu.mana ile list ya waandishi wake nillijua ndio wamiliki kumbe wametumwa tu?hakika gazeti hili huandika uchochezi mbaya sana kuliko hata gazet la uhuru.Kwanini waandishi hao kutumika kias hicho?milionea kwani ni hela ndogo hapa bongo?wenzake mbona sio milionea walomaliza nao chuo na shule plae mkwawa?kumbe dr slaa ni mkweli ni mtafiti.
   
 17. LoyalTzCitizen

  LoyalTzCitizen JF-Expert Member

  #17
  May 2, 2011
  Joined: Sep 15, 2010
  Messages: 1,807
  Likes Received: 122
  Trophy Points: 160
  His days are numbered!! every second will count! he can smile now BUT he will sob soon!
   
 18. h

  harakati83 Member

  #18
  May 2, 2011
  Joined: Aug 5, 2010
  Messages: 61
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  kazipataje hata hizo milioni???
   
 19. A

  Anold JF-Expert Member

  #19
  May 2, 2011
  Joined: Jul 15, 2010
  Messages: 1,380
  Likes Received: 299
  Trophy Points: 180
  Sidhani kama Riz1 anakesi ya kujadiliwa hapa, sio rahisi kwa mtoto wa rais awe machinga, jamani kila mtu anauhuru wa kufanya kitu chochote na kufanikiwa, hoja hapa iwe kama kuna kesi au taarifa kuwa chanzo cha hela zake ni rushwa basi ieleweke ili tujadili hilo. Tuache chimbachimba zisizo na maana.
   
 20. taffu69

  taffu69 JF-Expert Member

  #20
  May 2, 2011
  Joined: Feb 26, 2007
  Messages: 2,089
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  Mwanzoni alisema anaweza kueleza namna alivyopata hizo hela!!. Whether he is a millionaire or billionaire jamii inataka kujua amewezaje kupata huo utajiri na kama njia aliyotumia inakubalika ama la!
   
Thread Status:
Not open for further replies.
Loading...