Madiwani wa CCM Kigoma wasusia kikao | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Madiwani wa CCM Kigoma wasusia kikao

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Quinine, May 2, 2011.

 1. Quinine

  Quinine JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2011
  Joined: Jul 26, 2010
  Messages: 10,920
  Likes Received: 12,112
  Trophy Points: 280
  MADIWANI wa Chama Cha Mapinduzi (CCM) katika Halmashauri ya Manispaa ya Kigoma Ujiji wamegomea kikao cha Baraza la Madiwani kwa kile walichoeleza kuwa ni kupinga kupewa makabrasha ya mkutano siku moja kabla ya kikao.

  Wakizungumza baada ya Meya wa Manispaa hiyo, Bakari Beji kufungua kikao hicho, madiwani hao wa CCM walisema kuwa kitendo cha kuwapa makabrasha hayo muda mfupi yana lengo la kuwafanya wasipate muda wa kutosha kupitia kwa kina taarifa mbalimbali zilizomo kwenye makabrasha hayo.

  My take:
  Imekuwa kawaida kwa vyama vya upinzani hasa Chadema kususia vikao vya Mabaraza ya madiwani leo imetokea kwa CCM mtenda akitendwa kaonewa.
   
 2. s

  salieli Member

  #2
  May 2, 2011
  Joined: Apr 14, 2011
  Messages: 18
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hata mkipewa muda muyapitie hakuna mnachoweza kuleta kipya zaidi ya malumbano ila kwa kuwa mnaona mnaonewa, je sheria inaelekeza nini?  Think 4 tanzanians citizen feature not ur interest. i know u need 2 return u wealth back but things have changed now find another way.
   
 3. Narubongo

  Narubongo JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,922
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 135
  mimi niliisoma jamvini jana kuwa ni madiwani wa chadema geita ndio wamegoma kwa sababu hizo:
  mtanzania
   
 4. Ehud

  Ehud JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2011
  Joined: Feb 12, 2008
  Messages: 2,696
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 0
  Hahhaaahh kumbe na wao hawapendi visa ..mbona hako kamchezo walipo wao wengi ndivyo wanavyofanya kwenye halmashauri zote?
   
 5. nsimba

  nsimba JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2011
  Joined: Oct 7, 2010
  Messages: 785
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  "Mkuki kwa nguruwe kwa binadamu uchungu"
   
 6. Nicky82

  Nicky82 JF-Expert Member

  #6
  May 2, 2011
  Joined: Mar 14, 2009
  Messages: 939
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Walipogomea wa CHADEMA kule Geita walisema eti ni "uchanga wa kisiasa" sasa hii ya kwao sijui wataizungumziaje
   
Loading...