Katibu Mkuu wa CCM akutana na wahariri leo

Fareed

JF-Expert Member
Apr 13, 2010
328
135
Kuna taarifa kuwa Katibu Mkuu wa CCM, Wilson Mukama, ameita mkutano wa wahariri wa vyombo vya habari muda huu kwenye Hotel ya Peacock jijini Dar es Salaam.

Hebu wahariri tupeni yaliyojiri mkiwa kwenye mkutano huo. Je, kasemaje kuhusu hatma ya mapacha watatu -- Lowassa, Rostam na Chenge? Ataweka mkazo kuhusu kufukuzwa kwao CCM au atalegeza kamba? Kitendawili hiki...
 
Hii nchi haiwezi kwenda mbele kama kila siku asubuhi na jioni watu mnajadili watu tu tena watatu. Itakuwa busara iwapo huyo katibu ataanza kuongea masuala muhimu ya maendeleo kwa taifa hili.
 
Hii nchi haiwezi kwenda mbele kama kila siku asubuhi na jioni watu mnajadili watu tu tena watatu. Itakuwa busara iwapo huyo katibu ataanza kuongea masuala muhimu ya maendeleo kwa taifa hili.

Sasa wewe hapa ni kipi ulicholeta cha kujadili kwa masuala ya maendeleo ya Taifa!?
 
Back
Top Bottom