The ruling party in Tanzania, Chama Cha Mapinduzi (CCM) has met today in Dar es Salaam and according to the agenda the party is discussing the future of three its members (names withheld), who are...
WILISONI, KATUPE MBALI HIYO RIPOTI KABLA HAIJAANGAMIZA ZAIDI CCM NA TAIFA KWA UJUMLA MAANA HATA KIDOGO HAIKUA ZAO LA LILE JINA LA UBATIZO LA 'SCIENTIFIC RESEARCH' ULIOIPA LA SIVYO CCM MTAJIKUTA...
Kama nongwa ni ufisadi, ufisadi hakuanza JK wala awamu ya 4, ni zao linalotokana na sera mbovu za CCM na baadhi ya Watanania, na hata vyama vya upinzani.
Kama wizi wa kura ni mfumo...
ok wanajamvi
Mara nyingi hapa mnaongelea mapesa tu sasa tujadili assets. Naleta mada ya kichkozi lakini yenye nia ya kujenga.
Serikali inayo standard ya asset zake eg magari kuwa zikifikia...
Historic Index
Nov 1978 Issue 1 Aims of Tanzanian Affairs. Editor Terence Ranger. Partially online
1984 David Brewin takes over as Editor
July 1985 Issue 21 Mwalimus visit to UK; Socialism &...
Wadau,
Wahenga hawakukosea waliposema utatambua matendo na moyo wa mtu kwa kauli zake, na mtoto wa nyoka ni nyoka. Kwa nasaha hizo za wahenga tunangalie kauli mbili tu za Ridhiwani Kikwete.
Kauli...
Jamani wadau tusaidiane kwa hili kujivua gamba ni term ambayo tunaitumia kisayansi hasa kwa reptilia katika swala la ukuaji sasa hawa wanaolitumia kisiasa wanamaanisha wanatoka stage moja ya...
Subject: Re: TAKUKURU WASHINDWA KUWACHUNGUZA MAFISADI SASA WAWAGEUKIA MAASKOFU?
Habari za uhakika ni kuwa baada ya kuona maaskofu wengi wakipiga vita dhidi ya ufisadi, mipango imeandaliwa kuanza...
Edward Qorro
3 May 2011
President Jakaya Kikwete yesterday joined other leaders in welcoming the news about the death of Osama bin Laden.
The President described the death of bin Laden as "a...
Nionavyo mimi sura na picha ya CHADEMA imejikita kwa mambo yafuatayo:
1. Foudership syndrome! "Sisi ni waanzilishi"
2. Ownership syndrome! "Bila ya mimi....., ......., na fulani hakuna CDM"...
Mwenyekiti wa Chama cha DP,Mchungaji Christopher Mtikila amesema CHADEMA hakipaswi kuaminiwa na Watanzania kwa kuwa ni chama chenye mafisadi na Wafanyabiashara haramu.
Pia amefananisha maneno...
Siku chache zilizopita nilijaribu kubadilishana mawazo na wanajamvi katika tafsiri ya CCM kujivua gamba kwamba ilikuwa inapotoshwa kwa kufananishwa na nyoka badala ya lengo lake.
Sasa CDM...
naomba kila mpenda mabadiliko aelewe chadema wako macho tena yamefunguka yote kabisa na wanajua kabisa ccm wana intelligent ya kizamani ya kuvuruga vyama vingine
yule mzee shibuda ilikuwa na...
Salaam wanajamvi,
Najua leo jamvi liko bize sana na ishu za utajiri wa mtoto wa mfalme.
Pamoja na hayo ningependa pia kuwakumbusha habari hii ambayo pia ni muhimu katika mustakhabari wa taifa...
Wadau,
Nilipata mshtuko mkubwa niliposoma habari ya mgogoro baina ya kambi ya Zitto na Mbowe leo asubuhi.Habari ile iliandikwa kama vile ni gazeti la uhuru au Jambo leo. Wakati napitia ile...
Mahali alipofikishwa Lowassa ni sawa na mahali walipo arsenal. hawana nafasi ya ubingwa wakicheza hawana na kupoteza. Lowassa hana cha kupoteza. wameshamzika kisiasa na hana nafasi tena ccm...
Jamani eeeeh!
Kama tunavyoshuhudia suala la ufisadi ndani ya CCM na serikali yake linashika moto kwa kasi sana huku vigogo wao kadha wa chama hicho wanajitokeza na kuzidi kulimwagia mafuta...
Kwenye kongamano la Azimio la Arusha pale Mlimani, kiongozi wa vijana na alianza hotuba yake kwa maneno haya: TUMEONEWA KIASI CHA KUTOSHA, TUMENYONYWA KIASI CHA KUTOSHA, TUMENYANYASWA KIASI CHA...
Wana JF
Kamati kuu ya chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) iliyokutana tarehe 30/4/2011 imeamua kumtoa Shibuda kwenye nafasi ya kukaimu nafasi ya Uenyekiti wa Mkoa wa Shinyanga. Lakini...
KATIBU wa Mambo ya Nje ya Sekreatarieti ya Chama Cha Mapinduzi (CCM), Januari Makamba amesema chama hicho kimejivua gamba ili kujenga imani kwa umma hasa vijana ambao ni wapiga kura.Kwa mujibu...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.