Kwanini ukudai haki yako unaambiwa wewe ni Chadema!? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kwanini ukudai haki yako unaambiwa wewe ni Chadema!?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sinai, May 2, 2011.

 1. Sinai

  Sinai JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 289
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Jamani, siku hizi kama wewe ni mfanyakazi au hata mwananchi wa kawaida kila unapojaribu kuhoji kitu hasa serikali au kwenye mashirika ya umma unaambiwa wewe ni Chadema! Hivi hawa watu waliopo serikalini wanataka watu/wananchi wakae tu kimya? Wasidai hata haki zao za msingi? Jana kuna Mbunge mmoja wa CCM alipotutembelea kama wapiga kura wake, watu walimuuliza sana maswali juu ya ahadi alizotoa wakati wa kampeni, baada ya kujibu hoja, yeye akawaka, eti hao wanaoulizauliza maswali ni watu wa Chadema, hivyo hawezi kuwajibu kwani yeye anatekeleza ilani ya CCM! Haki ipo wapi hapo?? Je wana-CCM hawana utamaduni wa kuwauliza maswali viongozi wao? Nawakilisha!!!!!!!!!!!:bored::bored::bored::help::help::help:
   
 2. K

  Kijallo JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2011
  Joined: Mar 3, 2011
  Messages: 409
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Du mbunge gani huyoo?maana hata mgomo wa madereva jana,taarifa za kiintelejensia zinasema umeshinikizwa na Cdm!
   
 3. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Mbona unamficha huyu mbunge, si umtaje nasi tumjue??

  CCM wanaogopa maswali maana wameahidi mambo mengi mno halafu serikali imefulia fuuuu:A S 39:
   
 4. M

  Makupa JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Hizi ni ghiliba za CDM hamna kitu hapo
   
 5. M

  Makupa JF-Expert Member

  #5
  May 2, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Hadithi za kufukirika
   
 6. zumbemkuu

  zumbemkuu JF Bronze Member

  #6
  May 2, 2011
  Joined: Sep 11, 2010
  Messages: 9,003
  Likes Received: 585
  Trophy Points: 280
  labda kimantiki upo sahihi, ila kushindwa kutaja jina la mbunge au jimbo lake ni dalili ya ushabiki na propaganda.
   
 7. Horseshoe Arch

  Horseshoe Arch JF-Expert Member

  #7
  May 2, 2011
  Joined: Aug 10, 2009
  Messages: 11,230
  Likes Received: 4,951
  Trophy Points: 280
  Sina hakika adha hii ya maisha ipo tu kwa wana Chadema!...ni imani yangu kua hata hawa waungwana wa Chama cha magamba wana wakwe,shangazi,dada kaka na wajomba ambao si wa chama chao!...waoneshe ukomavu wa fikra pale wanapoguswa pabaya badala ya kuropoka mambo yasiyo na mantiki!
   
Loading...