Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Binafsi siku ya mei day sikumwelewa rais alimaanisha kitu gani alipojumuika na wafanyakazi wenye njaa kuimba solidarity forever!!! pia sikuwaelewa wafanyakazi walipoimba solidarity forever na mtu...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Hata bila kutumia miwani wala kufikiria, nashuhudia ahadi za CHADEMA zikianzishiwa michakato na mijadala ya kutekelezwa na serikali ya CCM, ilihali kati ya ahadi za CCM zipatazo takribani 86 sioni...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
Kutokana na wimbo unaoimbwa na Sekretarieti mpya ya CCM,'CCM sasa ni chama kipya', chama hicho kimetakiwa kuomba usajili kwa Msajili wa Vyama vya Siasa Nchini,John Tendwa ili kisajiliwe.Wimbo huo...
0 Reactions
4 Replies
2K Views
Yule gaidi mkuu duniani, Osama bin Laden, aliyehusika na ulipuaji wa bomu ubalozi wa Marekani Dar es Salaam mwaka 1999 na Sept. 11, 2001, kule Marekani ameuliwa na wanajeshi wa Marekani nchini...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Awali ya yote, zilianza tetesi kuwa amepanga kuchukua fomu. Nilishtuka na kuwaza sana maana nilitambua vizuri utendaji kazi wake tangu akiwa kwenye ngazi ya chama. Kabla fikra hizo hazijanitoka...
7 Reactions
57 Replies
6K Views
Juzi nikiwa natizama kipindi cha daladala kinachorushwa na itv kila siku saa moja jioni.kuna tetesi mh. J.mnyika umechukua ela kutoka kwa magari ya maji taka ili yaendelee kumwaga maji taka hayo...
0 Reactions
87 Replies
9K Views
  • Closed
Gazeti la Mwanahalisi Tarehe 27/04/2011: Gazeti hili lilipomtafuta William Malecela anayeishi New York, Marekani, kujua iwapo ni mwanachama wa Chadema alisema, “Si kweli hata kidogo.” Alisema...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
Afrika ni sawa na ombaomba aliyekalia kigoda cha almasi na kushika bakuli la dhahabu kuomba visenti vichache vya fedha!
0 Reactions
1 Replies
2K Views
After Arusha declaration was set aside once Mwl. Nyerere said, "I read and re-read the document after it was set aside and found nothing to change; although, if given the second chance I would do...
0 Reactions
1 Replies
981 Views
So much growth, so much poverty: Dar’s case By PAUL REDFERN THE EAST AFRICAN Posted Monday, May 2 2011 at 00:00 Tanzania's phenomenal growth rates over the past decade have not resulted...
0 Reactions
1 Replies
935 Views
Hawa ni Viongozi wa CCM as Malecela asema CCM maeneo hayo kujivua gamba? Balozi wa Tanzania Umoja Wa Mataifa Ombeni Sefue (Kati) wakiwa na Viongozi wapya wa Jumuia ya Watanzania waishio New...
0 Reactions
14 Replies
2K Views
Madiwani CCM, Chadema nusura wazipige kikaoni Sunday, 01 May 2011 07:19 Mwananchi Madiwani wa CCM na Chadema jana nusura wageuke wanamasubwi katika kikao cha Baraza la Madiwani la Manispaa...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
  • Closed
Kumetokea tabia ya Vijana wa CHADEMA kushupalia Utajiri wa Mtoto wa Rais Dk. Jakaya Kikwete, wengi wao wao ni Vijana wa CHADEMA wanaosukumwa na Nongwa kwamba Baba yake Riziwani ni Rais. Napenda...
1 Reactions
31 Replies
3K Views
-Wewe ulitaka tukipigwa na Amin tukae kimya alafu mwisho wake iweje?. Tuwe watumwa sio?. -Air Tanzania ilikufa chini ya Mwalu Nyerere au watudanganya?. -Shirika la reli aliliua Mwalimu au...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
A miner getting out of a mine in Arusha. Tanzania has huge deposits of uranium. File Photo By Leonard Magomba Posted Monday, May 2 2011 at 18:11 Tanzania hopes to grow its mining industry...
0 Reactions
1 Replies
932 Views
Zawadi za wafanyakazi bora ,aliyenacho ndiye anayeongezewa?Hivi kweli Serikali inatoa 600,000/= kwa mwalimu zawadi ya mei mosi wakati kada nyingine wahudumu wamepewa zaidi ya 1Million,hii imekaa vipi
0 Reactions
2 Replies
2K Views
By Jenerali Ulimwengu Posted Monday, May 2 2011 President Jakaya Kikwete has just appointed the man to take the place left vacant after the non-renewal of Tido Mhando's contract as director...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Posted Monday, May 2 2011 at 00:00 By PAUL REDFERN in Washington DC Tanzania's phenomenal growth rates over the past decade have not resulted in sufficient levels of poverty reduction, says...
0 Reactions
0 Replies
772 Views
nimeambiwa hivyo lakini ninaomba wanajf mtujuze aliye na habari zenye uhakika mi nimejiuliza wataweza kweli au ni michezo ya kuigiza
0 Reactions
30 Replies
4K Views
Elizabeth Suleyman SERIKALI kupitia taasisi zake,imetumia zaidi ya Sh176 millioni, kugharimia salamu 217 za pongezi katika vyombo vya habari, utafiti wa shirika moja lisilokuwa la kiserikali...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
Back
Top Bottom