WanaJF mambo yanavyoenda hapa TZ hawa watu wawili ndo wanasababisha maafa kila sehemu Arusha wapo, Dowans wapo, EPA wamekula Kagoda etc
Kama hawa watu na wengine hawatowajibishwa KIKWETE...
Atatoa ufafanuzi wa mambo kadhaa kama itakavyoonekana kwenye 1st post kwenye hii topic. Nitawa-update juu ya kinachoendelea kwenye kikao hicho.
============
UPDATES:
Kikao ndo kinaanza...
Tangu Mkama aseme CCM hawakutoa azimio la siku 90 na kwamba hakuna fisadi hata mmoja atakayepewa barua sijasikia tena Nape akiongea.
Lakini namwona huyu Mzee Mkama naye mnafiki mbona alikuwa...
Wana jf baada ya ujenzi wa vyoo shule Suye kujengwa kwa 80,000,000/- kuna tetesi kwamba kuna daraja balo leshindwa kufunguliwa kutokana na mgogoro wa ujenzi wake kutumia sh. 300,000,000/- Hilo...
Kuna ushahidi uliowazi kuwa ccm haiko tayari kuja na katiba mpya. Yanayojiri sasa ni danganya toto. Nasema hivyo kwa kutumia uzoefu wangu unaotokana na mambo yafuatayo:
1. CCM imejitahidi...
Imeandikwa na Halima Mlacha; Tarehe: 4th May 2011
JAJI Mkuu mstaafu, Augustine Ramadhani , amelitaka Baraza la Habari Tanzania (MCT) na
wadau wote wa habari nchini kukusanya nguvu zao na...
"Ubunifu wa mtu ni siraha yake,ubunifu wa mtu usichezewe,ni lazima uheshimiwe,utunzwe na ulindwe" Grayson, 2011.
Hizi ni baadhi ya senteso zangu nyingi zitakazopatika katika kijitabu changu...
Kipindi cha mapitio cha magazeti kinachorushwa na kituo cha ITV asubuhi hakina mvuto kabisa na bora kisitishwe kwa ajili ya marekebisho.
Kwanza kabisa magazeti wanayopitia ni machache sana...
Ukitazama historia ya nchi nyingi za afrika wakati wa kupigania uhuru toka kwa wakoloni utagundua kuwa japo ilikuwa lazima mwafrika awe huru lakini wapigania uhuru hawakuwa na mipango madhubuti...
HUKU MWANAKIJIJI, KUBENEA na wanaharakati wengine wakijitahidi kuhakikisha ufisadi unapungua, kumbe mambo tofauti kabisa.
Gazeti la Chama cha CDM kilichoapa kupambana na mafisadi linakuwa mstari...
ndugu zangu ktk jambo ninaloshukuru ktk maisha yangu ni kutokuwahi kuwa CCM, siko zote ktk kipindi hiki kifupi nichobakisha ktk maisha YANGU namuomba Mungu anipe umri nitakaoweza kushuhudia...
Kumekuwa na tetesi nyingi sana kwamba baadhi ya wakuu wa mikoa na wilaya wamekuwa miungu watu katika mikoa na wilaya zao kiasi kwamba wakati mwingine wamekuwa wanawalazimisha watendaji wao kama...
HomeNewsNational
National
Dr Besigyes aides were yesterday sent back to jail until May 9 when their bail application will be heard. PHOTO BY STEPHEN WANDERA
By Sheila Naturinda...
Source: Mwananchi
Inasikitisha sana kuwa na serikali isiyokuwa na nidhamu ya matumizi ya hela. Serikali au taasisi makini huwa inakuwa na budget na kuifuata bila kuongeza kitu. Sasa hapa kwetu...
1 May
Posted May 1, 2011 by Wolfgang's East Africa and Indian Ocean Tourism reports
WITH POACHING IT IS FOREIGNERS TOO
Foreigners seems to be one of the key word these days in Tanzania...
Wadau,
Tukiwa na siku tatu tangu tusheherekee sikukuu ya wafanyakazi tanzania,siku ambayo kwangu nilizidi kukata tamaa kutokana na kauli ya rais wetu kwenye hotuba yake kutamka kuwa kufungua...
Mwenyekiti wa Chadema Mh.Freeman Mbowe amesema chama chake hakiungi mkono matumizi ya nguvu kupita kiasi wala hakiungi mkono ugaidi. Amesema hayo alipokuwa akisoma maazimio ya kamati kuu na baraza...
Juzi nilitembelea Dodoma na Bahati nzuri nikbahatika Kukutana na Mafundi Mitambo ya Umeme Na Sauti wa Bunge...Nilistuka nilipoambia ati Siku ile Tundu Lisu anaongelea Watawala Kuingilia Uhuru wa...
Kwa hali ilivyo sasa ni wazi kuwa kuna ufa mkubwa kati ya watanganyika na wazanzibar. Kwa mtazamo wangu, kama kuna kosa ambalo ccm itakuja ilijutie milele ni kumweka mzanzibar kugombea urais wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.