Mtikila na "Nambulila" unaoiuwa CCM | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mtikila na "Nambulila" unaoiuwa CCM

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Ntemi Kazwile, May 2, 2011.

 1. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #1
  May 2, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Baada ya kukaa kimya kwa muda mrefu, Mch Mtikila amekuja na mpya kuhusu CCM


  "...........Kuhusu hatima ya CCM na kile alichokiita usanii wa kujivua gamba, Mchungaji Mtikila alisema chama hicho kina ugonjwa wa ‘Nambulila’ ambao mgonjwa hufa na kuzikwa akijiona.
  “Wapangwa wana ugonjwa unaitwa Nambulila. Ni ugonjwa unaotokana na tego la mke. Mtu akitembea na mke wa mtu anaupata na anapokufa, anawaona watu wanavyomlilia, wanavyomuingiza kwenye kaburi, lakini hana uwezo wa kusema, hivyo anazikwa akiwa hai, akiona kila kitu. Ndivyo ilivyo CCM, inakufa ikijiona. Hii ndiyo Nambulila,” alisema Mtikila. Alisema usanii wa kujivua gamba hauwezi kuinusuru CCM kwani ni dhana ya uendawazimu yenye lengo la kuwaghilibu Watanzania...."

  Source:Utajiri wa Ridhiwani wamweka pabaya JK

  Ama kweli CCM inakufa ikijiona:smile-big:
   
 2. G

  Gad ONEYA JF-Expert Member

  #2
  May 2, 2011
  Joined: Oct 26, 2010
  Messages: 2,641
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Ha ha ha! comical Mtikila
   
 3. GeniusBrain

  GeniusBrain JF-Expert Member

  #3
  May 2, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 4,321
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hivi zile pesa alizopewa na RA alizirudisha huyu mzee ? huyu mzee ni fisadi sana hana jipya
   
 4. Ntemi Kazwile

  Ntemi Kazwile JF-Expert Member

  #4
  May 2, 2011
  Joined: May 14, 2010
  Messages: 2,145
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Hata kama ni fisadi lakini si amesema ukweli jamani.. huu ugonjwa utokanao na tego la mke wa mtu, wamekula mali ya wananchi hawa:A S-baby:
   
Loading...