Katika hali inayodhihilisha watanzania kukerwa na malipo ya kampuni ya Dowans,mahakama kuu ya Tanzania imepokea na kusajili kesi ya kikatiba kupinga malipo hayo.
Kesi hiyo ya kikatiba...
Serikali inapanga kuigawa TANESCO katika makampuni matatu.
1. Kampuni ya uzalishaji.
2. Kampuni ya usafirishaji.
3. Kampuni ya usambazaji.
Nisaidieni hapo kwenye makampuni mawili ya...
Zito Kabwe amemtoa nje Waziri Chami aliyeongozana na Mkurugenzi Mtendaji wa Mamlaka ya Kukuza Mauzo nje (EPZ), Dk. Adelhelm Meru, na watendaji wa mamlaka hiyo kwa madai ya ufisadi wa sh bilioni 41...
Wednesday, 01 June 2011 12:45 newsroom
NA MWANDISHI WETU
CHAMA Cha Mapinduzi (CCM), kimeelezea kusikitishwa kwakwe na tuhuma zinazotolewa na Mjumbe wa Kamati Kuu ya CHADEMA, Tundu Lissu...
KUJIVUA GAMBA KATIKA FALSAFA YA KIAFRIKA
KUJIVUA GAMBA: MTAZAMO KIFALSAFA YA KIAFRIKA?
Na Jason Ishengoma
Malumbano yanayoendelea ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM) kati ya vikundi...
Wednesday, 01 June 2011 21:13
Joseph Lyimo, Babati
HALI bado ni tete kwenye Bonde la Kiru, Wilaya ya Babati, mkoani Manyara baada ya Meneja wa Shamba la Kampuni ya Kiru Rift Valley, Sifael...
Wakuu zangu toka mauaji yaliyotokea huko Mara yamekuwa na mjadala mkali sana hapa ktk vyombo vya habari na jana tu nimeona ktk TV (CityTv) likizungumziwa..Na leo ktk pitapita yangu nimekutana na...
WAFANYABIASHARA ndogondogo zaidi ya 300 eneo la Manyema, Manispaa ya Moshi, wamefunga barabara ya Manyema inayotokea Mbuyuni kueleka Mtaa wa Viwanda kwa muda wa saa nne, baada ya uongozi wa...
Hapa naomba tuwe wakweli. Kwa maneno yao wenyewe viongozi wa juu wa CCM wameshuhudia kuwa chama kimepoteza mvuto kwa watanzania na hasa kwa vijana. Wakati huohuo CHADEMA ni chama kilichojipatia...
Mambo ndo yamewiva,sinema ndo imekaribia kuanza kaa tayari.
Mtikila amgeuzia kibao Ridhiwan
na Janet Josiah
MWENYEKITI wa Chama cha DP, Mchungaji Christopher Mtikila, amemtaka mtoto wa Rais...
MBUNGE wa Singida Mashariki, Tundu Lissu (CHADEMA), amesema kuwa kuna haja ya Watanzania kuungana ili kuzuia mbinu chafu za Chama cha Mapinduizi (CCM) za kugeuza nchi kuwa dola ya kipolisi...
Nilikuwa naangalia kwenye Michuzi blog, wakati wa kuzindua Flaviana Matata Foundation, ambayo pamoja na watu wengine ilihudhuliwa na wabunge kama January Makamba na Zitto Kabwe. Mgeni rasmi akiwa...
Kumbe kamanda kanda maalumu ya kipolisi ya Tarime -Rorya na viongozi wengine wa serikali wanalipwa mishahara mingine mbali ya wanayolipwa na umma wa watanzania kupitia kodi yao sasa
kamanda...
Kwa wale ambao wanafuatilia siasa za marekani watakumbuka kuwa miaka ya 90, serikali ya Clinton ilifanikiwa kuweka makubaliano na Korea kaskazini ili wamarekani wawapatie wakorea mafuta na chakula...
Facebook @ NEW YORK CITY: Imekuwa ni tabia inayokubalika sana miongoni mwetu wananchi, na hasa wana CCM kwa Viongozi watarajiwa kunyamaza kimyaa, mpaka ikishafikia wakati wa uchaguzi ndio utaona...
By ALVAR MWAKYUSA, 31st May 2011 @ 20:00,
TANZANIA Revenue Authority (TRA) has teamed up with tax authorities in four other African countries to investigate allegations of tax evasion facing...
Ziara ya Nape Mkoani Rukwa wiki hii kumefanyika mabadiliko makubwa kwa Nape kuongozana na Katibu Mkuu Mukama na mzoefu mwingine Chilingati.
Hii ni kutokana na mikutano ya Nape mara ya mwisho...
Waziri wa Nishati na Madini, William Ngeleja
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini, imeshtushwa na matumizi makubwa ya Sh. milioni 350 ambazo zimetumiwa na idara moja kati ya saba kununua...
Habari za leo wapendwa.
Kwa siku takriban tano nimekuwa nikiumiza kichwa na kujiuliza wakowapi wazalendo wa nchi hii? ndio wale wazalendo waaandishi wa habari na wanasiasa waliokuwa wakipinga...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.