Mauaji ya Tarime - Mara yawabana Barricks! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mauaji ya Tarime - Mara yawabana Barricks!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mkandara, Jun 2, 2011.

 1. M

  Mkandara Verified User

  #1
  Jun 2, 2011
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Wakuu zangu toka mauaji yaliyotokea huko Mara yamekuwa na mjadala mkali sana hapa ktk vyombo vya habari na jana tu nimeona ktk TV (CityTv) likizungumziwa..Na leo ktk pitapita yangu nimekutana na mtandao huu unaowapiga vita Barricks na Ufisadi wao..Pengine hili liwe amsho kwetu kwa sababu hata yule mwanamke aliyekamatwa ni mwandishi mashuhuri wa gazeti la hapa liitwalo Toronto Star!..

  Amsho la Uzalendo ni leo - Bofya
   
Loading...