Hivi kutumia lugha ya Kiingereza kwenye matamasha ya nyumbani maana yake nini? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi kutumia lugha ya Kiingereza kwenye matamasha ya nyumbani maana yake nini?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Analytical, Jun 1, 2011.

 1. A

  Analytical Senior Member

  #1
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 7, 2011
  Messages: 149
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Nilikuwa naangalia kwenye Michuzi blog, wakati wa kuzindua Flaviana Matata Foundation, ambayo pamoja na watu wengine ilihudhuliwa na wabunge kama January Makamba na Zitto Kabwe. Mgeni rasmi akiwa mkurugenzi wa Utamaduni katika wizara ya Habari Profesa Mwansoko. Naona ilikuwa Kiingereza tu tokea mwanzo mpaka mwisho. Hii inaashiria nini? Au mantiki ya uzinduzi huo ilikuwa ni kwa ajili ya nani? Je labda Falaviana ndo alikuwa hajui kiswahili? au wageni waalikwa walikuwa hawajui kiswahili? Au ni nini? Sina uhakika kama kulikuwa na yeyote kati ya waliohudhuria hakuwa anajua kiswahili kwa maana ya kutoelewa kinachoendelea. Lakini hata kama ni hivyo mbona nchi zingine wanatumia lugha zao kwenye makongamano yao. Au kiingereza kwetu ni nini? Kama waandaaji wamo humu wanaweza kunifafanulia hii mantiki.
   
 2. F

  FJM JF-Expert Member

  #2
  Jun 1, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  maendeleo!
   
 3. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #3
  Jun 1, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,629
  Likes Received: 140
  Trophy Points: 160
  Ni inferiority complex tu ndio inawasumbua watz ktk hiyo tasnia.

  Nenda ujerumani leo uongee kiingereza kama utaonekana mtu wa maana na tena kama ni matumbi ndio itakuwa worse kwa maana ya kupewa ushirikiano.

  The worst party kwa waandaji wa such events huwa hawazingatii kabisa hadhira.
   
 4. M

  Murrah Senior Member

  #4
  Jun 1, 2011
  Joined: May 28, 2011
  Messages: 191
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Upuuzi mtupu!!!! Mkamba alikuwa akigoogle speech za rais sasa hicho kiingereza kimetoka wapi siku Hizi!!! Nashangaa!
   
 5. Dingswayo

  Dingswayo JF-Expert Member

  #5
  Jun 1, 2011
  Joined: May 26, 2009
  Messages: 4,011
  Likes Received: 86
  Trophy Points: 145
  Hata mimi jambo hili linanikera sana. Utakuta kiongozi mwenye cheo kikubwa kabisa, anahutubia wananchi huku anachanganya kiswahili na kiingereza! Hili jambo halikuwepo miaka ya nyuma hasa enzi za Mwalimu, ambapo kuongea Kiswahili fanisi ilikuwa jambo la sifa. Lugha ya taifa ni Kiswahili na viongozi wanatakiwa wawe ni mfano mzuri katika kuendeleze na kukuza lugha yetu.
   
 6. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #6
  Jun 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  Kwani nayo si official language??
   
 7. M

  Mtu Mmoja JF-Expert Member

  #7
  Jun 1, 2011
  Joined: Mar 18, 2010
  Messages: 596
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  ni ujinga tu. ukiwachunguza makalio utakuta wanashikishwa ukuta hao! pambaf!
   
 8. Katavi

  Katavi Platinum Member

  #8
  Jun 1, 2011
  Joined: Aug 31, 2009
  Messages: 39,475
  Likes Received: 4,134
  Trophy Points: 280
  He!!!!
   
Loading...