Na Peter Mwenda
SHIRIKA la Umeme Tanzania (TANESCO) limeanza ujenzi wa mitambo ya kuzalisha umeme wa megawati 100 utakaotumia gesi katika Kituo cha Ubungo na
mwingine utakalozalisha megawati 60...
Mimi huwa najiuliza, kila leo Mkapa anapewa mapande katika anga la kimataifa. Hivi huyu ****** kweli akistaafu atapewa kweli hata ukatibu kata? Tukisema kamkwere ni sifuri mnasema tuna udini ila...
*Adai serikali pekee ndiyo inajua matumizi yake
*Asema bei ya umeme imeongeza makali ya maisha
Na Tumaini Makene
MZIMU wa kashfa ya wizi wa fedha zilizoibiwa katika Akaunti ya Madeni ya Nje...
Construction of roads is a costly undertaking;it must reflect the value for money,and a road that is sub-standard should not be accepted at all;inspections must be done stage by stage and...
Tarime kuna tatizo na tatizo si CHADEMA, ni Barrick
Lula wa Ndali-Mwananzela
RAIA MWEMA
Mei 25, 2011
TATIZO la Tarime si CHADEMA. Naam, lipo tatizo Tarime na ni tatizo la muda mrefu sana kwa...
Baada ya Kukuru kakara za hapa na pale za CCM na Chadema, Hatimaye imedhihirika wazi kwamba Chadema ni Kidume wa Hoja zenye Mashiko.
Kila anayejaribu kuiparamia CDM anapigwa Knockout kwa hoja...
Nimeona kwenye gazeti la Tanzania Daima ahadi zilizotolewa na JK mkoani mwanza katika sekta ya miundombinu:
ujenzi wa reli (Dar to Burundi)
ujenzi wa reli (Dar hadi Isaka, mwanza,kigoma,mpanda)...
Nimelisoma gazeti la leo la mwanahalisi.Nimekuwa nikifurahishwa na uandishi wa gazeti hili kutokana na umahiri wa waandishi wake.Pamoja na mambo yote mazuri yaliyoandikwa leo,nimefurahishwa na...
Yaaan hizi kampuni za huduma za simu,cjui znazingatia sana kwenye promosheni,na offa zao za ajabu,hadi wanasahau kuhudumia m2,unakuta m2 anapiga simu mpaka ahudumiwe ni nusu saa,isitoshee tatizo...
Kwanza nimewaomba wabunge wa CDM kwasababu nikiwaomba wale WAGONGA MEZA (WABUNGE WA CCM) hawataweza kuuliza hili swali kwasababu ya SERA ya chama chao KULINDANA.
Ninafahamu umuhimu wa...
Sijui ni kwanini mode anachanganya habari bila ya kufikiri madhara yake .habari za kiingereza anachanganya na kiswahili na bila kujua uzito wa habari zile. kwa mfano maneno ya nahoza kuhusu baric...
Ndugu zangu wadau wa JF na watanzania kwa ujumla wake naomba tujadili jambo hili nyeti ambalo mimi mdau mwenzenu nimeligundua na nikaona si vema kulikalia kimya.
Wakati bado watu wanalipigia...
Tumegundua uongo, rushwa, kujikweza, ulevi, ubaguzi wa udini na sasa tunauona ubaguzi wenu wa ukabila. Credibility hamna hata mkitumia vyombo na fedha kiasi gani za wananchi, Taifa limeshawageuka...
Wana JF jana usiku katika kipindi cha DAKIKA 45 kinachorushwa na ITV ambacho mgeni alikuwa ni Waziri wa Mambo ya Ndani ya Nchi; S. Nahodha alipoulizwa juu ya kiini cha vurugu za Nyamongo alitoa...
Ushindi wa kikwete mwaka 2010 haukuwa na dosari ungetegemea kauli kama hii ingetolewa na independent entity with alot of evidence to justify the outcome lakini inatolewa na mke wa Rais na kuwa...
Kamati za Zitto, Serukamba zachachamaa
na Betty Kangonga
KAMATI za Bunge za Miundombinu na ile ya Mashirika ya Umma (POAC) kwa nyakati tofauti jana ziliwatimua katika vikao mawaziri wawili...
Wadau maswali yanazidi kuniumiza kwanini polisi wana kasi kubwa sana za kukamata wabunge wa upinzani na kuwadhalilisha kana kwamba sio viongozi wa kitaifa?kwanini hawapewi heshima zao
hebu...
Ndugu watanzania wanaofuatilia utoaji wa haki kwa raia watakubuka jinsi ndugu zetu wa Mbalali waliotaka kumshtaki mbunge wao Kwa ubadhiirifu wa hela zao walidhokwama kwa sababu serikali haikutaka...
Na Saed Kubenea - Imechapwa 25 May 2011
Ni kwa ‘usaliti mkuu' ndani ya CCMLowassa, Rostam, Chenge nao wafukuzwe
TUHUMA za kukisaliti chama zinazowakabili spika wa zamani wa...
JamiiForums uses cookies to help personalise content, tailor your experience and to keep you logged in if you register.
By continuing to use this site, you are consenting to our use of cookies.