M
Joined
Likes
17

Profile posts Latest activity Postings About

 • M
  Thanks alot Ab-Titchaz, Kibunango, and SteveD. Happy holidays to you all........!!!!...
  Ab-Titchaz
  Happy Holidays and enjoy your New Year!
  M
  Thanks very much BAK,
  I wish you the best of all years (yet) 2009.
  BAK
  Hi MWK,

  I would like to take this opportunity to wish you and your loved ones a very Merry Xmas and a happy and prosperous New Year. Also I wish you good health, happiness and good luck during the coming year of 2009.

  May God bless you and your loved ones.

  Merry Xmas and a Happy and prosperous New Year.
  M
  Asante Mwl Ab-Titchaz

  Mambo ndiyo hayo
  TRACE
  Unajua viongozi wetu wanaiendesha nchi kama ya kwao na wanataka kutupeleka kule wao wanakokujua kwa maslahi yao na vizazi vyao.

  Unajua kama wakitupatia misingi bora ya elimu tutakuwa tunaufahamu wa haki na wajibu wetu kama watawaliwa na watawala wa baadaye na hapo ndipo hawataki tufike kwani tutakapokuwa tumefunguka macho malengo yao yatakuwa hayajafikiwa ndio maana mipango ya kuandaa Taifa lisiloweza kufikili wanaliandaa kuanzia sasa.

  Ndugu zangu naona niwashauli kuwa wewe hapo ulipo fanya juu chini ili kuhakikisha kuwa wananchi wengi wa Taifa ili wanapata elimu bora ili huko tuendako tuweze kuyajua mengi na kuwakemea etu hao wanaojiita viongozi wa watu.Nawashukuru sana
  M
  Ben mie mzima,

  kuna project fulani nashughulikia hapa kazini so imenifunga kidogo. Muda si mrefu nitakuwa hapa nimejaa tele.
  Ben Saanane
  Vipi Dadaa,where r u? Hope all z fine wiz u. Tunakumiss big.Plz come back! God Bless you
  M
  mambo safi tu na libeneka linaendelea kama kawa after a short break!
 • Loading…
 • Loading…
 • Loading…