Ni lini watanzania tutatendewa haki kwa mtindo huu

Mosachaoghoko

Senior Member
Apr 19, 2011
137
10
Kumbe kamanda kanda maalumu ya kipolisi ya Tarime -Rorya na viongozi wengine wa serikali wanalipwa mishahara mingine mbali ya wanayolipwa na umma wa watanzania kupitia kodi yao sasa
kamanda anachukua mshahara mwingine toka Barrick North mara Tshs 6000,000/milioni sita kila mwezi na ndoo maana uonevu kwa raia wa nyamongo hautakoma pamoja na unyanyasaji na ubakaji unaotendwa na maaskari na walinzi wa mgodi wa North mara
 
Back
Top Bottom