Sekretariati ya CCM ziarani Sumbawanga: Nape aongoza Ujumbe | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Sekretariati ya CCM ziarani Sumbawanga: Nape aongoza Ujumbe

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Candid Scope, May 30, 2011.

 1. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #1
  May 30, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Ziara ya Nape Mkoani Rukwa wiki hii kumefanyika mabadiliko makubwa kwa Nape kuongozana na Katibu Mkuu Mukama na mzoefu mwingine Chilingati.

  Hii ni kutokana na mikutano ya Nape mara ya mwisho kuzi kukosa msisimko na wahudhuriaji hafifu, pamoja na kutumia muda mwingi kuhangaika na Chadema badala ya ilani ya uchaguzi wa CCM.

   
 2. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #2
  May 30, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Sijajua baso kama itasaidia wakati ameshamwaga sumu
   
 3. Najijua

  Najijua JF-Expert Member

  #3
  May 30, 2011
  Joined: Nov 5, 2010
  Messages: 1,029
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  au walikuwa wanadhani anajenga mizizi imara ya cCJ?
   
 4. Izack Mwanahapa

  Izack Mwanahapa JF-Expert Member

  #4
  May 30, 2011
  Joined: Apr 21, 2011
  Messages: 497
  Likes Received: 20
  Trophy Points: 35
  Ziara yenyewe kwa ujumla haina mashiko kwani pamoja na Nape kusindikizwa, hoja ya kujivua gamba haina tija kwa mwananchi wa kawaida, lakini pia hakuna gamba lililovuliwa bali Makamba amestaafu kiana kutokana na umri wake.
   
 5. Kigogo

  Kigogo JF-Expert Member

  #5
  May 30, 2011
  Joined: Dec 14, 2007
  Messages: 20,498
  Likes Received: 1,453
  Trophy Points: 280
  CCM bana yaani wao kumteua nape wakaona wameteua mtu wa maana sana...? hiki chama bana mautumbo matupu
   
 6. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #6
  May 30, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Kama hapa mtandaoni anaongelea katuni za kipanya, walitegemea jipya gani toka kwake?

  [​IMG]
   
 7. k

  kikule Senior Member

  #7
  May 30, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 184
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Sijaona kama kuambana na chily na wily ni kumshitukia nape.Nadhani ni mkakati wa kawaida hata chama kingine wanaweza kuufanya,hata cdm huwa wanaambatana kadhaa kwa sababu maalum
   
 8. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #8
  May 30, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Ziara ya mkoa wa Kilimanjaro kwa wachaga watafanya lini?
   
 9. amba.nkya

  amba.nkya JF-Expert Member

  #9
  May 30, 2011
  Joined: Jan 7, 2010
  Messages: 431
  Likes Received: 38
  Trophy Points: 45
  Bado haitasaidia kitu, kwa sasa CCM haina mvuto kwa wananchi wengi
   
 10. K

  Kachocho T.K Member

  #10
  May 30, 2011
  Joined: Feb 1, 2011
  Messages: 25
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Wale alioambatana nao wawe makini make wanaweza kuumbuka kwani anaweza kuingiza sera za CCJ badala ya zile zilizopitwa na wakati za CCM, make anaonekana kutotulia kama anapeleka agenda za CDM badala ya kuwaambia wananchi ilani na mwelekeo wa chama chake.
   
 11. DOUGLAS SALLU

  DOUGLAS SALLU JF-Expert Member

  #11
  May 30, 2011
  Joined: Nov 13, 2009
  Messages: 11,604
  Likes Received: 4,730
  Trophy Points: 280
  Swali ni moja tu, gamba litavuliwa?
   
 12. Nyunyu

  Nyunyu JF-Expert Member

  #12
  May 30, 2011
  Joined: Mar 9, 2009
  Messages: 4,370
  Likes Received: 130
  Trophy Points: 160
  Vuvuzela Nape hana jipya!!hata aandamane na nani!! Yeye bado ni zigo la mawe tu, mbeleko itachanika!!

  Sisi kazi ni kwetu!!
   
 13. mfereji maringo

  mfereji maringo JF-Expert Member

  #13
  May 30, 2011
  Joined: Nov 19, 2010
  Messages: 1,003
  Likes Received: 19
  Trophy Points: 135
  si wangeendg kuwapa pole tarime?
   
 14. D

  DONALD MGANGA Member

  #14
  May 30, 2011
  Joined: Mar 22, 2011
  Messages: 99
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  YES, Mzee Mkama mwangalie sana huyo kijana sababu anapenda sifa sana...... tena za kipuuzi puuzi. MWAMBIE AJENGE CHAMA SI KUKIBOMOA. Mimi nahakika atapingana na wewe tena kwenye vikao huko Rikwa kama siku ile kwenye TV wewe unasema hakuna kitu kama hicho yeye anasema kipo! Mfundisheni huyo kijana.
   
 15. gmosha48

  gmosha48 JF-Expert Member

  #15
  May 30, 2011
  Joined: Oct 19, 2010
  Messages: 1,955
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Mbuta! Kiru!Watathubutu? Labda wakija wasije na Nape. Lazima atapopolewa tu! Matusi kaanza mwenyewe, hivyo asijemlaumu mtu.
   
 16. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #16
  May 30, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Nape na kiroba cha kokota anataka kumvujishia kidogo Mukama na Chiligati, je uropokaji kwamba viongozi wa Chadema ni Machandimu anavyopost kwenye facebook inajenga hoja za kujivua magamba?
   
 17. J

  Jenifa JF-Expert Member

  #17
  May 30, 2011
  Joined: Oct 30, 2010
  Messages: 603
  Likes Received: 193
  Trophy Points: 60
  mti wenye maembe ndio unarushiwa mawe.

  chadema wanamwogopa nape. angalia comments zao.

  mtu akiwa na wivu ata akiandika unaona.

  nape hawa watu wamelegea kaza buti kaka
   
 18. Candid Scope

  Candid Scope JF-Expert Member

  #18
  May 30, 2011
  Joined: Nov 8, 2010
  Messages: 11,896
  Likes Received: 119
  Trophy Points: 160
  Nape na ziasa zake za ukabila na udini anazowabambikizia Chadema ndivyo atakavyowaambia wafipa wawakatae Chadema kwa vile ni wachaga na ni wakristo? Ufipani zaidi ya 70% ni wakristo magamba yatamshinda.
   
 19. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #19
  May 30, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Nape naye mnapoteza muda kumjadili kweli ? Mwacheni wavuane magamba tuone na mwisho wa Nape kisiasa ndani ya CCM ni huo hapo kwenye kona
   
 20. bibikuku

  bibikuku JF-Expert Member

  #20
  May 30, 2011
  Joined: Feb 16, 2011
  Messages: 828
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Duh, Jamaa wanaenda kufukia mashimo ya CHADEMA nini???
   
Loading...