Rais Kikwete kutohutubia taifa mwisho wa mwezi Mei | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Rais Kikwete kutohutubia taifa mwisho wa mwezi Mei

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Invisible, May 31, 2011.

 1. Invisible

  Invisible Admin Staff Member

  #1
  May 31, 2011
  Joined: Feb 11, 2006
  Messages: 9,090
  Likes Received: 236
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 2. J

  Jasusi JF-Expert Member

  #2
  May 31, 2011
  Joined: May 5, 2006
  Messages: 11,484
  Likes Received: 165
  Trophy Points: 160
  Should we be surprised? Is this also news?
   
 3. shiumiti

  shiumiti JF-Expert Member

  #3
  May 31, 2011
  Joined: Jun 4, 2009
  Messages: 438
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Naona jamaa ameshtuka, kaona atarudia yale yalee!!!!!!!!
   
 4. Mimibaba

  Mimibaba JF-Expert Member

  #4
  May 31, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 4,566
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 0
  Nashukuru amegundua wengi wetu tunamsikiliza kama comedian asiye na dhamira wala lengo la hotuba zenyewe kwa watanzania na tanzania. Wanaomtayarishia pia wako out of touch na reality ya watanzania na tanzania.

  Si ajabu Ikulu ni wadeni wa TBC. Asitishe kabisa hotuba za kipuuzi. Ebu tujiulize kama kuna hotuba iliyoleta tija.
   
 5. F

  FJM JF-Expert Member

  #5
  May 31, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ikulu kutumia maneno kama " hotuba yake ya mwisho wa mwezi kama ilivyo kawaida' is not true. Kikwete amekuwa hatabiriki, mara mwezi huu aongee mara ule aruke, mara aruke miezi miwili bila hotuba. Hivi hotuba ya mwisho ilikuwa lini? Na muda wote huo kwa nini Ikulu ilikaa kimya bita kutuambia rais keshatoa ujumbe wake kwa 'osmosis'? Na ni ujumbe gani hasa raisi ametowa hii May? - au ni ule mchakato wa kununua meli kuuuuuubwa kuliko MV Bukoba aliosema huko Mwanza jana?

  Kikwete badilisha timu wa washauri wako magogoni. wanakupeleka siko.
   
 6. M

  Mfwatiliaji JF-Expert Member

  #6
  May 31, 2011
  Joined: Oct 5, 2007
  Messages: 1,325
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Why is he being paid then? He has completely failed..he should vacate the Office sooner and not later!!
   
 7. Wacha1

  Wacha1 JF-Expert Member

  #7
  May 31, 2011
  Joined: Dec 21, 2009
  Messages: 12,766
  Likes Received: 920
  Trophy Points: 280
  Bado anaomboleza

   
 8. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #8
  May 31, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,349
  Likes Received: 19,530
  Trophy Points: 280
  hana jambo la kujisifia , watu wanataabika
   
 9. Maishamapya

  Maishamapya JF-Expert Member

  #9
  May 31, 2011
  Joined: Nov 3, 2010
  Messages: 1,280
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 135
  He has been very brave this time. Kuliko ajikanyage kujibu mambo ya Nyamongo ameona apotezee.
   
 10. LE GAGNANT

  LE GAGNANT JF-Expert Member

  #10
  May 31, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 1,247
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  RAIS KIKWETE HATAHUTUBIA TAIFA MWEZI HUU, SABABU NI KWAMBA MAMBO MENGI AMEKWISHAYAONGEA KWA WANANCHI IKIWA PAMOJA NA HOTUBA YA MEI MOSI.

  SOURCE: TBC1 Habari ya saa2 usiku
   
 11. Watu

  Watu JF-Expert Member

  #11
  May 31, 2011
  Joined: May 12, 2008
  Messages: 3,054
  Likes Received: 427
  Trophy Points: 180
  Angeishia kusema I'm the president kama sepp blatter!!!
   
 12. 22nd

  22nd JF-Expert Member

  #12
  May 31, 2011
  Joined: Aug 1, 2010
  Messages: 498
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  kumbuka alifiwa(na mganga wake), na hana jipya la kuwaambia wananchi coz most of them wameshaanza kuamka kutoka usingizini.
   
 13. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #13
  May 31, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 41
  Trophy Points: 0
  Mambo ya kuongea Tanzania ni mengi sana, kama Ikulu inge kuwa makini Rais anaweza kuongea kila siku na bado akaongea mambo mapya!

  Ikulu inawekwa wapi katika kushindwa kazi kwa Kikwete!? Basi hata angeongelea hatua iliyofikiwa kuhusu Mafisadi! Maana sitaki kuamini kuwa anayetakiwa kuwafukuza ni Nape na si Kikwete! Bado hajafanya lolote juu ya wazungu wa unga nasikia mmoja ni mbunge wake wamesema wao CCM wenyewe, sijamsikia juu ya vifo vya nyamongo na the forward!, katiba je? Bomoa bomoa waliyomsimamisha Magufuri nini kinaendelea chini ya meza au juu ya meza?, Walinywesha watanzania dawa za kienyeji Samunge nini matokeo ya kitaalam juu ya dawa hiyo maana tuliambiwa Mkemia Mkuu kaipereka somewhere kwa hatua zaidi au ndio tusubiri mass death kabla ya 2015!, etc etc.....

  Come on Rais wangu mambo yapo mengi hapa Bongo na yote yana kuangalia wewe iweje Salva anasema hauna jipya! Kama Salva anasema hauna jipya huoni kuwa anakuaibisha Mkuu!
   
 14. BABA JUNJO

  BABA JUNJO JF-Expert Member

  #14
  May 31, 2011
  Joined: Nov 9, 2010
  Messages: 241
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Hana lolote kaishiwa sera.
   
 15. h

  hans79 JF-Expert Member

  #15
  May 31, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  Vp safari za nje ya nchi? Je, pana lipi kaamua? Barabara mtumba ya Kilwa Road? Nani anaweza kukimbia mlo mnene wa utawala Tz? Eti uwongo ukinenwa sana huaminiwa, haelewi uwongo hukanushwa na ukwel?
   
 16. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #16
  May 31, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,349
  Likes Received: 19,530
  Trophy Points: 280
  kiufupi ni kwamba huyu mtu nchi ishamshinda hapa bora liende tu , bora aondolewe na hakuna zaidi ya hapa. huwezi kuniambia kuwa nchi kaa tanzanai rais anashindwa /hana la kuongea . ina maana hakuna matatizo nchini? mama weeee,
  Kikwete must go:
   
 17. MAYOO

  MAYOO JF-Expert Member

  #17
  May 31, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 200
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Hivi huko lkulu mko makini kweli nyie wahabarishaji? Mbona tangazo la kiswahili halafu anuani ya kiingereza. Binafsi kwasababu ya uzembe wenu hata hiyo taarifa sioni mantiki yake. Mnakera sana
   
 18. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #18
  May 31, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Hawa nao waache uongo, wanaongea as if ni kawaida yake kuongea kila mwezi.
   
 19. Makene

  Makene JF-Expert Member

  #19
  May 31, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 1,479
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  Bora akae kimya kuliko alivyozoea kututia machungu na hotuba zake zisizo na Tija kwa taifa.
   
 20. G

  Gurtu JF-Expert Member

  #20
  May 31, 2011
  Joined: May 15, 2010
  Messages: 1,202
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kumbe sasa tukatafute kwenye maktaba zetu yale aliyoyaongea katika mwezi huo kwenye hotuba zake mbalimbali. Hii kali sana.
   
Loading...