Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

TFF ilifanya kosa kubwa sana kumpatia timu ya taifa ya vija under-23 kwa kocha mzalendo Jamhuri Kihwelu.Matokeo yake vijana wetu wameishia kutolewa na Nigeria kwa sabau za uwezo mdogo wa...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
ni jambo lililo wazi kuwa wenzenu ccm wamepora maeneo mengi sana ambayo kimsingi yalikuwa ni ya umma.mfano wa maeneo hayo ni viwanja vya michezo. Nionavyo ni kwamba hata chama kingine...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Nimejaribu kuangalia Historia nimejikuta ninawazimia sana hawa jamaa wakati wa uongozi wao George Bush - US Adolf Hitler - Germany Benito Mussolini - Italy Hideki Tojo - Japan Ferenc Szálasi -...
0 Reactions
156 Replies
16K Views
kwa mfano kama wasilamu wangekuwa hawahadaiki kiulaini na viongozi wa sasa kwa kisingizio cha kiongozi wa msafara bwana jk kuwa msilam basi na wakiristo kuhubiri amani na upendo kwa vitendo basi...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
yule mtu anayechukiwa zaidi rajabu kilavu na yule mzee mchawi john tendwa wapo bungeni,ovyoo kwelikweli!!!!!!!!!!!!!
0 Reactions
3 Replies
2K Views
Kwa evaluation yangu hadi sasa,wabunge wafuatao hawafanani na chadema kabisa,msaada wao kwa chadema ni sifuri 1.Rose Kamili alihamia chadema baada ya kuangushwa kwenye kura za maoni ccm,toka...
2 Reactions
38 Replies
4K Views
Mkuu wa wilaya ya mvomero huenda akaingia matatizoni endapo tuhuma dhidi yake zitathibitishwa.
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ni bora Andrew Chenge angekuwa ni spika wa bunge la jamuhuri wa muungano wa Tz, kuliko Anne makinda, kutokana na CV ya Chenge, kwani amekuwa mwanasheria Mkuu wa serikali kwa kipindi kirefu kuliko...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
MBIO za kusaka urais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kwa ajili ya kumrithi Rais Jakaya Kikwete tayari zimeanza na zinakwenda kwa kasi kubwa ndani ya Chama Cha Mapinduzi (CCM). Mbio hizo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
makinda amuomba mh. kafulila aulize swali la nyongeza kwenye wizara ya madini ila asichafue hali ya hewa TBC Bungeni now.......jamani huku sikuzibana midomo kweli...?
0 Reactions
11 Replies
2K Views
MIONGONI mwa watu wanaotajwa kuwa kwenye mzunguko wa mwisho kuelekea ikulu katika uchaguzi mkuu ujao ni Bernard Kamilius Membe. Mbunge huyo wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi na waziri wa mambo ya...
0 Reactions
22 Replies
2K Views
Ilikuwa masaa, siku, na hatimaye miezi toka Mheshimiwa Reginald Mengi na baadae Mheshimiwa Harrison Mwakyembe walipotoa malalamiko dhidi ya mwenendo wa baadhi ya wafanyabiashara na wakubwa katika...
0 Reactions
6 Replies
1K Views
Wana JF, Jana kwa mara ya kwanza nilikubali kwamba makamu wa kwanza wa RAIS wa zanzibar ni mwanasiasa aliyebobea anayeamini katika ukweli.Kwa wale walioangalia taarifa ya habri ya ITV saa mbili...
4 Reactions
39 Replies
4K Views
Sitta ajitosa mjadala wa posho Send to a friend Monday, 27 June 2011 09:13 0digg Waziri wa Ushirikiano wa Afrika Mashariki, Samwel Sitta...
1 Reactions
23 Replies
3K Views
Simbachawene mbunge wa Kibakwe CCM ameliambia bunge kuwa kwa sasa hakuna Mtanzania anayeshindwa kunywa chai kwa siku. Sisi kule kwetu, kulingana na hali ngumu ya uchumi chai ni 'mashikalo mageni'...
0 Reactions
40 Replies
5K Views
Purukushani za hao wanaofanya michakato,mbinu maarifa na mengineyo ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015,wajue moja Watanzania wa leo,bila viatu vya Baba wa Taifa Mwalimu Julius...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
NYOTA za wanasiasa machachari wanaotoka kambi ya upinzani na kurejea Chama Cha Mapinduzi (CCM), zinazidi kung’ara kwa baadhi yao kuchaguliwa kushika nafasi mbalimbali za uongozi ndani ya chama...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Mbunge wa CUF, HAJI Khamis Kai wa Jimbo la Micheweni amesema kuwa anawapongeza sana CDM kwa kui'copy CUF kule Zanzibar na kufikia muafaka wa Udiwani na CCM kule Arusha. Amemaliza kwa kusema kuwa...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Monday, June 27, 2011, 6:29 Habari, Mtanzania Na Mwandishi Wetu, Dodoma CHAMA cha NCCR-Mageuzi kimekubali kufanya kazi bungeni na Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA). Taarifa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
1.jamaa ameanza kuanguka kisiasa kiukweli havumi kama miezi michache iliyopita hii inatokana na sakata lake la posho ambapo nayeye inabidi ajivue gamba kwa hilo 2. Sasa anategemea maandamano tu...
0 Reactions
104 Replies
9K Views
Back
Top Bottom