Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Wito ulitolewa na viongozi waandamizi wa CDM, uchaguzi wa Meya wa Arusha umekuwa na hitilafu wa kisheria na uchaguzi umeendeshwa isivyo halali, kanuni kutofuatwa na kuwa na wapiga kura wasio...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wakuu hivi zile gari aina ya BMW kwenye msafara wa kikwete huwa ni kwa ajili ya walinzi wake? si ingefaa awe anapanda angalau kwenye moja ya hizo ili kama kuna adui asijue yumo kwenye gari gani...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
Asema suala la kuwafukuza sasa halina mjadala Ni baada ya kukaidi amri kujivua gamba Asisitiza kinachosubiriwa ni taratibu za kuwatema Pia awonya mafisadi wengine na wezi serikalini Awajulisha...
0 Reactions
53 Replies
6K Views
Ilikuwa ni siku ya Desemba 9, 2010. Tanzania ilikuwa inasherehekea miaka 49 ya Uhuru wa taifa. Baada ya kukagua gwaride Uwanja wa Taifa, Rais Jakaya Kikwete alifanya dhifa ya kitaifa Ikulu na...
0 Reactions
1 Replies
4K Views
Source: allAfrica.com: Tanzania: Concern Raised As Jakaya Kikwete Plays Hosts Local ICC Suspect
0 Reactions
0 Replies
979 Views
Katika hafla hiyo hata viongozi wa Jumuiya hiyo hawakuwa nyuma katika kutekeleza majukumu yao kama kawaida japo ilikuwa ni jumapili, hapa ni Makamu Mwenyekiti wa Jumuiya hiyo, Miriam Abu (kushoto)...
0 Reactions
140 Replies
12K Views
Hii habari ni ya siku nyingi sana lakini inaweza kukupa clue juu ya Nyerere(Aka:Failure) By Ann Talbot - 15 November 2000 Opposition parties boycotted the rerun election in the East African...
0 Reactions
9 Replies
2K Views
Habarini Great thinkers! Naomba mnipokee jamvini! Kwa muda mrefu sasa nimekuwa nikifuatilia kwa karibu mwenendo wa bunge letu! Nashangazwa sana na tabia ya wabunge wetu inayozidi kujengeka ya...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
International court issues arrest warrant for GaddafiReuters – Mon, Jun 27, 2011 THE HAGUE (Reuters) - The International Criminal Court issued arrest warrants Monday for Libya's Muammar...
0 Reactions
2 Replies
957 Views
Mgombea ubunge wa CUF katika uchaguzi wa 2010 jimbo la KIGOMA KASKAZINI ndugu OMAR MUSA MKWALULO amekamatwa leo mchana na polisi jijini Dar es salaam. Bwana mkwalulo alipigiwa simu na ofisa wa...
0 Reactions
6 Replies
2K Views
Wananchi wa kijiji cha segese wilayani Kahama wamechimba barabara iendayo Kakola ili kuzuia mawasiliano ya barabara wakimtaka mbunge wao atekeleze ahadi alizowaahidi kwenye kampeni zake za...
1 Reactions
6 Replies
3K Views
By JOHN MBALAMWEZI Posted Sunday, June 26 2011 at 09:30 Tanzania plans to construct a Tsh2.3 trillion ($1.5 billion) railway line to open up its mineral rich southern region and boost the...
0 Reactions
25 Replies
3K Views
Sikieni alichokisema jana; kuwa anawashukuru sana watu wa manicipal ya Tabora kwa kumchagua kuwa mbunge... nafasi ambayo amekuwa akitafuta kwa muda mrefu...Kwamba Tabora hawadanganyiki kwa kuwa...
1 Reactions
68 Replies
7K Views
Wengi hawaridhishwi na utendaji wake pamoja na ule wa baraza lake la mawaziri. Ameshindwa kutatua kero mbalimbali za wananchi. Je akijiuzulu tumshitaki kwa makosa gani aliyoyavunjia sheria?
0 Reactions
8 Replies
1K Views
Inasemekana kuwa Katibu Mkuu wa Chama cha Mapinduzi (CCM), Willison Mukama anafanya kampeni ya kuzifanya kamati nyeti za bunge zinazoshikiliwa na wapinzani ziongozwe na wabunge wa CCM. “CCM ina...
0 Reactions
11 Replies
1K Views
Nyerere: wafungwa wafundishe Sekondari za kata Send to a friend Monday, 27 June 2011 08:53 0diggsdigg Hussein Issa KUTOKANA na uhaba wa walimu nchini, serikali imeshauriwa kuwatumia...
0 Reactions
20 Replies
3K Views
SITAKI Waziri wa Mambo ya Nje na Ushirikiano wa Kimataifa, Bernard Membe, ahubiri siasa za kuomba huruma. Wiki hii bungeni, alilitaka bunge, Watanzania wote na wenye nia nzuri kwa taifa hili...
0 Reactions
18 Replies
2K Views
hatimaye Dr slaa aongea na wanavyuo hasa DUCE.alzungunzia hasa taifa atakulokuja kuliongza lnaitaji crititical thinker wnackilza k2 na kukifanyia utifiti na co kupelekwa kma chuo kikuu cha...
1 Reactions
16 Replies
2K Views
* Sasa kutumika kuung’oa uongozi * Milioni 50/- za hongo zawatesa * Ujumbe wa Dk. Slaa wapondwa NA SHAABAN MDOE, ARUSHA HALI si shwari ndani ya uongozi wa CHADEMA wilayani Arusha, baada ya...
0 Reactions
27 Replies
3K Views
Wanajanvi, haya ni maoni yangu kwamba Babu wa Samunge ana akili na ubunifu kuliko serikari yote ya ccm na wataalam wa uchumi.Babu alibuni kikombe na kuweka gharama ndogo ya malipo. Jambo hili...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom