Bora Andrew Chenge angekuwa spika wa bunge la jamhuri | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bora Andrew Chenge angekuwa spika wa bunge la jamhuri

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by THE PERFECT, Jun 22, 2011.

 1. THE PERFECT

  THE PERFECT Member

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 22, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Ni bora Andrew Chenge angekuwa ni spika wa bunge la jamuhuri wa muungano wa Tz, kuliko
  Anne makinda, kutokana na CV ya Chenge, kwani amekuwa mwanasheria Mkuu wa serikali kwa kipindi kirefu kuliko wote ma-AG,
  hivyo ni mtu ambae anazijua sana kanuni na sheria mbalimbali angeweza kuliongoza vizuri bunge hili lenye changamoto za kikanuni.
  CCM walifanya kosa kumchingia baharini mtu mhimu kama huyu kwa kile kiti. Makinda hazijui kanuni na waha hajiamini hafai katika bunge la sasa la wasomi wengi na vijana kibao wenye uweza...
   
 2. MtamaMchungu

  MtamaMchungu JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 10, 2011
  Messages: 3,695
  Likes Received: 507
  Trophy Points: 280
  Tutawaona wengi, naona na vijisenti katuma watu wake. Tumsubiri na RA.
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Iam pretty sure kwamba Makinda hawezi kuongoza bunge hili, lakini kusema Vijisenti arudi ni kuwaza kwa sauti sana!
  Chenge ana tofauti gani na Makinda kwa habari ya maadili?...si wote ni wa mama mmoja?
   
 4. The Son of Man

  The Son of Man JF-Expert Member

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 9, 2010
  Messages: 12,124
  Likes Received: 1,707
  Trophy Points: 280
  Dah, hii kali kweli wa2 wamechoka!
   
 5. mfianchi

  mfianchi JF-Expert Member

  #5
  Jun 24, 2011
  Joined: Jul 1, 2009
  Messages: 7,947
  Likes Received: 1,507
  Trophy Points: 280
  Kaka huo uanasheria mkuu wa Chenge ndio umetufikisha hapa tulipo,Chenge hastahili hata kuwa mjumbe wa nyumba kumi ,aheri ya huyo Makinda kuliko mzee wa vijisenti,au umesahau alivyobambwa na kamera mule mjengoni,pamoja na elimu yake ,yeye ni sawa na wale walosoma zile shule tulikuwa tukiziita za TAPA au Bush
   
 6. yutong

  yutong JF-Expert Member

  #6
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 15, 2011
  Messages: 1,604
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  wanawake tunawezaaaaaaa, yamewatokea puwani, kinachotakiwa hapa si kichwa awe mwanamke ama mwanaume kuweza kwako kutategemea IQ yako. Kama akina mama kiroboto, mama sofa samba (mipasho originally) ndo hao wanasema wanaweza yako wapi sasa? kwishne kabisa na hii miaka mitano huyo mama amebebeshwa gunia la misumari kichwani kazi anayo. Someni bila shida
   
 7. m

  mtimbaru Member

  #7
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 74
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  ni kweli kabisa mafisadi wanaanza kutuma watu wao ndani ya jf
   
 8. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Lakini hawatafanikiwa maana tumeshashtukia. Chenge anatakiwa awe nyapara kule jela halafu tunamjadili hapa kwa ajili ya uongozi wa taifa! Hii ni dhihaka.
   
Loading...