JK anaongoza nji kwa kinga ya msikiti na upendowa wakirisito | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JK anaongoza nji kwa kinga ya msikiti na upendowa wakirisito

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by The Prophet, Jun 27, 2011.

 1. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  kwa mfano kama wasilamu wangekuwa hawahadaiki kiulaini na viongozi wa sasa kwa kisingizio cha kiongozi wa msafara bwana jk kuwa msilam basi na wakiristo kuhubiri amani na upendo kwa vitendo basi kama wakirisito wangeamua tu kuleta noma ili jk ang'oke kwa kuwa ni total failure ya uongozi kuwahi kutokea katika tanzania, basi huruma tu ya wakiristo na ujuha kidogo ya watanganyika hasa wa vijijini na mambo ya wasilam kufunzwwa jihadi ndiyo vunaufanya utawala wa jk unasavaivu.

  au mnsasemaje wadau. mnafikiri nimedata?
   
 2. The Prophet

  The Prophet JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 17, 2011
  Messages: 682
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  lakini ujuha wa watanganyika unazidi kupotea. kwa mfano mtanganyika mmoja kwa jina vicente nyerere amegoma kununua mafuta ya mwenge. hii ni ishara ya watanganyika kuamka. lakini pia chadema wameamua kuingilia kati kuamsha watanzania. si haba, japo jk atakuwa ameng'oka wakati huo, lakini ccm na mambo yake ya bakwata vitakuwa vimefikia ukomo na nchi yetu itaepuka janga la kugeuka nigeria mpya kwani sasa tunanyemelewa.
   
 3. saitama_kein

  saitama_kein JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2011
  Joined: Oct 29, 2009
  Messages: 982
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 33
  Aaah wewe ni chizi....pumbafu kabisa!!
   
 4. K

  KAPONGO JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2011
  Joined: May 29, 2009
  Messages: 1,374
  Likes Received: 167
  Trophy Points: 160
  Kumbe machizi huwa mnajijua!!! Nadhani unahitaji kupepewa na kupungwa pepo mbaya wa chuki, unafiki na udini wa kijinga ambao hauna nafasi nchini hivi sasa.
   
 5. I

  Ismaily JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2011
  Joined: Jun 19, 2011
  Messages: 357
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Amewapa pesa waislam wenzangu wafanye makongamano nchi nzima wamsafishe kisa eti ni mwislam mwenzetu,waislam tuache kutumika jamani,nimehudhuria mojawapo ya kongamano ni siasa tupu,siku zote BAKWATA ni kibaraka wa serikali ya CCM ,bakwata tangia enzi za uhuru mpaka leo ipo kwa ajiri ya kutukandamiza waislam kwa kutumiwa na serikali ya CCM,Thus why kwa sas makongamano yetu waislam yote kwa ajiri ya kumtetea KIKWETE kisa eti ni mwislam mwenzetu,wakati yeye pamoja na wapambe wenzake kina CHENGE,LOWASSA,GELEJE,ROSTAM,ndiyo waliolifikisha pabaya Taifa,waislam wenzangu tufunguke akili,uislam wa KIKWETE unakusaidia nini we muislam,au ukristo wa NGEREJE na LOWASSA unawasaidia vipi wakristo?tuache kudanywa tuwe na utaifa na nchi yetu,wasitumie kivuli cha dini kuficha maovu yao wakati wao na familia zao wanaishi vizuri,wakati sisi tumebaki tukitumika na kuishi kwa dhiki.
   
 6. f

  fazili JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2011
  Joined: Jun 10, 2011
  Messages: 1,192
  Likes Received: 405
  Trophy Points: 180
  watanzania tuache malumabano ya kidini manake yanatupeleka pabaya zaidi ya pale tulipo sasa. Kwa yeyote mwenye akili timamu na aliye siriazi fanya kazi kwa bidii na maarifa halafu utaniambia kama hayo mambo ya kidini yatakuwa na la maana. tatizo la wabongo ni umaskini zaidi wenye hela zao wametulia labda kama wanataka nafasi za kisiasa ndio wanakuja kwenye dini kuchagiza
   
 7. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Jukwaa la dini hili bandiko ningelifana sana!
   
 8. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #8
  Jun 27, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
Loading...