TFF ijifunze toka Brazil jinsi ya kusajili kocha wa timu ya taifa! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

TFF ijifunze toka Brazil jinsi ya kusajili kocha wa timu ya taifa!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Tango73, Jun 26, 2011.

 1. Tango73

  Tango73 JF-Expert Member

  #1
  Jun 26, 2011
  Joined: Dec 14, 2008
  Messages: 1,678
  Likes Received: 34
  Trophy Points: 135
  TFF ilifanya kosa kubwa sana kumpatia timu ya taifa ya vija under-23 kwa kocha mzalendo Jamhuri Kihwelu.Matokeo yake vijana wetu wameishia kutolewa na Nigeria kwa sabau za uwezo mdogo wa kitaalam wa kocha wao. Nchi kama Brazil kabla ya kumsajiri kocha wa timu yao ya Taifa lazima chama chao cha soka kijue ni aina gani za fomesheni anweza kuchezesha timu kwa dakika 90 za ushambuliaji na ushambuliwaji. Na hizo fomesheni huyo kocha kazionesha katika ligi kuu kwa kutumia timu yake anyoifundisha. Sas hapa petu utaona kocha anpewa timu bila ya hata TFF kutueleza wananchi ni mafanikio gani vilabuni huyo kayaonesha na utaalam wake wa kuzipanga fomesheni katika heka heka za mchezo uwanjani. Sas utagundua ya kuwa umbumbu wa TFF kutokujua nini maana ya kutafuta kocha bora watanzania tunajikuta tuna vilio vingi vya kutofanikiwa kuingia mashindanononi mwa AFCON . Taifa lenye watu million 50 kushindwa kuingia AFCON kwa miaka zaidi ya therathini ni haibu kubwa kuliko kutembea bila viatu harusini. TFF amkeni jamani!
   
 2. Kamakabuzi

  Kamakabuzi JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2011
  Joined: Dec 3, 2007
  Messages: 1,499
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Jamhuri ni kocha mzuri lakini si kwa level ya timu ya Taifa.
  Inaonekana hawa vijana walikuwa wanaenda kwa nguvu ya yule kocha aliyeondoka maana utaona pole pole wanazidi kurudi chini
   
 3. P

  PakavuNateleza JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 957
  Likes Received: 513
  Trophy Points: 180
  peleka jukwaa la michezo
   
Loading...