Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

MBUNGE wa Jimbo la Maswa Magharibi (CHADEMA) Bw.John Shibuda, amesema utendaji mzuri wa Waziri Mkuu, Bw. Mizengo Pinda, unavurugwa na baadhi ya mawaziri aliodai ni mzigo ambao hawana utashi na...
0 Reactions
15 Replies
2K Views
Imekuwa sasa ni fashion kwa watendaji wa serikali kunyamazisha hoja za wazalendo kwa kudai eti huyo mtu anatafuta umaarufu hii kauli sasa imekuwa kama ndo mtindo mpya wa kuzima hoja za watu na...
3 Reactions
18 Replies
2K Views
:bange: Allow guys, kwanza kabisa napenda kushukuru kuvumbua ukurasa huu kwa kweli umenivutia saana. lninajmbo ambalo sielewi. Uchumi USA unakuwa kwa mwaka kama asilimia 2 hivi lakini wananchi...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
HOTUBA NA NAPE YALIZA WATU MKUTANONI, MBUNGE WA CUF NA WAFUASI WAKE WAMSHANGILIA NA BASHIR NKOROMO, KILWA HOTUBA aliyotoa Katibu wa NEC Itikati na Uenezi CCM Nape Nnauye, juzi katika mji...
0 Reactions
69 Replies
9K Views
Wana JF napenda nichukue nafasi hii kuwahabarisha yanayoendelea bungeni,inawezekana wengi hamko karibu na tv au chombo kingine cha habari!Ilikuwa ni jukumu la GHORST RIDER sijui MODS wamempiga...
1 Reactions
52 Replies
6K Views
Kila lenye mwanzo lina mwisho na pia majuto ni mjukuu.Chama cha CHADEMA sasa kinaelekea ukingoni na hii ni kutokana kudhihirika kwa yale yalokuwepo chini ya Blanketi.Tangu siku nyingi chadema...
0 Reactions
66 Replies
6K Views
na Abdallah Khamis CHAMA cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kimemtaka Inspekta Jenerali wa Jeshi la Polisi nchini (IGP), Said Mwema, kutoa ufafanuzi wa zaidi ya sh bilioni 220...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Kwa nini serikali inatufanya sisi kama watoto? Yaani inamaana katiba mpya kuzinduliwa bila maoni ya wengi? Lazima ikumbukwe luwa katiba mbovu uchumi mbovu, katiba nzuri uchumi mzuri. Sasa hawa...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Sunday, 26 June 2011 ASEMA anawakejeli Watanzania, ni sehemu ya matatizo Hussein Issa na Fidelis Butahe KATIBU Mkuu wa Chedema Dk Wlibroad Slaa ameunga mkono kauli ya Mbunge wa Monduli,Edward...
0 Reactions
31 Replies
5K Views
Nimejaribu kupitia magazeti leo jumapili sioni hata moja lililocover story ya serengeti ikiwa serikali imenawa mikono kutokana na shinikizo la marekani...embu ona serikali ilijifanya kichwa...
0 Reactions
23 Replies
4K Views
The Sh2 trillion tax hole Sunday, 26 June 2011 09:06 By Costantine Sebastian, Weekend Editor THE CITIZEN Experts have warned that the new tax waivers announced by the Treasury will...
0 Reactions
1 Replies
958 Views
Mheshimiwa Rais: Hatujakusikia kwa muda sasa kutoa hotuba ya mwisho wa mwezi! na bila shaka wasaidizi wako wanaanda hotuba sasa kwajili ya June 2011 naomba uzingatie yafuatayo 1. Suala zima la...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Sikushangaa kusikia tarifa kuwa wabunge wa CCM walimshangilia Edward Lowassa wakati akichangia hoja bungeni. Sikushangaa ndiyo kwa sababu Lowassa, Kikwete, Rostam na wenzao ni watu wa Rushwa. Pia...
2 Reactions
26 Replies
4K Views
Kwa sisi wapiga kura tusio na ushabiki wa vyama au viongozi, tunafurahishwa kuona siasa balanced. Tulizoea kusoma habari za upande mmoja hasa hapa JF, lakini baada ya JK kumteua kijana Nape...
0 Reactions
75 Replies
6K Views
Written by makame silima // 26/06/2011 // Habari // No comments Muungano upo lakini Tanganyika imeshakufa kwa jina la Tanzania. [caption id="attachment_31252" align="aligncenter" width="405"...
0 Reactions
5 Replies
2K Views
kutokana na mahojiano yake na gazeti la raia mwema la wiki 3 zilizopita alisema yy ni mjamaa kimsimamo,sasa cdm ni chama cha kibepari chenye ushirika na chama cha kikatoliki cha ujerumani,watu...
0 Reactions
2 Replies
1K Views
Hi na salam kwa wote....jamani mpona hatuwaelewi? tunaitaji maandamano kuishinikiza serikari kuhusu hili swala la umeme. Tumechoka...tumechoka!! watu wana imani na CDM ila kwa hili inaonekana...
0 Reactions
17 Replies
2K Views
Na Alfred Lucas - Imechapwa 15 June 2011 Atinga kwa Nabii Joshua kuombewa Waziri Membe ateta na Rostam Aziz EDWARD Lowassa, mwanasiasa anayetajwa "kujipanga kugombea urais mwaka 2015,"...
0 Reactions
11 Replies
2K Views
Nimeguswa sana na hoja za Sitta huko mzumbe jana kuwa tz ni nchi ya pili africa kuwa na potentials za umeme baada ya drc. alisema tz ingetakiwa inauza umeme nje si kuwa na mgao. alimaanisha tatizo...
0 Reactions
12 Replies
1K Views
Wananchi wa kata ya Kasanga mkoani Rukwa,wamepelekewa boksi 10 za kondom badala dawa walizoomba bohari kuu ya dawa{MSD}.kauli hiyo ilitolewa na mbunge wa viti maalumu CHADEMA Suzan Kiwanga alipo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Back
Top Bottom