Kuanguka kwa Dr Slaa

kingxvi

JF-Expert Member
Feb 11, 2011
879
150
1.jamaa ameanza kuanguka kisiasa kiukweli havumi kama miezi michache iliyopita hii inatokana na sakata lake la posho ambapo nayeye inabidi ajivue gamba kwa hilo
2. Sasa anategemea maandamano tu sasa ili ajijenge kisiasa
hali yake tete mpaka anaandaa mikutano vichochoroni na vyuoni ili apate posho
3.hata thread za kumuhusu yeye nw hazina mvuto kama zamani wachangiaji wachache sana.
 
1.jamaa ameanza kuanguka kisiasa kiukweli havumi kama miezi michache iliyopita hii inatokana na sakata lake la posho ambapo nayeye inabidi ajivue gamba kwa hilo 2. Sasa anategemea maandamano tu sasa ili ajijenge kisiasahali yake tete mpaka anaandaa mikutano vichochoroni na vyuoni ili apate posho3.hata thread za kumuhusu yeye nw hazina mvuto kama zamani wachangiaji wachache sana.
umetumwa na Nape nini kwa maana hana kazi nyingine zaidi ya kuchunguza maisha ya dr slaa sasa apewe yeye hizo posho.
 
2. Sasa anategemea maandamano tu sasa ili ajijenge kisiasa
hali yake tete mpaka anaandaa mikutano vichochoroni na vyuoni ili apate posho

huko vichochoroni ni wapi eleza kichochoro kipi, na huko anakutana na watanzania au wanyama ?
 
1.jamaa ameanza kuanguka kisiasa kiukweli havumi kama miezi michache iliyopita hii inatokana na sakata lake la posho ambapo nayeye inabidi ajivue gamba kwa hilo
2. Sasa anategemea maandamano tu sasa ili ajijenge kisiasa
hali yake tete mpaka anaandaa mikutano vichochoroni na vyuoni ili apate posho
3.hata thread za kumuhusu yeye nw hazina mvuto kama zamani wachangiaji wachache sana.

Na yule kiongozi wenu wa chama cha magamba aliyewahi kuitwa "mkombozi wa Watanzania" "Chaguo la Mungu" akaingia kwa gia kubwa ya "ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya" huwa anavumia wapi siku hizi? kwenye mabembea ya Ikulu!?
 
Naona umekosa mabwana magamba unakuja kuwatafuta huku kwa magreat thinker kauli hizo peleka facebook huku sebuleni chmbani facebook hatutaki watoto humu....Huna hoja ndugu facts ziko wapi hapo? Slaa unataka aje kufanya mkutano nyumbani kwako au? huna hoja kalale.
 
A lose Dk Slaa, leo nimemuona kwenye TV anaongea na wanafunzi wa vyuo yaani yupo mkiwa sana! dhambi ya pesa za wananchi (Ruzuku) kufanya maandamano kisha wanagawana posho, naona inamtafuna na bado mpaka kieleweke
 
Na yule kiongozi wenu wa chama cha magamba aliyewahi kuitwa "mkombozi wa Watanzania" "Chaguo la Mungu" akaingia kwa gia kubwa ya "ari mpya, nguvu mpya na kasi mpya" huwa anavumia wapi siku hizi? kwenye mabembea ya Ikulu!?
Hivi huo msemo naona umekufa kibudu kabisa maana siku hizi husikii kiongozi hata mmoja autumie. Lo! ccm wana vutuko sana!
 
1.jamaa ameanza kuanguka kisiasa kiukweli havumi kama miezi michache iliyopita hii inatokana na sakata lake la posho ambapo nayeye inabidi ajivue gamba kwa hilo
2. Sasa anategemea maandamano tu sasa ili ajijenge kisiasa
hali yake tete mpaka anaandaa mikutano vichochoroni na vyuoni ili apate posho
3.hata thread za kumuhusu yeye nw hazina mvuto kama zamani wachangiaji wachache sana
.

Nguvu zao ni za soda tu, na kila siku wanajitahidi kuzua jambo na kisha baada ya siku chache wanasahau na kulianzisha jingine kabla ya lile la mwanzo halijaisha.wanavizia tu mada mitaani na kuikuza. angalia Maandamano nchi nzima yamekwisha kwa ajili ya babu wa Loliondo,Tifu la Arusha limekufa kwa ajili ya Nyamongo, Nyamongo nayo imekufa kwa ajili ya Posho,Posho nayo inakufa kwa kuwa Dr Slaa ameshindwa kuisusa, mada yao mpya ni wabunge na mawaziri kurubuniwa kuhusu madeni ya mashirika ya umma ambayo mh. Zitto yu taabani kulielezea bunge uhujumu huo. Watakoma.
 
teh teh wengi wenu dhiki ndo zinawasumbua msiilaumu ccm walaumuni wazazi wenu ndo walikuwa wazembe kutokuwa na elimu ndo mana mpo hapo saivi mnabwabwaja mkiamini padri may be atawakumbuka kwenye ufalme wake
 
Ziki za watu hunazipima kwa hoja au unazipimeje ? kumbe wewe bado unalelewa na baba ? pole sana , wengine hapa tunalea watu , sasa jiulize wewe unayelelewa na wanaolea nani mwenye dhiki ?
 
Kimya kingi kina mshindo fahamu hilo, slaa sio wa kuporomoka leo wala kesho lkn sio mbaya ccm wakijipa moyo.
 
Jamani niliweka Thread yangu humu ya kutoa angalizo kwa hawa watu kuwa ni wakuangalia wengi waliipuzia, utagundua thread nyingi za kipuuzi humu ni hawa new members wa kutumwa humu ! hivi hawa kizazi chao kijacho nacho nadhani kitaendelea kuwa watumwa, kama wazazi watarajiwa wenyewe ndo hao ni taabu tupu
 
Nguvu zao ni za soda tu, na kila siku wanajitahidi kuzua jambo na kisha baada ya siku chache wanasahau na kulianzisha jingine kabla ya lile la mwanzo halijaisha.wanavizia tu mada mitaani na kuikuza. angalia Maandamano nchi nzima yamekwisha kwa ajili ya babu wa Loliondo,Tifu la Arusha limekufa kwa ajili ya Nyamongo, Nyamongo nayo imekufa kwa ajili ya Posho,Posho nayo inakufa kwa kuwa Dr Slaa ameshindwa kuisusa, mada yao mpya ni wabunge na mawaziri kurubuniwa kuhusu madeni ya mashirika ya umma ambayo mh. Zitto yu taabani kulielezea bunge uhujumu huo. Watakoma.
Ukikua utaelewa siasa inafanyika vipi najua kwa sasa ni utoto au huna cha kuchangia umetoa pumba zako ili Nape akuone uvute posho yako. Kimsingi hayo uliyoyasema ndio siasa zenyewe, wananchi wa maeneo hayo ndio watakaojaza kapu la ushindi next election when katiba mpya itakapozuia uchakachuaji the every vote will count. Nyie laleni usingizi na magamba yenu mkijifariji kuwa watanzania ni wajinga watatuchagua bila kuwafikia, mtakuta treni iko kigoma tayari
 
Ziki za watu hunazipima kwa hoja au unazipimeje ? kumbe wewe bado unalelewa na baba ? pole sana , wengine hapa tunalea watu , sasa jiulize wewe unayelelewa na wanaolea nani mwenye dhiki ?
hao unaowalea wote ni wanadhiki naona mzigo wa kulea unakulemea ndo mana unahisi cdm wakichukua nchi padri labda atakusaidia kulea baadhi
 
A lose Dk Slaa, leo nimemuona kwenye TV anaongea na wanafunzi wa vyuo yaani yupo mkiwa sana! dhambi ya pesa za wananchi (Ruzuku) kufanya maandamano kisha wanagawana posho, naona inamtafuna na bado mpaka kieleweke

Upeo mdogo hata mtoto wa chekechea anakuzidi, pesa za wanachi ? wakati ile inaitwa Ruzuku ya chama, we ndo bure kabisa, inabidi itumiwe kwa shughuli za chama
 
A lose Dk Slaa, leo nimemuona kwenye TV anaongea na wanafunzi wa vyuo yaani yupo mkiwa sana! dhambi ya pesa za wananchi (Ruzuku) kufanya maandamano kisha wanagawana posho, naona inamtafuna na bado mpaka kieleweke
Tunajua mnaumia sana kuona CDM inafanya vizuri vyuoni.
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom