Mkuu wa wilaya ya Mvomero matatizoni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Mkuu wa wilaya ya Mvomero matatizoni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Rich Dad, Jun 23, 2011.

 1. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 742
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Mkuu wa wilaya ya mvomero huenda akaingia matatizoni endapo tuhuma dhidi yake zitathibitishwa.
   
 2. Rich Dad

  Rich Dad JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: Dec 15, 2010
  Messages: 742
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Ni kuhusu kuzuia chakula cha msaada kisiwafikie wananchi kutokana na sababu za kisiasa. imeelezwa bungeni na mchangiaji ambaye ni mbunge wa mvomero kwa tiketi ya CCM, ndugu Makalla.
   
 3. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,903
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  duh mbona wote ccm imekuwaje hapo
   
 4. Arafat

  Arafat JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2011
  Joined: Nov 17, 2009
  Messages: 2,582
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Makala wanamtenga kwasababu alikuwa timu ya Lowasa na sasa hao nadhani wanapigwa vita ili wasije wakapata nguvu ya kuiongoza CCM tena, na wamenyanganya uweka hazina wa CCM.
   
 5. Buchanan

  Buchanan JF Diamond Member

  #5
  Jun 23, 2011
  Joined: May 19, 2009
  Messages: 13,096
  Likes Received: 247
  Trophy Points: 160
  Ugomvi wa ndani ya nyumba hatuwezi kuuingilia!
   
 6. NgumiJiwe

  NgumiJiwe JF-Expert Member

  #6
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 15, 2011
  Messages: 867
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 35
  Kweli kazi ipo CCM kuelekea 2015..
   
 7. P

  PakavuNateleza JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2011
  Joined: Sep 9, 2009
  Messages: 910
  Likes Received: 423
  Trophy Points: 80
  Pamoja na utamaduni wa chama cha magamba kuunga mkono hoja lakini amosi makala amepresent hoja makini sana.mvomero kweli wamepata mbunge
   
 8. Filipo

  Filipo JF-Expert Member

  #8
  Jun 24, 2011
  Joined: Jan 6, 2011
  Messages: 9,328
  Likes Received: 192
  Trophy Points: 160
  Hao wakuu wa wilaya wamefika mahali pa kujiona Miungu watu! Kuna aliyeua na kuchomea wananchi nyumba huko Serengeti, mwingine akachapa waalimu viboko huko Bukoba. Acha washtakiwe ili wajue kwamba hawapo juu ya sheria. Na hii ni uthibitisho mwingine wa failure ya serikali ya ccm. Mtu waliomchagua wenyewe anashindwa kumtimua hata akishindwa kazi. Total failure!
   
 9. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 0
  Makalla anataka kuonewa huruma tu, hana lolote!
   
Loading...