Maalim Seif: CHADEMA wako sahihi kwenye suala la posho | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Maalim Seif: CHADEMA wako sahihi kwenye suala la posho

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Molemo, Jun 24, 2011.

 1. M

  Molemo JF-Expert Member

  #1
  Jun 24, 2011
  Joined: Sep 24, 2010
  Messages: 13,287
  Likes Received: 580
  Trophy Points: 280
  Wana JF,

  Jana kwa mara ya kwanza nilikubali kwamba makamu wa kwanza wa RAIS wa zanzibar ni mwanasiasa aliyebobea anayeamini katika ukweli.Kwa wale walioangalia taarifa ya habri ya ITV saa mbili usiku,akihojiwa na Suleiman Semunyu kuhusu msimamo wake wa posho za wabunge;Alisema bila kumung'unya maneno kwamba chadema wako right na wanatetea haki za umma.

  Alisema si haki kwa mtu kulipwa posho kwa kazi aliyoajiriwa pale anapotimiza majukumu yake ya ajira.Aliongeza kwamba serikali inatakiwa ijipange sawasawa kukabiliana na hoja za chadema,vinginevyo kamwe hawataeleweka kwa wananchi.

  Baada ya kumsikiliza maalim Seif niliwaonea huruma kina Hamad Rashid ambao wanapita huku na huko kuilaani Chadema...

  Tujadili wadau.
   
 2. Maarko

  Maarko JF-Expert Member

  #2
  Jun 24, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 1,030
  Likes Received: 189
  Trophy Points: 160
  Seif hana jipya hapo anataka kurudisha jina alilopoteza kwa kukubaliana na CCm wakati wanachi wengi walisha poteza maisha kwa ajili ya CUF,ina maana wameunganisha srea za Cuf na Ccm imekua moja?
   
 3. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #3
  Jun 24, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Alicho ni ukweli kabisa wala si kutaka kurudisha jina no . Kwa Chadema ukweli ndiyo hata mkatae lakini ndiyo ukweli utasimama .
   
 4. kweleakwelea

  kweleakwelea JF-Expert Member

  #4
  Jun 24, 2011
  Joined: Nov 29, 2010
  Messages: 2,421
  Likes Received: 435
  Trophy Points: 180
  kaka ukweli ni ukweli....ukweli hujisimamia wenyewe....na ni gharama sana kupingana nao!
   
 5. j

  jnuswe JF-Expert Member

  #5
  Jun 24, 2011
  Joined: Nov 2, 2010
  Messages: 1,271
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 135
  Jamani Seif naye ni binadamu hata kama aliharibu huko nyuma, mtu aliyemkomavu wa kisiasa utamtambua tu, alilolisema lazima tumpongeze, mbona wengi wanaujua ukweli kuhusiana na posho hizo lakini wanaonekana kuvaa miwani ya mbao namba moja akiwa mtendaji mkuu wa serikali mtoto wa mkulima lakini yeye mwenyewe bepari
   
 6. o

  owigo Member

  #6
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 17, 2011
  Messages: 45
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  yani kwa mtu timamu na mzalendo wa kweli kwa nchi ya Tanzania hauwezi kupingana na CHADEMA wanapoielekeza serikali nn cha kufanya ktk kutetea maslahi ya watanzania.
   
 7. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #7
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Tayari posho zimewagawa!!! Maalim Seif si ni katibu mkuu wa CUF, Hamad si mbunge kwa tiketi ya CUF na wote wanafuta sera za CUF lakini kwenye posho wamegawanyika.
   
 8. Kimbunga

  Kimbunga Platinum Member

  #8
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 4, 2007
  Messages: 13,012
  Likes Received: 1,817
  Trophy Points: 280
  Safi sana Seif kwa kuunga mkono kukataliwa kwa posho lakini yeye huko nyuma aliwahi kulilia posho ya Waziri Kiongozi Mstaafu baada ya Comandoo kuzichinjia baharini (japo alifukuzwa). Hizo ndio posho, Tanzania bila posho inawezekana!
   
 9. 0717436862

  0717436862 Member

  #9
  Jun 24, 2011
  Joined: Jun 23, 2011
  Messages: 13
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Safi maalim Seif nakupongeza kwa hilo ila kukubali kuungana na cc...dah mzee ulipotea!
   
 10. Mshume Kiyate

  Mshume Kiyate JF-Expert Member

  #10
  Jun 24, 2011
  Joined: Feb 27, 2011
  Messages: 6,774
  Likes Received: 22
  Trophy Points: 135
  Hongera Maalim Seif
   
 11. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #11
  Jun 24, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Mkuu muafaka ni kitu kizuri katika maisha ya binadamu!!
   
 12. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #12
  Jun 24, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Hongera Seif kwa kusema ukweli!!
   
 13. Matola

  Matola JF-Expert Member

  #13
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 18, 2010
  Messages: 36,045
  Likes Received: 13,273
  Trophy Points: 280
  Kwahiyo mtu akiisifia CHADEMA ndio anakuwa mwanasiasa aliyebobea? hii hoja ina makengeza na imetolewa na mtu mwenye upeo mdogo wa kufikiri.
  Je kama angesema CHADEMA wawaige CUF kwakuwa na ofisi za makao makuu yenye hadhi kama wao CUF je ungesema Maalim Seif amebobea? nadhani hakuna ubishi kwamba makao makuu ya CUF yana hadhi kuliko ya CHADEMA, maana wana jengo zuri la ghorofa 3.
   
 14. Ernesto Che

  Ernesto Che JF-Expert Member

  #14
  Jun 24, 2011
  Joined: Jan 7, 2011
  Messages: 1,117
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Seif amekichuuza chama chake!
   
 15. Indume Yene

  Indume Yene JF-Expert Member

  #15
  Jun 24, 2011
  Joined: Mar 17, 2008
  Messages: 2,932
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  Tuache unafiki, kwenye ukweli tusimamie huo ukweli.
  Maalim alipigia kelele posho zake kwa sababu ilikuwa ni haki (MAFAO) yake kisheria as aliwahi kuwa WAZIRI KIONGOZI wa serikali ya Zanzibar. Alikuwa analipwa kama kiongozi wa juu mstaafu. Posho zinazopigiwa kelele na CHADEMA ni posho ambazo unamlipa mbunge wakati hicho unachomlipia ni sehemu ya kazi yake. Mbona polisi, walimu au madaktari hawalipwi wakati wanatekeleza majukumu yao?
   
 16. M

  MAMENGAZI JF-Expert Member

  #16
  Jun 24, 2011
  Joined: Dec 31, 2010
  Messages: 781
  Likes Received: 12
  Trophy Points: 35
  baeleze seif baelewe, kwenye ukweli uongo hujitenga.

  nauliza hivi seif akitekeleza majukumu yake huwa anatekeleza sera zipi, za CUF au CCM, seriously naomba jibu.
   
 17. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #17
  Jun 24, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Big up sana maalim!
   
 18. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #18
  Jun 24, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Matola 'umebobea!'
   
 19. p

  punainen-red JF-Expert Member

  #19
  Jun 24, 2011
  Joined: Nov 18, 2010
  Messages: 1,735
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 0
  Big up sana maalim!
   
 20. Mr.Professional

  Mr.Professional JF-Expert Member

  #20
  Jun 24, 2011
  Joined: Oct 4, 2010
  Messages: 1,602
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 135
  Big up Maalim Seif walau mara moja unakumbuka maana ya ukweli na kuamua kuusema hadharani hata kama ni kinyume wa wabunge wako unaowaongoza. Kama vipi watwange semina elekezi juu ya umuhimu wa kuzifuta posho hizi.
   
Loading...