Magalasha ya CHADEMA | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Magalasha ya CHADEMA

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Speaker, Jun 23, 2011.

 1. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #1
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Kwa evaluation yangu hadi sasa,wabunge wafuatao
  hawafanani na chadema kabisa,msaada wao kwa chadema ni sifuri

  1.Rose Kamili
  alihamia chadema baada ya kuangushwa kwenye kura za maoni
  ccm,toka aingie bungeni amekua kimya kweli tofauti na nilivo kua nikimsikia enzi zile
  akiwa diwani wa ccm,...alikua machachari kweli.
  Ukimya wake una weza kutafsiriwa kwamba,..."chadema hapanifai kama kule nilikokua"

  2.Sugu au Mr.II au Mbilinyi
  Huyu nae,nashindwa kumtofautisha na komba (yule muimba kwaya wa ccm)!
  Naamini wananchi walimchagua sababu ya kuimba kwake na sio kuamini kwamba
  ana uwezo wa kuwa wakilisha bungeni.
  Kaongea mara kibao bungeni,hakuna siku aliongea point hata moja zaidi
  ya kufuka kama wabunge wa ccm

  3.Joseph selasini
  Huyu nae sijui historia yake kisiasa,ila naamini akirudi kugombea leo hii jimboni
  kwake hashindi ng'o!
  Ni mtu asiye na msimamo hata kidogo juu ya anacho kiamini,ana geuzwa na upepo
  mdogo sana,...watu kama hawa ni magalasha

  4.Shibuda
  huyu sababu ya kuingia chadema ni sawa na rose kamili,
  sababu ya ukimya wake ni sawa na kamili pia.
  Ingawa yeye mara nyingi kaonesha kwamba yuko na
  chadema kwa bahati mbaya bila kuficha. hili ndio galasha kuu ndani ya chadema

  Ni hao kwa sasa,ntaleta wengine,...
  Am still watching
   
 2. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #2
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Ushidwe na ulegee katika Jina lay yesu
   
 3. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #3
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  kwanini?
   
 4. Riwa

  Riwa JF-Expert Member

  #4
  Jun 23, 2011
  Joined: Oct 11, 2007
  Messages: 2,601
  Likes Received: 232
  Trophy Points: 160
  Hiyo avatar yako kaka inaonyesha hauko 'sirias'!
   
 5. VIKWAZO

  VIKWAZO JF-Expert Member

  #5
  Jun 23, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 1,910
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 145
  mkuu hoja zako zidi ya hiki chama zinasomeka wazi
  wewe ni wale watu wa kutafuta makosa zaidi, hilo sio tatizo
  lakini una mwamko wa kuponda na kubomoa na sio kujenga.

  kuna wabunge hapo umesema hawatarudi na wengine wamechaguliwa kwa
  sababu ni waimbaji .
  sasa kama wananchi wa mbeya wamependa kuwa na mwakilishi muimbaji kwa nini leo wewe una waita magalasha?

  wewe mbunge wako wa jimbo yuko kundi gani?
  mkuu kwa sasa unaeleweka wewe ni mkatisha tamaa rudia post zako za hivi karibuni
  ni kama vipi MS kazamia account yako
   
 6. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #6
  Jun 23, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  hebu tumfananishe na huyu, je anamchango wowote ?
  [​IMG]
   
 7. Saharavoice

  Saharavoice JF-Expert Member

  #7
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 30, 2007
  Messages: 2,644
  Likes Received: 131
  Trophy Points: 160

  Hii picha itengenezewe Fremu, ifanywe mradi wa machinga, nadhani italipa sana.
   
 8. nyabhingi

  nyabhingi JF-Expert Member

  #8
  Jun 23, 2011
  Joined: Oct 12, 2010
  Messages: 10,896
  Likes Received: 5,358
  Trophy Points: 280
  kaka ni mapema mno kuwahukumu,kumbuka ni mwaka wa kwanza tu ndio unaisha bado miaka minne,tuwape muda na sidhani kama bungeni ukitaka kuongea unapewa nafasi tu,kuna list naonaga anaisoma spika,hii inaonesha sometimes muda wa kuongea unakosekana(not sure)ndio maana wabunge wengine wanachangia kwa maandishi,..sometimes unaweza ukafanya mambo makubwa jimboni kwako bila kuongea bungeni na unaweza kuwa muongeaji bila matendo,..anything is possible
   
 9. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #9
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 719
  Trophy Points: 280
  kwa mara ya kwanza leo umechemsha kaka
   
 10. Henge

  Henge JF-Expert Member

  #10
  Jun 23, 2011
  Joined: May 14, 2009
  Messages: 6,765
  Likes Received: 78
  Trophy Points: 145
  Naona kuna kaukweli kidogo wabunge waliotajwa wajiangalie!
  SUGU mbunge wangu unagombana na Fiesta umeshamaliza matatizo ya wanambeya.
  Uwe makini Mbeya si watu wakupelekwa pelekwa tuuu wanahitaji mbolea ya ruzuku kaisimamie!
   
 11. Kachanchabuseta

  Kachanchabuseta JF-Expert Member

  #11
  Jun 23, 2011
  Joined: Mar 8, 2010
  Messages: 7,290
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  crappp
   
 12. M

  Mkali wa Leo Member

  #12
  Jun 23, 2011
  Joined: May 27, 2011
  Messages: 84
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 13
  hapo kaka yupo sawa shibuda na sugu hamna kitu.
   
 13. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #13
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,519
  Trophy Points: 280
  point taken
   
 14. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #14
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,339
  Likes Received: 19,519
  Trophy Points: 280
  wewe kijana ,pepa vipi? pole na pepanaona upsteaz kuna mushkeli tayari
   
 15. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #15
  Jun 23, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  je na huyu Papa wa ufisadi , mnausikiaga mchango wake
  [​IMG]
   
 16. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #16
  Jun 23, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  na huyu mwarabu anaitwa Aziz Abood, mmewahi kumsikia
  [​IMG]
   
 17. nguvumali

  nguvumali JF Bronze Member

  #17
  Jun 23, 2011
  Joined: Sep 3, 2009
  Messages: 4,864
  Likes Received: 143
  Trophy Points: 160
  na huyu ni Mh. Shabiby sijajua mchango wake namna ulivyomzito bungeni
  [​IMG]
   
 18. m

  mzee wa njaa JF-Expert Member

  #18
  Jun 23, 2011
  Joined: Jun 16, 2011
  Messages: 1,368
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  kaka huna hoja kaa kimya au unatafuta publicity kama mkuu wa kaya?
   
 19. Lunyungu

  Lunyungu JF-Expert Member

  #19
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 7, 2006
  Messages: 8,836
  Likes Received: 75
  Trophy Points: 145
  Wengi hapa wanashindana kujaza tu nafasi maana wanakurupuka mno .
   
 20. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #20
  Jun 23, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Sio sana,ni avatar tu sio mimi
   
Loading...