Makinda amziba mh. Kafulila mdomo Bungeni | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Makinda amziba mh. Kafulila mdomo Bungeni

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by JIULIZE KWANZA, Jun 27, 2011.

 1. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  makinda amuomba mh. kafulila aulize swali la nyongeza kwenye wizara ya madini ila asichafue hali ya hewa TBC Bungeni now.......jamani huku sikuzibana midomo kweli...?
   
 2. Mpita Njia

  Mpita Njia JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 3, 2008
  Messages: 7,012
  Likes Received: 32
  Trophy Points: 145
  Wanaogopa vivuli vyao hao... na bado
   
 3. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Kweli kazi ipo dahh..
   
 4. Ciril

  Ciril JF-Expert Member

  #4
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 10, 2011
  Messages: 5,536
  Likes Received: 1,468
  Trophy Points: 280
  Huyu mama kile anachokifanya atapata majibu yake siku sio nyingi
   
 5. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #5
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ilikuaje amwambie hivyoooo
   
 6. h

  hans79 JF-Expert Member

  #6
  Jun 27, 2011
  Joined: May 4, 2011
  Messages: 3,802
  Likes Received: 26
  Trophy Points: 145
  hao ndo watawala tz unafik mbele wajibu hakuna,tujipange vijana wote kuikomboa nch yetu bila hivyo hamna ufanis
   
 7. JIULIZE KWANZA

  JIULIZE KWANZA JF-Expert Member

  #7
  Jun 27, 2011
  Joined: Nov 6, 2010
  Messages: 2,573
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 0
  Ngeleja alikuwa anamjibu zito swali lake kuwa ni lini serekali itamaliza tatizo la umeme kwenye jimbo lake lote na baada ya ngeleja kumjibu na zito kuridhika na majibu yake ndipo Mh Kafulila alipo omba kumuuliza ngeleja swali la nyongeza makinda akamruhusu na kumuomba tafadhali usichafue hali ya hewa hahaha huyu mama jamani ni kichefuchefu
   
 8. Edson

  Edson JF-Expert Member

  #8
  Jun 27, 2011
  Joined: Mar 7, 2009
  Messages: 9,202
  Likes Received: 720
  Trophy Points: 280
  huko ni kutokujiamini
   
 9. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #9
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Lakini sia aliuliza? Swala la kuchafua hali ya hewa ni subjective.
   
 10. Jeremiah

  Jeremiah JF-Expert Member

  #10
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 17, 2009
  Messages: 642
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 35
  Spika wa magamba huyo. Kazi anayo
   
 11. M

  Mbopo JF-Expert Member

  #11
  Jun 27, 2011
  Joined: Jan 29, 2008
  Messages: 2,532
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 0
  Matokeo sasa ni nini? Kafulila hakuuliza swali?
   
 12. M

  Mapujds JF-Expert Member

  #12
  Jun 27, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 1,291
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 135
  Alijua atagusia swala la waomba rushwa wa kamati.alilitoa na speake akauchuna.
   
Loading...