Membe analalia mlango wazi bahati za wenzie? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Membe analalia mlango wazi bahati za wenzie?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by CHASHA FARMING, Jun 22, 2011.

 1. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #1
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280


  MIONGONI mwa watu wanaotajwa kuwa kwenye mzunguko wa mwisho kuelekea ikulu katika uchaguzi mkuu ujao ni Bernard Kamilius Membe.
  Mbunge huyo wa Jimbo la Mtama mkoani Lindi na waziri wa mambo ya nje na ushirikiano wa kimataifa inadaiwa analalia mlango wazi bahati ya Benjamin Mkapa na Jakaya Kikwete waliowahi kuwa mawaziri wa wizara hiyo.
  Wakati wote, Membe amekuwa makini katika kauli zake ili asichafue ‘CV' yake. source MWANAHALISI


  Gazeti toleo na. 233


  0
  Average: Select ratingPoorOkayGoodGreatAwesome
   
 2. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #2
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Ndio alivyosema nini.....
  Basi ni ZEZETA
   
 3. Maundumula

  Maundumula JF-Expert Member

  #3
  Jun 22, 2011
  Joined: Nov 4, 2010
  Messages: 7,055
  Likes Received: 74
  Trophy Points: 145
  Mimi naona urais sio bahati bali ni gundu!
   
 4. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #4
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280

  kwani wagombea wote wa Urais huwa wanapitia Wizara ya mambo ya nje?
  Hayati Baba wa Taifa,Mzee Mwinyi na Mzee Mkapa ni nani kati yao alitoka Wizara ya mambo ya nje na akagombea urais?
   
 5. EMT

  EMT JF-Expert Member

  #5
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 13, 2010
  Messages: 14,464
  Likes Received: 865
  Trophy Points: 280
  umeshatuma email yako lakini? soma hii Thread mpaka mwisho then act: https://www.jamiiforums.com/jukwaa-la-siasa/148077-kampeni-kupinga-change-ya-fedha-za-radar-wasipewe-tena-serikali-ya-mafisadi.html
   
 6. Speaker

  Speaker JF-Expert Member

  #6
  Jun 22, 2011
  Joined: Aug 12, 2010
  Messages: 6,357
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 135
  Hizi topic za kuamka tu unacho hisi ndicho unaweka hapa
  ni za kipuuzi sana
   
 7. m

  matawi JF-Expert Member

  #7
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 29, 2010
  Messages: 2,055
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  Mzalendo ungeleta source mjadala ungepata nguvu zaidi. Lakini hakuna ubaya wa kujiamini na kichagua au kuchaguliwa ni haki ya kikatiba. Kama kuna tatizo kuhusu membe wahabarishe magreat thinker
   
 8. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #8
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  fisadi mkubwa sana yule mafaili yake tunayo. Umakini wake uko wapi? Kuwa waziri wa mambo ya nje ni umakini?
   
 9. B

  Bajabiri JF-Expert Member

  #9
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 1, 2011
  Messages: 9,755
  Likes Received: 27
  Trophy Points: 0
  Mnatoka wote mtwara?????Tembelea jimbo lake la MTAMA......
   
 10. M

  Marytina JF-Expert Member

  #10
  Jun 22, 2011
  Joined: Jan 20, 2011
  Messages: 7,035
  Likes Received: 48
  Trophy Points: 145
  Rais mtarajiwa wa Kikwete ni Asha rose Migiro
  JK hamtaki membe kisa dini
   
 11. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #11
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  kwani umerazimishwa kuisoma? Kuna mtu amekushikia bomu ili uisome?
   
 12. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #12
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
 13. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #13
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  nitatuma source mda si mrefu mkuu.
   
 14. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #14
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  umezaliwa kenya au? MKAPA HAJAWAHI KUWA WAZIRI WA MAMBO YA NJE?
   
 15. S

  Salimia JF-Expert Member

  #15
  Jun 22, 2011
  Joined: Feb 14, 2011
  Messages: 665
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Crap!! kajipange upya
   
 16. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #16
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  alipotoka mambo ya nje ndio akawa Rais? una uhakika atakaa mambo ya nje hadi 2015?
   
 17. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #17
  Jun 22, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Umakini wake ni nini au kwa kuwa anatoka kanda ya pwani ya bahari ya hindi ,mahari ambapo wanatoka marais wa nchi hii!!!
   
 18. TUKUTUKU

  TUKUTUKU JF-Expert Member

  #18
  Jun 22, 2011
  Joined: Sep 14, 2010
  Messages: 11,852
  Likes Received: 43
  Trophy Points: 145
  Joka la kibisa linatapatapa!!
   
 19. CHASHA FARMING

  CHASHA FARMING Verified User

  #19
  Jun 22, 2011
  Joined: Jun 4, 2011
  Messages: 6,133
  Likes Received: 2,128
  Trophy Points: 280
  kikubwa si alisha kuwa waziri wa mambo ya nje? hiyo ya kubadilishwa wizara sio kitu sana. ok
   
 20. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #20
  Jun 22, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  hoja zako ni mfu mkuu
   
Loading...