Ili Kuwa Rais wa Tanzania Mwaka 2015 Lazima Uwe Mfuasi wa Nyayo Za Mwalimu Kwa Vitendo | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Ili Kuwa Rais wa Tanzania Mwaka 2015 Lazima Uwe Mfuasi wa Nyayo Za Mwalimu Kwa Vitendo

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by DSN, Jun 27, 2011.

 1. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #1
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Purukushani za hao wanaofanya michakato,mbinu maarifa na mengineyo ya kuwa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania 2015,wajue moja Watanzania wa leo,bila viatu vya Baba wa Taifa Mwalimu Julius Kambarage Nyerere watachemka na piga uwa itakula kwao kwa sana.Watanzania wameona tawala tatu zenye viongozi tofauti tofautikwa karibu miaka ishirini na saba [27] bado wote kwa ujumla wao wanakili kuwa kiongozi aliyelitumikia Taifa la Watanzania kwa moyo wake wote ni Mwalimu Julius K Nyerere.

  Raisi ajae Watanzania wanataka kumuona Nyerere wa Vitendo,aijalishi atatoka chama gani? Mfumo [System] ujipange kuanzia sasa kuwa tayari kukubali kufanya kazi na mtu yoyote toka chama chochote. Ukweli aijalishi lawama za kujitetea kuwa hawajajitayarisha wakubali ukweli ili daima dhambi hii ya kuepuka ukweli ifike mwisho.

  Muda mfumo [System] ulionao ni mrefu ni vyema wajipange kuanzia sasa kujipanga kwa lolote manake mwendelezo huu,usije ukachelewa tena yakaja yale ya kujitetea mfumo haujajipanga kufanya kazi na mtu aliyekuwa nje ya Serikali.Ndio wananchi hawajui hasara za kukurupuka na kufanya kazi na mtu aliye nje ya mfumo,lakini ni haki yao kuongozwa na Kiongozi wanayemtaka wao.Hivyo kujitetea huko kwa mfumo kufike mwisho mwanzo ni leo kwa kuangalia hali ya muamko wa kuelewa wa wananchi juu ya viongozi wanaowataka.
   
 2. Juma Contena

  Juma Contena JF-Expert Member

  #2
  Jun 27, 2011
  Joined: May 21, 2009
  Messages: 1,195
  Likes Received: 11
  Trophy Points: 135
  akhaa ina maana benchmark ya uongozi ni mwalimu tu. mbona tunakuwa na fikra mgando sana, hivi amna mifano mingine duniani kwenye nchi zote hizi zilizopo. maana ni mwalimu mwalimu as if he was a semi-god or somen tumechoka na huyu mwalimu wenu, ambae aliiacha nchi maskini ajabu.
   
 3. DSN

  DSN JF-Expert Member

  #3
  Jun 27, 2011
  Joined: Feb 2, 2011
  Messages: 2,745
  Likes Received: 76
  Trophy Points: 145
  Wewe Juma Contena, nisaidie kwa tawala zetu Tanzania zilizopita naomba benchmark yako ukiondoa Mwalimu?.

  Wamarekani wana Abraham Lincoln,John F Keneddy na Waingereza wana Sir Winston Leornard Spencer Churchill.

  Rais wa Marekani Barack Obama kupitia kitabu chake cha THE AUDACITY OF HOPE [Thoughts,on reclaiming the American Dream] page 43 mpaka 45 anaelezea jinsi alivyofukuzana na ndoto ya kuingia ikilu ya marekani

  ''THE FIRST TIME I saw the white House was in 1984.I had just graduated from college............................the student and I took time to walk down to the Mall and the Washington Monument,and then spent a few minutes gazing at the White house.Standing on Pennsylvania Avenue,..............The openness of the White House said something about our confidence as democracy, I thought. It embodied the notion that our leaders were not so different from us,that they remained subjected to laws and our collective consent.

  Hayo ni mawazo ya mjaluo obama kizazi cha marekani miaka hiyo ya 1984. Anaendele mjaluo mmarekani kwa kusema

  "Twenty years later,getting close to the White House wasnt so simple.Checkpoints,armed guards,vans,mirrors,dogs and retractable barricades now sealed off a two -block perimeter around the White House.Unuthorized cars no longer traveled pennsylvania avenue.On a cold January afternoon ,the day before my swearing in to the senate,Lafayette park was mostly empty,and as my car was waved through the White House gates and up the driveway,I felt a glancing sadness at what had been lost."

  Anendelea kusema
  "The inside of the White house House doesnt have the luminous quality that you might expect from TV or film;it seems well kept but worn,a big old house that one imagines might be a bit drafty on cold winter nights.Still,as I stood in the foyer and let my eyes wander down the corridors,it was impossible to forget the history that had been made there-John and Bobby Kennedy huddling over the Cuban missile crisis; FDR making last -minutes changes to a radio address;Lincoln alone,pacing the hallls and shouldering the weight of an nation.[It wasnt until several months later that I would get to see the Lincoln Bedroom,a modest space with antique furniture, a four-poster bed,an original copy of the the Gettyburg Address ........and a big flat-screen TV set a top one desks. Who,I wondered,flipped on sports center while spending the night in the Lincoln Bedroom?]." Its all about dreams.

  Kama ukubali kuwa Mwalimu ndio benchmark yetu ikalagabao subili uone yanayokuja.Uwezi kwenda ikulu pasipo wito. Rais yoyote kama sio wito asingeiona hiyo ikulu.Tatizo waliofuata baada ya Mwalimu ni kushindwa kutimiza wito.Ukimuuliza Rais atakwambia ndani ya moyo wake alitamani kuwa Rais ili kutenda jambo la heri kwa Watanzania kwa jambo ambalo dhamira yake ya ndani aliona haliko sawa,lakini walipopata wakashindwa kuikumbuka dhamila zao zillizo watuma kwenda kutafua madaraka hayo.
   
Loading...