Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Na Restuta James Kambi Rasmi ya Upinzani Bungeni, imependekeza kuundwa kwa serikali tatu; ya Muungano, Tanganyika na Zanzibar, ili kuondoa hisia za upande mmoja wa Muungano kunyonywa pamoja na...
0 Reactions
22 Replies
3K Views
* It is fascinationg the ruling party for the case of it being valuable and respected they go back to embrace TANU and trying to Correct their Meany Demenor by Embracing Tanu the Party which was...
2 Reactions
52 Replies
7K Views
Niliposoma heading hii kwenye gazeti moja nilifurahi sana nikajua rais wangu umeanza kuziona kero za wananchi wako, cha ajabu niliposoma habari yake nikagundua ulikuwa huwaambii watanzania ulikuwa...
0 Reactions
26 Replies
3K Views
Wakuu habari zenu . Usiku huu nime bahatika kusema na mkubwa mmoja huko serikalini akiwa amechukia aliitwa kwenda kwenye matukio ya mauaji ya Mwanza , ghafla wamesitisha safari .Nikamuuliza kwa...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Rais huyu ni bora zaidi ya awamu zote.. 1.anaunganisha mikoa yoote ya tz kwa barabara zenye kiwango cha lami.. 2. hajayaonea aibu mafisadi anayashitaki... 3. Ni mvumilivu mnooo.. licha...
2 Reactions
21 Replies
2K Views
Nimeshtushwa na habari iliyo katika Mwanahalisi ya Leo Toleo namba 249 yenye Kichwa "Mzozo wa Lowassa na Pinda: Ni uamuzi Mgumu, Utapeli au ajali ya kisiasa?" Ukurasa wa 11. Nanukuu baadhi ya...
0 Reactions
21 Replies
3K Views
Kwa wale wanaofuatilia sakata la Umeme, majina mawili mtakuwa mnayafahamu vizuri sana. January Makamba na William Ngeleja. William Ngeleja ni Waziri aliyeteuliwa na Rais JK, na January Makamba ni...
1 Reactions
55 Replies
5K Views
Ndugu zangu, kuna uwezekano mkubwa kwamba itakapofika kiangazi mwaka huu, Taifa letu linaweza kujikuta kwenye upungufu mkubwa wa chakula ambao siyo tu unatishia maisha ya watu wetu bali pia...
0 Reactions
235 Replies
29K Views
JK , Pinda na serikali ya CCM Hivi mnaelewa kuborehs maisha ya watu sio lazima kila mtu afike Chuo kikuu au hata Form six. Hivi mnajua sera bora ya michezo ikiwepo na ikitekelezwa itazalisha...
3 Reactions
12 Replies
2K Views
Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe Ofisi ya Bunge imesema bado inaendelea kulifanyia kazi utetezi uliowasilishwa na Mbunge wa Kigoma Kaskazini, Zitto Kabwe, (Chadema), la kudai...
0 Reactions
1 Replies
2K Views
Iran to help development of Tanzania and Zanzibar agriculture Service: Foreign Policy 1388/02/23 05-13-2009 11:02:14...
0 Reactions
34 Replies
4K Views
Tunasherekea kumbukumbu ya kuzaliwa TANU chama kilichotupatia uhuru na sasa tupo na chama cha mapinduzi ccm iliyotupatia maendeleo mengi ya barabara,shule,hospital,maji,vyuo.ccm inayo mthamini...
0 Reactions
12 Replies
4K Views
Wakuu nimeshtushwa kidogo na huu mradi uliopewa jina kama Daraja la JK . Kinachonishtua ni gharama ya mradi huo Bofya hapa kwa habari zaidi: Kikwete Ndoto yangu imetimia RAIS Jakaya Kikwete...
2 Reactions
55 Replies
5K Views
nimevutiwa sana na kuonyeshwa kwenye taarifa la tbc matukio ya zamani maandamano makubwa ya kulaani mauaji ya karume. Tz tangia zamani tumekuwa tunafanya maandamano ya kuunga mkono au kupinga...
0 Reactions
2 Replies
2K Views
FACEBOOK: by William Malecela on Tuesday, July 5, 2011 at 8:40pm[/h] @ NEW YORK CITY-US: The biggest political joke this week, ilikuwa ni ushauri wa maamuzi magumu kwa Serikali kwa Kiongozi...
16 Reactions
90 Replies
8K Views
Je kama Mungu akikujalia uzima na afya tele Novemba 2015 atakapo apishwa raisi mpya utajisikiaje? Je uta huzunika JK kuondoka? Je utafurahia yoyote yule kuingia ikulu ilimradi tu JK anaondoka? Au...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Hivi anaposema tupambane kuhusu maadui 3 wa Watz yaani UJINGA, MARADHI NA UMASIKINI... Hivi nikweli mpaka leo Maadui ni watatu tu??Leo tuna matatizo ya RUSHWA, UFISADI, NJAA(Kwa kadri ya waziri...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
Katika kipindi cha 45 minutes cha ITV leo jioni , mtoa mada alikuwa CD Msuya, Waziri Mkuu na Makamu wa Kwanza wa Rais, enzi ya Mwalimu. Kwa hakika amenikosha sana. Bado ana data na current za...
9 Reactions
92 Replies
9K Views
TANZANIA imetajwa kama nchi yenye uchumi unaokuwa kwa kasi barani Afrika. Katika taarifa yake ya hivi karibuni, “Tanzania na hadithi ya mabadiko Afrika,” Shirika la Fedha la Kimataifa (IMF)...
0 Reactions
133 Replies
15K Views
Ndugu zangu, tutafakari kidogo. Kwa miaka mitano ya utawala wa JK, nchi yetu imekumbwa na balaa la hali ngumu sana ya maisha. Leo Watanzania tunakabiliwa na balaa kubwa la mfumuko wa bei katika...
0 Reactions
95 Replies
8K Views
Back
Top Bottom