Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa mtindo huu kazi tunayo: wenzetu hawa ndiyo wanaokuja kutukopa majumbani lakini jioni ya jana walionekana na furaha kuu eti wakikumbuka kuanzishwa kwa TANU, jamani huu siyo usaliti au wenzetu...
0 Reactions
10 Replies
2K Views
Naomba kabla ya kunijibu unisaidie hili kufikili kwa nn majimbo yenye wawakilishi wa cdm yana kero sana ya umeme na matatizo plz let us think for that
0 Reactions
8 Replies
2K Views
  • Closed
Bahati mbaya tumekumbana na barua hizi ikabidi tuwashirikishe! ANGALIZO: Si lazima kuamini nyaraka hii, lakini si ya kupuuza hata chembe.
1 Reactions
417 Replies
36K Views
Katibu Mwenezi wa Taifa wa Chama cha Mapinduzi Bw. Nape Nnauye ametajwa kama mlengwa wa waraka wa siri ambao unakituhumu Chama cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) kuwa mpango wake wa kupinga...
0 Reactions
11 Replies
3K Views
Keep on turning the heater on them kwenye swala la Radar msikubali kabisa issue ya kwamba watapanga muda mzuri wa kulijadili swala la Radar huo ni uongo wamezidiwa wanataka muachie ili baadaye...
0 Reactions
8 Replies
2K Views
Ivi jamani unakuta cdm kama akina lissu,mnyika,zitto etc bungeni wanaongea mambo ya maana na kufikia kutoa shilingi hatiamae mwenyekiti anaishia kusema tupige kura.Wabunge wanajibu ndio au sio hii...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Chama changu cha Mapinduzi, sasa umefikia wakati sina nguvu ya kukutetea. Matukio yanayoendelea sasa hivi ni kama mchezo wa kuigiza. Nilikutetea sana na dhana ya kuvua gamba, kwa kifua mbele...
5 Reactions
22 Replies
3K Views
CCM imerejesha hesabu zao kwa msajili na msajili ameonya kuwa atakayechelewa hataruhusiwa kushiriki chaguzi zifuatazo hata zile ndogo. Vyama vingine kama cdm na cuf vimerejesha?
0 Reactions
1 Replies
1K Views
hivi mnafuatilia bunge? wabunge wa chadema wanatisha. tuwape 2015 wabunge wa kutosha kutetea taifa!
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Mh Freeman Aikaeli Mbowe Kamanda Wa Anga hata Jwtz wanalitambua jina hilo ndio maana walimpakia kwenye ndege ya Jeshi kutoka Dar hadi KIA. Nieleze umuhimu wa Mh Mbowe kwa Tanzania pia CHADEMA, leo...
5 Reactions
30 Replies
4K Views
Hawa wazee wameiasa serikali ya JK kuwa wAache siasa kwenye suala la kutatua mgao wa umeme nchini.Kuna mzee kanichosha kasema kila siku wanasema tuko mbioni kulitatua tatizo la umeme mbio gani izo...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Inawezekana kabisa kulikuwa na mawasiliano kati ya madiwani wa CHADEMA na uongozi wa juu. Inavyoonekana uongozi wa CHADEMA umeona jinsi hili suala lilivyopokelewa na watu ndio wakaamua kutumia...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Written by amini // 08/07/2011 // Habari // No comments Uhuru wa Tanganyika leo umekuwa wa Tanzania 9/Dec/1961,Bado smz muna tongo za macho? Wzanzibar hakuna isie juwa kuwa Muungano fake na...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Waziri wa Muungano, Mhe. Samia Hassan Suluhu, leo jioni wakati akifanya majumuisho ya matumizi ofisi ya makamu wa Rais, mazingira na Muungano, amesema kuwa tuache kufukua mambo ya Muungano na...
0 Reactions
3 Replies
1K Views
uchagauzi wa 2010 uligubikwa na wizi wa kura na uchakachuaji. Je nini kifanyike ili haki itendeke 2015? Usalama wa taifa ndo walisimamia uchakachuaji wa CCM. hawa usalama wa taifa na watu wao wa...
0 Reactions
4 Replies
1K Views
Na Paschally Mayega - Imechapwa 06 July 2011 RANGI ya njano imetumika mahali pengi kama alama ya tahadhari. Wanaoendesha vyombo vya moto kama vile magari na pikipiki wanajua kwamba taa ya njano...
4 Reactions
12 Replies
2K Views
By DAILY NEWS Reporter, 7th July 2011 FOR the ruling Chama Cha Mapinduzi (CCM) to tighten its grip on power and dominate national politics, unity and accountability are key elements amongst party...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Mimi ni mwajiriwa wa Rostam Aziz katika kampuni yake ya New Habari. Huyu jamaa ni tajiri sana, ana kampuni nyingi, lakini nafikiri anapata utajiri wake pamoja na kudhulumu. Hivi ninavyoandika...
0 Reactions
20 Replies
2K Views
The Citizen Reporter Dar es Salaam. The Confederation of Tanzania Industries (CTI) yesterday differed with a statement made by President Jakaya Kikwete on Wednesday that the Mother Nature was to...
1 Reactions
14 Replies
2K Views
Ndugu wanaCDM huyu mbunge wenu mmemuokota wapi? Kwani akiwa kama Waziri Kivuli Makamu wa Rais Muungano na Mazingira, amesoma hotuba kichovu sana. SHULE yake inatia shaka ama amepewa ubunge wa viti...
2 Reactions
63 Replies
8K Views
Back
Top Bottom