JK Anapodhalilishwa hadharani

Muke Ya Muzungu

JF-Expert Member
Jun 17, 2009
3,444
264
Kwa wale wanaofuatilia sakata la Umeme, majina mawili mtakuwa mnayafahamu vizuri sana. January Makamba na William Ngeleja. William Ngeleja ni Waziri aliyeteuliwa na Rais JK, na January Makamba ni kijana ambaye amewahi kumfanyia JK kazi, kama mwandishi wa hotuba. Baada ya JM kukosa uwaziri, aliahidi kuwafanyia wana bumbuli kazi waliyomtumia bungeni. Wengine wamemuita JM mnafiki na msaliti wengine wanamuona kama kijana mwenye ndoto kubwa

Kumekuwepo mvutano, wa vuta nikivute kati ya ngeleja na makamba Jr. Mara Barua, mara kukingiana kifua, mara rushwa. Haya yote kwa mtizamo wangu yanafanywa ili kuonyesha uwezo mdogo wa Bwana ngeleja katika wizara ya nishati na madini, na uwezo wa JK katika uteuzi wake wa mawaziri. Wachambuzi wengi wa kisiasa wamekuwa wakitoa lawama nyingi dhidi ya JM kwamba ni kibaraka wa mafisadi na mtu mwenye ubinafsi mkubwa. Lakini mwisho wa siku yote ni maneno, ila ujumbe mzito ni kwamba

1. Amedhiirisha wazi, na anaendelea kuudhiirishia umma kwamba JK hana uwezo wa kuiongoza nchi
2. Ameamua kumtumia taarifa JK kwamba nafasi yoyote anaweza kuipata bila usaidizi wake JK
 
Heading na habari havina mahusiano kabisa. Rephrase ur tittle mkuu ili usomeke
 
bifu kati ya JK na JM ni kubwa mno. January anamuona JK kama msaliti, kwa baba yake na yeye mwenyewe. anasema wazi kabisa, kwamba JK hana shukrani.. Hivi ni vita ambavyo vinaanza, subirini JK akiondoka January atakavyoitesa hiyo familia, hasa Riz1 ambaye janauray anamsubiria kwa usongo
 
Mbona sikupati vizuri? Naona kama maelezo na kichwa cha habari zinatofautiana. Pengine ni jinsi ninavyoona
 
Kwa wale wanaofuatilia sakata la Umeme, majina mawili mtakuwa mnayafahamu vizuri sana. January Makamba na William Ngeleja. William Ngeleja ni Waziri aliyeteuliwa na Rais JK, na January Makamba ni kijana ambaye amewahi kumfanyia JK kazi, kama mwandishi wa hotuba. Baada ya JM kukosa uwaziri, aliahidi kuwafanyia wana bumbuli kazi waliyomtumia bungeni. Wengine wamemuita JM mnafiki na msaliti wengine wanamuona kama kijana mwenye ndoto kubwa

Kumekuwepo mvutano, wa vuta nikivute kati ya ngeleja na makamba Jr. Mara Barua, mara kukingiana kifua, mara rushwa. Haya yote kwa mtizamo wangu yanafanywa ili kuonyesha uwezo mdogo wa Bwana ngeleja katika wizara ya nishati na madini, na uwezo wa JK katika uteuzi wake wa mawaziri. Wachambuzi wengi wa kisiasa wamekuwa wakitoa lawama nyingi dhidi ya JM kwamba ni kibaraka wa mafisadi na mtu mwenye ubinafsi mkubwa. Lakini mwisho wa siku yote ni maneno, ila ujumbe mzito ni kwamba

1. Amedhiirisha wazi, na anaendelea kuudhiirishia umma kwamba JK hana uwezo wa kuiongoza nchi
2. Ameamua kumtumia taarifa JK kwamba nafasi yoyote anaweza kuipata bila usaidizi wake JK

glam_pro.png
 
Sridi hii imetumwa toka BUMBULI,hali ya hewa si nzuri so imekuja na mikwaruzo,heading ndo imeathrika sana
Mbona sikupati vizuri? Naona kama maelezo na kichwa cha habari zinatofautiana. Pengine ni jinsi ninavyoona
 
Kwa mimi JM namuona mnafiki kwani yeye anaonyesha ubinafsi mkubwa, lakini niende mbali zaidi huwezi kuwa mwandishi wa habari wa rais bila kuwa mtu wa Jack Zoka hivyo huyu dogo amesaliti serikali kwa kutake advantage ya kufahamu mambo mengi kisha kuyatumia kwa manufaa binafsi na siyo nchi. Ni kweli ni mtu mwenye kisasi na kukosa kwake uwaziri imekuwa kero lakini anaogopa kuasi moja kwa moja, mara ajisheue barua bora tu apewe madaraka lakini mwisho wa yote dogo ni mdomo wa mafisadi tangu atoke ikulu.
 
Kwa kiasi kikubwa nakubaliana na thread hii. Kumekuwepo na tabia ya JM kuongelea uovu wa Wizara kwenye vyombo vya habari na mwanzoni mwa bunge huyu JM alikuwa kama ndio Waziri wa Nishati, Mkurugenzi wa Tanesco na msemaji wa sherika vyote kwa pamoja. Kuna kila dalili huyu kijana anatumia tabia ya wanasiasa wa Marekani ya ku-leak habari kwenye vyombo vya habari halafu hata ukihojiwa unasema 'siwezi kuengelea'.

Tunakumbuka 'ile barua', ikaja kauli kwamba wizara haionekani wakati wa vikao vya kamati ya bunge, hapa katikati akasema hamlaumu Ngeleja ili tatizo la umeme ni la siku nyingi, then akasema siasa ndio tatizo, wakati wa Dowans akajitwisha ukuu wa kuwasha au kutowasha mitambo, sasa tunasoma habari kuwa kamati yake imehongwa na watendaji wa wizara na according to hiyo taarifa kachukizwa sana. Fitna, calculating dangeous & ly ambitious!
 
Hii nchi nafikiri labda tungechelewa kupata uhuru tungekuwa mbali. Yaani mpaka sasa sijaona faida kuwa na nchi huru eti miaka 50!
 
Duh kweli JF ina vichwa yaani hii thread inaeleweka na watu wanaijadili?!
 
NAUNGANA NA WENZANGU HAPO

Kichwa cha habari na contents vimepishana mno. East and West.

Namshauri muanzilishi akajifunze kutoka other threads, sio tu kutuwekea vitu songombingo.
 
Imetoka BUMBULI.......na amesema wanabumbuli wanaidai wilaya Yao
NAUNGANA NA WENZANGU HAPOKichwa cha habari na contents vimepishana mno. East and West.Namshauri muanzilishi akajifunze kutoka other threads, sio tu kutuwekea vitu songombingo.
 
1 Reactions
Reply
Back
Top Bottom