Iran To Help Development of Tanzania and Zanzibar Agriculture | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Iran To Help Development of Tanzania and Zanzibar Agriculture

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by X-PASTER, May 16, 2009.

 1. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #1
  May 16, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Iran to help development of Tanzania and Zanzibar agriculture

  Service: Foreign Policy
  1388/02/23
  05-13-2009
  11:02:14


  Iran’s First Vice President Parviz Davoudi who returned to Tehran Wednesday morning after a 6-day tour to South Africa, Tanzania and Zanzibar said Iran is to establish agricultural jihad offices in Zanzibar City and Dar es Salaam

  Davoudi has met Tanzanian President Mwalimu Julius Nyerere and the two sides reviewed bilateral and international topics, private sections investment and their common stances in global scene

  Davoudi has also met merchants and businessmen in Zanzibar and has discussed increase of trading volume and private section investments

  His tour to Africa started with a visit to South Africa in order to attend the new President, Jacob Zuma, sworn in ceremony on behalf of President Mahmoud Ahmadinejad.

  On the sidelines of the ceremony he has met Premier of Cuba, Lesotho’s King, Swaziland’s King, Presidents of Angola and Zimbabwe and India’s Vice President and has hold talks and reached agreements that should be pursued.

  Source: ISNA - 05-13-2009 - 88/2/23 - Service: / Foreign Policy / News ID: 1337186
   
 2. E

  Emma M. JF-Expert Member

  #2
  May 16, 2009
  Joined: May 15, 2009
  Messages: 207
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  x-Pastor,
  I doubt if Iran's intention to bust Agriculture in Tanzania will work.
   
 3. Exaud J. Makyao

  Exaud J. Makyao JF-Expert Member

  #3
  May 16, 2009
  Joined: Nov 30, 2008
  Messages: 1,523
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0
  Historically, Iran is never agricultural.
  Any way lets see.
   
 4. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #4
  May 17, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  May be this time will work, wanaweza kufanikiwa. Nakumbuka waliwahi kuwa na mashamba ya mpunga kule Rufiji, na sijui yameishia wapi!

  That's why they seek for green pasture.
   
 5. Omutwale

  Omutwale JF-Expert Member

  #5
  May 17, 2009
  Joined: Feb 4, 2008
  Messages: 1,429
  Likes Received: 82
  Trophy Points: 145
  Nilifikiri ni waberbeigi na hadzabe tu ndo bado wanafikiri Mwalimu Julius Nyerere ndiye Rais wa Tanzania kumbe hata katika anga za kimataifa kuna nchi bado hawajuhi sasa tunaongozwa na vijana wa magogoni!!

  Tunayo kazi kubwa kujitangaza!
   
 6. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #6
  May 17, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Duh!!!..nilikua sijaiona hio.Jamani kweli kazi ipo!
   
 7. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #7
  May 17, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Labda kwa kuwa mwandishi alisikia Watz wakimwita rais wao kwa jina la JK akahisi ndio Julius Kambarage... (my guess)! Tusubiri tuone!

  Swala la kujitangaza nalo nahisi lipewe kipaumbele. Hivi wizara ya mambo ya nje na ile inayoshughurikia mambo ya Utalii sijui inafanyakazi gani. lol!

  Labda nazo zinaitaji wawekezaji!
   
 8. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #8
  May 17, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Mkuu,

  At the end of the day watafaidi wao.Hizi agricultural projects zimeanza kua the 'in thing' miongoni mwa hizi nchi ya kiarabu.

  Kumbuka kuna miradi kama hii kule Sudan ya kupanda mpunga.

  Kenya nao wameingia mkataba kama huu and so Tz is just following suit.
   
 9. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #9
  May 17, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Lakini mkuu inategemea na mikataba itasema nini, kama mkata ni kulima kwa ajili yao Wairan, inamaanisha kuwa asilimia kubwa itakwenda kwao, na kama mradi ni kwa ajili ya kuwasaidia watz basi ndio watakao faidika na huo mradi.

  Tuangalie mambo yatakavyokuwa, tusianze kuwatolea maamuzi kabla.
   
 10. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #10
  May 17, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  X-PASTER,

  Cha mno ni hii mikataba imendikwa vipi na who are the signatories?

  Is it the people of the Republic of Tanzania ama individuals or private companies? Ile ishu ya Kenya ilileta utata mkubwa maana after close scrutiny it was found out that the deal was signed between the Office of the President and The Emir of Qatar Sheikh Hamad bin Khalifa al-Thani.

  Swalil likawa, since when did the Office of the President become a leasing agent maana the contract ilikua ni lease?

  Kisha katika zile dealings in terms of benefits, kungejengwa a private port in Lamu to be run by the Qatari Emir na sio the Qatari Govt in partnership with Mwai Kibaki na sio the Kenyan people.

  Huo ni mfano mmoja tu na ndio maana nasisitiza hii mikataba iwe in the open or at the end of the day Watanzania watageuzwa kua Wadanganyika.

  Shukran.
   
  Last edited: May 17, 2009
 11. X-PASTER

  X-PASTER Moderator

  #11
  May 17, 2009
  Joined: Feb 12, 2007
  Messages: 11,651
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Nakubaliana na maneno yako kaka kwa asilimia zote. Hili nalo ni tatizo la viongozi wetu, zaidi ya kutawala (kama si kuongoza) wapo pale kwa kujaza matumbo yao tu, na si kuinua uchumi wa taifa lake.

  Itafikia kipindi sasa tuwaige Wachina na baadhi ya sheria zao... ukiwa fisadi hukumu yako ni risasi mpaka ufe... basi watakaofuata heshima na adabu.

  Lakini ni nani huyo wa kusimamia mambo hayo yote, kama hata wanachi wenyewe hawatambui haki zao za kimsingi!?

  Mi nilitegemea moja wapo ya kazi za wanasiasa hususani wale wanaoitwa wapinzani wangeanzisha mikakati ya kuwaelimisha wananchi kujua haki zao, ili watambue serikali inawajibu gani kwao, nao wanawajibika vipi juu ya serikali.

  Lakini kil kukicha ni malumbano tu yasioleta tija yoyote kwa wananchi.

  Leo nimecheka nilikuwa nasikiliza BBC swahili, kule Kenya wapinzani wamesusia kwenda kwenye mazishi kisa hawakualikwa, wakati wao ndio ilikuwa sababu ya vifo hivyo kwa njia moja ama nyingine.
   
 12. M

  Mkandara Verified User

  #12
  May 17, 2009
  Joined: Mar 3, 2006
  Messages: 15,443
  Likes Received: 132
  Trophy Points: 160
  Iran Agricultural Crops and Plants:-

  The wide range of temperature fluctuation in different parts of the country and the multiplicity of climatic zones make it possible to cultivate a diverse variety of crops including cereals, wheat, barley, rice, and maize (corn), fruits:- dates, figs, pomegranates, moleon and grapes. Vegetables, cotton, sugar beets and sugarcane, pistachies (World's largest producer with 40% of the world's output in 2005) nuts, Olive, spices eg. saffron (World's largest producer with 81% of the world's total output), tea, tobacco, and medicinal herbs. More than 2,000 plant species are grown in Iran; only 100 of which are being used in pharmaceutical industries. The land covered by Iran's natural Flora is four times that of the Europe's.

  In 2005, Iran's first geneticallymodified (GM) rice was approved by national authorities and is being grown commercially for human consumption. In addition to GM rice, Iran has produced several GM plants in the laboratory, such as insect-resistant maize; cotton; potatoes and sugar beets; herbicide-resistant canola; salinity- and drought-tolerant wheat; and blight-resistant maize and wheat.
   
 13. Chapakazi

  Chapakazi JF-Expert Member

  #13
  May 17, 2009
  Joined: Apr 19, 2009
  Messages: 2,881
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 135
  How is this goin to help Tz? That's the question. Ukoloni mambo leo au vipi? Kuna mtu alishaulizaga "Na sisi tusipate kisima kimoja cha mafuta huko?"

  Kitu tunachojivunia ni land, na wao ni mafuta. Sasa itakuwa vema kama na sisi bei ya petroli ikashuka kutokana na Iran kusaidia maendeleo. Au sio?
   
 14. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #14
  May 17, 2009
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,399
  Likes Received: 432
  Trophy Points: 180
  Who told you?? Very developed Agriculture; u been to Shiraz? Do you know that wine patent sold everywhere, shiraz! Mmmmm!
   
 15. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #15
  May 17, 2009
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  hawa masikini na magaidi wa middle east tunawataka wa nini? kilimo cha nini, wanajua nini kuhusu kilimo? labda wangesema wataisaidia tz kupata silaha za masafa marefu ndo ningeona wanaongea cha maana, wanataka kupata tz as a friend kwasababu wameona dunia inawatenga?

  bora hata israel, walio badilisha jangwa kuwa kilimo bora middle east yote, ndo wanaolisha ulaya na sehemu zingine. ukienda hata china utakuta chungwa la israel, utakuwa mafuta yao ya mizeituni dunia nzima. watoke zao hapa hawa magaidi wa ahmadinejad.

  hawa ndo walioletwa kuleta ugaidi hapa bongo.kuna misikiti mingi sana naijua hapa bongo ina watu toka iran wamekuja kueneza ushia wa kiiran na siasa kali kama zile. ndo maana utakuta kitu kidogo tu cha kikristo na kiislam hapa bongo linakuwa jambo kuuubwa, kwasababu ya maextremists kama hawa wanaivamia nchi yetu.
   
 16. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #16
  May 17, 2009
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,399
  Likes Received: 432
  Trophy Points: 180
  Bob,
  Unajua WaTanzania hawaijui nchi yao, vile vile hawajui hata nchi nyingine. Wanafikiri Irani ni jangwa au ni nchi masikini. Ni nchi yenye Per Capita (Purchasing parity) over USD 12000; seldom found in Africa. Agriculture imeendelea. Ingekuwa siyo Ayatollah kuleta ile Revolution hii nchi ingekuwa par to Europe development. WaIran siyo Waarabu na ni Wasomi kweli kweli!!
   
 17. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #17
  May 17, 2009
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,399
  Likes Received: 432
  Trophy Points: 180
  Ubungoubungo,
  Usi-confuse watu hapa, labda tukubaliane tu kuwa Iran Government ina- sponsor terrorism, lakini this does not represent the people of Iran.

  Kama walivyosema hapo watu wengine projects zao in Agriculture will depend on our contracts stipulations. Let us leave politics. Ukichukua WaIran wenyewe kwanza, siyo mashabiki wa extreme Islam na ugaidi, na usishangae kuona kuwa zaidi ya 80% hawajawahi kukanyaga msikitini. Labda ungesoma history ya Iran, ambayo imebadilika kidogo sana (socially/economically) tangu 1979 wakati ilipofanyika revolution.

  Ahmenedinajadi ni famous abroad, but not popular domestically. Conflict za Iran ni kuwa wananchi majority waliwatrust cleriks kushika nchi, na hawa ma-cleriks ndiyo wameshika jeshi. Ni vigumu mno hata aje Rais gani itakuwa vigumu kuondoa hawa ma-Clericks; ndiyo maana hata Rafsanjani alishindwa kwa sababu Parliament na Macleriks walitoa upinzani kila akileta reforms.
   
 18. U

  Ubungoubungo JF-Expert Member

  #18
  May 17, 2009
  Joined: Jul 28, 2008
  Messages: 2,508
  Likes Received: 24
  Trophy Points: 135
  unaijua iran wewe? unafuatilia kweli siasa za dunia? umeshafika na kuishi walau mwezi iran? unamjua mtu unayebishana naye lakini? nina detail nyingi sana kuhusu middle east countries, mi ningesema ni more than CIA wa hapa bongo.
   
 19. I

  Interested Observer JF-Expert Member

  #19
  May 17, 2009
  Joined: Mar 27, 2006
  Messages: 1,399
  Likes Received: 432
  Trophy Points: 180
  Yes nimefika Iran, na I am a frequent visitor to Shiraz!
   
 20. Ab-Titchaz

  Ab-Titchaz Content Manager Staff Member

  #20
  May 17, 2009
  Joined: Jan 30, 2008
  Messages: 14,702
  Likes Received: 35
  Trophy Points: 135
  Duh!!!...No comment.:cool::cool::cool:
   
Loading...