Asante Jakaya Kikwete..... | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Asante Jakaya Kikwete.....

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by data, Jul 7, 2011.

 1. data

  data JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,787
  Likes Received: 6,559
  Trophy Points: 280
  Rais huyu ni bora zaidi ya awamu zote..
  1.anaunganisha mikoa yoote ya tz kwa barabara zenye kiwango cha lami..
  2. hajayaonea aibu mafisadi anayashitaki...
  3. Ni mvumilivu mnooo.. licha kauli chafu anazozipata toka kwa watu wasiopenda maendeleo..(CDM)...hata umu JF wapo..angekua ni rais mwingine angesha funga mitandao hii ya kijamii...
  4. kigamboni daraja laaza jengwa december.... na mengine meengi mazuri anayoendelea kuyafanya...

  UMEREJESHA IMANI KWA WATANZANIA BABA.... Asante saana..
  CDM karibuni kunipinga.. viumbe msio na shukrani.....wanafiki..msio jua jema na baya..
   
 2. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  nadhani wewe ni moja ya Mafisadi unachosifia wenzio hatukioni. Kila unachosifia kilianza wakati wa Mkapa huyo jamaa yako yeye anazindua tu.
   
 3. Chimunguru

  Chimunguru JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2011
  Joined: May 3, 2009
  Messages: 9,843
  Likes Received: 270
  Trophy Points: 180
  hao mafisadi gani kawashtaki na wewe? nadhani mmeo kasafiri leo uko alone unaandika upuuzi
   
 4. King'asti

  King'asti JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2011
  Joined: Nov 26, 2009
  Messages: 27,508
  Likes Received: 2,249
  Trophy Points: 280
  hivi mnafiki maana yake ni nini? unapima maendeleo kwa kuangalia vitu? hata ndege ya rais na radar navyo ni maendeleo? kalaghabaho!

   
 5. Ibrah

  Ibrah JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 22, 2007
  Messages: 2,721
  Likes Received: 36
  Trophy Points: 145
  Mwenye macho haambiwi tazama, hakuna haja ya kampeni wala propaganda: tuna macho ya kuona, tuna masikio ya kusikia. WaTZ wanajua wanachotaka, nadhani wakikipata utajua tu; hutahitaji kupiga chepuo wala proganda zozote.
   
 6. data

  data JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,787
  Likes Received: 6,559
  Trophy Points: 280
  hamuwezi kuona maendeleo ...cdm......
   
 7. data

  data JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,787
  Likes Received: 6,559
  Trophy Points: 280
  ni kweli .. kwani kazi yake yaonekana laiv
   
 8. M

  MPG JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2011
  Joined: May 12, 2011
  Messages: 483
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nadhani wewe unawaza kwa kutumia makamasi akilli zako ni mgando unasifia vitu ambavyo havisifiki labda umsifie kuwa raisi wa kwanza anayeongoza kwa kwenda kutalii nje ya nchi.
   
 9. kholo

  kholo JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2011
  Joined: Jul 1, 2011
  Messages: 411
  Likes Received: 15
  Trophy Points: 35
  Mmmmh! Kazi ipo, kweli alama ya mwenda wazimu ni kucha chafu. Watu kama 'Data' ni janga la kitaifa.
   
 10. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2011
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Kweli kabisa aisee

  Daraja la Kigamboni ramani na hesabu zilitoka 2004, jalada likapotea 2006, WB wakatoa kopi kusaidia lakini si haba

  Wa mbili havai moja
   
 11. Paul Kijoka

  Paul Kijoka JF-Expert Member

  #11
  Jul 7, 2011
  Joined: Oct 25, 2010
  Messages: 1,400
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 135
  Na barabara za kuwapeleka waTZ kaburini kwa njaa, ukata na kila aina ya matusi ya kimaisha. Anaongonza kwa kutabasamu
   
 12. M

  Michelle Hilton Senior Member

  #12
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 26, 2011
  Messages: 141
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 33
  Asante kwa kuwapa ukwel coz watapinga mpaka wanataman kupigana na maneno
   
 13. Mabagala

  Mabagala JF-Expert Member

  #13
  Jul 7, 2011
  Joined: Nov 27, 2009
  Messages: 1,465
  Likes Received: 42
  Trophy Points: 145
  wewe ni data kama jina lako! data ya kudata akili
   
 14. data

  data JF-Expert Member

  #14
  Jul 7, 2011
  Joined: Apr 9, 2011
  Messages: 16,787
  Likes Received: 6,559
  Trophy Points: 280
  yaani sijui hawa jamaa ni wa tz wa wapi.. nahisi wengi ni wakimbizi...CDM
   
 15. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #15
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  ...in the face of ms!

  a holy crap
   
 16. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #16
  Jul 7, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Bhange mbaya sana!!
   
 17. Cha Moto

  Cha Moto JF-Expert Member

  #17
  Jul 7, 2011
  Joined: Jul 2, 2011
  Messages: 945
  Likes Received: 4
  Trophy Points: 35
  Data, hakuna anaepinga kuwa JK ni rais waTZ, lakini hayo maendeleo unayalinganisha na nini, mimi pia ni mwanachama wa CCM lakini kimaendeleo tuko nyuma kulinganisha na Nchi nyingine ambazo zimeapata uhuru miaka ya 1960, tunajua siasa sana lakini utekelezaji hakuna, hao unaowaita mafisadi waliofikishwa mahakamani ni kweli lakini tangu lini kesi yao haijaisha?

  Mbona wengine wa KAGODA na EPA bwana mkubwa anawachunia?

  Hilo daraja la Kigamboni bado ni hadithi hata nondo hazijapelekwa, hebu ndugu yangu tuwe na uchungu na nchi yetu kama kweli tunaipenda, tusishabikie tu eti kwa sababu ni CCM mwenzetu!
   
 18. makoye2009

  makoye2009 JF-Expert Member

  #18
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 12, 2009
  Messages: 2,646
  Likes Received: 500
  Trophy Points: 280
  Acha longolongo we mwana wa fisadi.

  Usifanye watu hawana akili na hawaoni. Hapa nakupa BIG NO!!!!!!!!!!!!!!!
  1. Barabara...................Nyingi zimejengwa au kuanzishwa wakti wa awamu ya 3 ya njomba Nkapa.Pamoja na ubabe wa Mkapa alijitahidi sana kuinua uchumi.
  2. Mafisadi...................Alizalisha mafisadi wengi akiwemo Kiwete mwenyewe. Kuhusu kuwashtaki Mafisadi ameshindwa kwani anachofanya ni kuwalaghai Wa-tz kuwa anawashtaki mafisadi ilhali anawalinda. Kesi zote ni viini macho. Kama kweli yuko serious basi Chenge,Lowasa na Rostam wangelikuwa ndani.
  3. Uvumilivu.................Kiwete ame-prove hana uvumilivu wowote. Kipindi chake tunashuhudia MAUAJI YA WANANCHI WASIO NA HATIA kwasababu ya kuandamana kupinga sera mbovu za CCM ya Kiwete. Mifano live ni mauaji ya Arusha,Mwanjelwa na hapa juzi Nyamongo.Kuhusu vyombo vya habari kuna mtandao wa Ze utamu ulifungiwa,gazeti la MwanaHalisi lilifungiwa na Mwananchi lilikoswakoswa kufungiwa kwa kuripoti habari za uhakika kuhusu CCM lakini CCM na Kiwete wakadai ni UCHOCHEZI!!!!!!!!!!
  4. Daraja la Kigamboni......................Hajengi Kiwete daraja hili. NSSF ndiyo wanajenga kwa fedha yao na si ya serikali kama unavyotaka utulaghai hapa ukumbini.
  5. Umeme...................................Kwa sasa nchi iko GIZANI( MGAWO) wa miezi 8 ambao umeanza Mei mpaka mwaka kesho 2012 mwezi wa 3 au zaidi kutegemea na mvua zitakavyonyesha.
  6. Uchumi.................................Mfumko wa bei hauelezeki! Leo Dola ya Kimarekani inabadilishwa kwa Tshs. 1650/= na bado inazidi kuporomoka. Hali ya Maisha kwa Wa-tz wa hali ya chini ni ngumu kuliko maelezo.
  7. n.k..............Ongezea
   
 19. Teamo

  Teamo JF-Expert Member

  #19
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 9, 2009
  Messages: 12,286
  Likes Received: 51
  Trophy Points: 145
  kesi ya balozi mahalu inamtia doa kubwa sana bosi wako data...!and if he has engineered it as a "price to pay" basi ni dhambi kubwa mno..!siamini kama ni kuwatetea walipa kodi.
   
 20. Rejao

  Rejao JF-Expert Member

  #20
  Jul 7, 2011
  Joined: May 4, 2010
  Messages: 9,239
  Likes Received: 244
  Trophy Points: 160
  Asante sana Jk, umetufanyia mengi sana!
  Tutakukumbuka daima
   
Loading...