Hivi Kikwete yupo sawa hapa? | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Hivi Kikwete yupo sawa hapa?

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Sizinga, Jul 7, 2011.

 1. Sizinga

  Sizinga JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2011
  Joined: Oct 30, 2007
  Messages: 7,923
  Likes Received: 455
  Trophy Points: 180
  Hivi anaposema tupambane kuhusu maadui 3 wa Watz yaani UJINGA, MARADHI NA UMASIKINI...
  Hivi nikweli mpaka leo Maadui ni watatu tu??Leo tuna matatizo ya RUSHWA, UFISADI, NJAA(Kwa kadri ya waziri Maghembe), AJIRA na mambo mengine mengi. Huyu Rais yupo zama gani??

  Halafu anaposema Tatizo la Umeme sio la Ngeleja na hivyo hawezi kujiuzuru ndio nini hasa maana? Kulindana?
  Kibaya zaidi kaendelea kutema kwamba Tatizo la umeme ni kutokana na Ukame(ukosefu wa mvua) huko Mtera!! Lol Rais, mafuriko yote haya huyaoni, ni ukame upi unazungumzia?? Mbona bwawa likijaa mnadai limeingiza tope??Au Safari nyingi nje zimekuchosha uwezo wa kufikiri??

  nahisi hapa JK kama hayupo sawa!!
   
 2. kidi kudi

  kidi kudi JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2011
  Joined: May 17, 2011
  Messages: 628
  Likes Received: 157
  Trophy Points: 60
  mkubwa haya yote anayaona kwa hakika ila jaribu kuangalia upande wa pili wa shilingi! Ni viongoz wa aina gani alionao? Hao wasaidizi wake -mawaziri- wengi wao hawana uwezo wa kuongoza vitengo walivyopewa kwani ni vikubwa kuliko uwezo wao... Na uswahiba nao unamponza!
   
 3. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 309
  Trophy Points: 180
  Ni kunukulu mambo ya zamani bila kuyafanyia edition!
  Maadui wengine wamezalishwa na utawala wake, hivyo kiutu-uzima anaona aibu kuwa'officiate kama maadui wa Taifa letu!
   
 4. Mo-TOWN

  Mo-TOWN JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2011
  Joined: Oct 11, 2010
  Messages: 1,626
  Likes Received: 138
  Trophy Points: 160
  Tatizo ni watu kutaka madaraka wakati uwezo unaeondana na hayo madaraka hawana... K

  weli rais wa nchi anaweza vipi kusema tatizo la umeme linatokana na ukame?...anyway I dont blame him hapo ndio uwezo wake ulipofikia period.
   
Loading...