Kumbukumbu ya kuzaliwa kwa TANU | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kumbukumbu ya kuzaliwa kwa TANU

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by MWANAHARAKAtii, Jul 7, 2011.

 1. M

  MWANAHARAKAtii Member

  #1
  Jul 7, 2011
  Joined: May 26, 2011
  Messages: 29
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Tunasherekea kumbukumbu ya kuzaliwa TANU chama kilichotupatia uhuru na sasa tupo na chama cha mapinduzi ccm iliyotupatia maendeleo mengi ya barabara,shule,hospital,maji,vyuo.ccm inayo mthamini mkulima na mfanyakazi! MUNGU IBARIKI TANZANIA,UNGU IBARIKI CCM ,MUNGU MBARIKI RAIS WETU MH.JAKAYA KIKWETU TUNAPOKWENDA KUADHIMISHA MIAKA 50 YA UHURU!
   
 2. PakaJimmy

  PakaJimmy JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2011
  Joined: Apr 29, 2009
  Messages: 16,236
  Likes Received: 308
  Trophy Points: 180
  Mnasherekea?
  Sisi huku tunalia machozi tukizingatia kuwa mikoa minne hadi sasa imethibitishwa kuwa na njaa mbaya sana mwaka huu!
  Nyie mnasherekea?
  Mmepata wapi umeme wa sherehe!
  Mmemwibia nani!...tuambieni!
  Mnasherekea miongo 50 ya unyonyaji?
  Mnasherekea nini, na JK ni nani!
   
 3. Bujibuji

  Bujibuji JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 4, 2009
  Messages: 35,288
  Likes Received: 22,053
  Trophy Points: 280
  Laana hizi zinazotukabili leo ni matokeo ya uchafu wa CCM.
  Tanu ya Nyerere na CCM ya leo ni sawa na mbingu na ardhi, vitu viwili tofauti kabisa
   
 4. Mosachaoghoko

  Mosachaoghoko Senior Member

  #4
  Jul 7, 2011
  Joined: Apr 19, 2011
  Messages: 137
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  mnasheherekea huku wafnyabiashara wasio kuwa na mitaji mikubwa wakikosa maeneo ya kufanyia biashara {wamachinga} huku mnasingizia kuwa ni suala la kisiasa mbona mmeshindwa kuwatatulia matatizo ya ni miongo mitano sasa
   
 5. i

  ichawinga Member

  #5
  Jul 7, 2011
  Joined: Sep 21, 2010
  Messages: 31
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  hongeleni kwa kushangilia upumbavu ,hizo hela za sherehe si mngepereka kununulia mafuta mazito ya kuendeshea mitambo ya kuzalisha umeme, hivi mlitumia umeme gani katika kusheherekea nilimwona jakaya kaona hata noma pale aliopo bonyeza kitufe cha kuwasha taa, mnawasha taa kwenye ukumbi wakati mawodini hata kibatari hamna Nape bwana kwa mwbembwe. haya bwana waakati wenu na nyie ukifika mtasikia mnaenzi kujivua gamba nchi hlii we acha tu..........
   
 6. LordJustice1

  LordJustice1 JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 19, 2011
  Messages: 2,264
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 0
  Jamani TANU ilishakufa, sasa mnapata wapi ujasiri wa kuifufua? Mmeshaona wananchi hawana appetite na magamba mnabadili tune sasa?
   
 7. F

  Froida JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2011
  Joined: May 25, 2009
  Messages: 7,900
  Likes Received: 1,328
  Trophy Points: 280
  Nendeni hata katikati ya bahari mukasherehekee muna laana nyie watu kila siku watu wanakufa kwa kukosa dawa wengine wanauliwa na polisi wakidai haki wengine kuliwa na mamba kwa kukosa visima vya maji wengine wanakufa kwa kubabuka ngozi kunywa maji ya sumu ya madini ,wengine wako kwenye ukame wa kutisha nyie munakunywa na kunya endeleeni tuuu kuna siku mtakuja kuvitapika
   
 8. F

  FredKavishe Verified User

  #8
  Jul 7, 2011
  Joined: Dec 4, 2010
  Messages: 1,090
  Likes Received: 18
  Trophy Points: 135
  Hv swali ni ccm ndo inajenga barabara o kodi zetu hebu mtu aniambie maana wananch wanadanganywa sana hapa
   
 9. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mnasherehekea wakati huu' Huku vijana wa UDOM wengi wao (Social science & Humanities na Informatix (wote)) wakiwa makwao kwasababu walidai hela ya field na fucult requirement serikalini wakawa wametenda kosa la jinai wakafukuzwa chuoni na hata mwaka wa3 social waliorejeshwa kufanya mitihani wengine wamekosa hela za kulipia madeni yao wameambiwa wasubiri mwezi wa 9,mnasherehekea wakati serikali yenu imepelekwa mahakamani na TUCTA kwa kuleta dharau kwenye kima cha chini kwa wafanyakazi wa secta binafsi! Mnasherehekea wakati walimu wanaidai serikali bilion kadhaa....NINI SASA?! Mfumuko huu wa bei za vyakula nyie mnasherehekea?! Zaidi ya 50% ya wanafunzi wa o-level wanafeli mnasherehekea tu?
   
 10. W. J. Malecela

  W. J. Malecela Tanzanite Member

  #10
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 15, 2009
  Messages: 13,616
  Likes Received: 1,908
  Trophy Points: 280
  - Kuzaliwa kwa TANU mpaka kufikia CCM, kuna makosa mengi tumeyafanya collectively as a nation, tatizo letu kubwa ni kwamba hatupendi kuongelea tulipoanza kukosea badala yake tunatafuta sana majibu rahisi rahisi sana, tufike mahali tujadili tulipoanza kukosea bila kukwepa responsibility yetu wananchi na viongozi wetu, ndio tunaweza kulisaidia hili taifa!

  - Mtoto umleavyo ndivyo akuavyo
  !

  Willie @ NYC, USA.
   
 11. Leonard Robert

  Leonard Robert JF-Expert Member

  #11
  Jul 7, 2011
  Joined: Apr 22, 2011
  Messages: 9,146
  Likes Received: 2,465
  Trophy Points: 280
  Nazan mnawatoa kafara wamachinga na walalaoi wa nchi hii kwa kuwaua kwa kuwapiga risasi ili mfanikiwe sherehe zenu za kifreemaso na majinamiz ya mkuu wa kaya aliyopewa na shekhe yaya yamlinde!
   
 12. N

  NDOFU JF-Expert Member

  #12
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 23, 2009
  Messages: 656
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  Mnasherehekea wakati serikali yenu imepandisha bei ya mafuta ya taa ili kulinda matajiri wenye magari wasichakachuliwe mafuta wakati inajua zaidi ya 85% ya wa tz wanatumia mafuta ya taa kama umeme wao maa Umeme wa Tanesco umewafikia wa tz kwa 15% tu! Hamna aibu hebu ona wataalamu wa wizara ya afya wanavyofungia zahanati na hospital za serikali huduma mbovu nyie mnasherehekea?! Zaidi ya watanzani milion 12 wanaishi chini ya mstari wa umasikin mnasherehekea,zaidi ya 80% ya maeneo Tanzania hayajapangwa ndo maana vita vya machinga na mama ntilie haviishi nyie mnasherehekea eti miaka 50 ya uhuru!Hebu toka nje ya nyumba uone vijana ambavyo wanapata taabu hawana ajira,Shirika la ndege halina ndege,train haziendi tena Mwanza,Meli ni chache MMEKUTANA KUSHEREHEKEA?!
   
 13. F

  FJM JF-Expert Member

  #13
  Jul 7, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Ukitafakari kwa makini mienendo, kauli na maandiko ya viongozi wa chama cha TANU unaweza kwa kiasi kikubwa kujenga picha ya Taifa walilokuwa wanadhamiria kujenga. Ni vigumu kuamini chama hiki cha TANU, kilichopigania uhuru wa Tanganyika, na wana wa Afrika na utu wa mwanadamu bila ya kujali rangi, kabisa au jinsia kime-evolve na kufikia mahali mweka hazina wake anakuwa Rostam Azizi! Naomba nieleweke, hapa siongelei mtu, naongelea leadership & ethics na kwangu mimi hatua ya kumpa DHAMANA ya uweka-hazina Ndugu Rostam ni 'symbol' ya collective thinking ndani ya chama juu Taifa wanalotaka kujenga!

  Natambua wakubwa wa ccm na hata wengi wa wanachama wa ccm wanajiandaa kupaza sauti za kusherehekea kuzaliwa kwa TANU, lakini nina uhakika wengi wao kama sio wote dhamira zao zitakuwa zinawahoji uhisiano wa ccm na TANU na kwa vipi wanajiona wao ndio watoto halali (legitimate child) wa TANU.. and what do they know about TANU?

  Kwa maoni yangu, TANU inaweza kuwa na mahusiano ya karibu sana na mamilioni ya Watanzania-walalahoi, waliopigika kimaisha, wauza vebiriti barabarani, mama ntilie, wamachinga wanaopigwa na polisi kila kukicha, lakini TANU haiwezi kuwa na uhusiano na CCM ya sasa. Na ninaweza kusema the current ccm is a 'group of imposters' wasiokuwa na mishipa ya aibu wanapita barabarani mchana kweupe wakidanganya umma kuwa mzazi wao ni TANU.
   
Loading...