Jk yule msukuma aliyekuja kukutembelea kwa kutumia baiskeli- think twice | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Jk yule msukuma aliyekuja kukutembelea kwa kutumia baiskeli- think twice

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Zing, Jul 6, 2011.

 1. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #1
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  JK , Pinda na serikali ya CCM

  • Hivi mnaelewa kuborehs maisha ya watu sio lazima kila mtu afike Chuo kikuu au hata Form six.
  • Hivi mnajua sera bora ya michezo ikiwepo na ikitekelezwa itazalisha nyota na ni ajira nzuri na inaweza kuitangaza tanzania
  • Hivi mmefanya nini kusaidia watu wenye vipaji vya kukimbia, kuogelea kudesha baiskeli, kupiga kasia, etc
  • Hivi olympic ya 2012 london tutarajie medali ngapi na za michezo gani.
  • Hivi vipi yule kijana wa kisukuma ungemuwezesha kwenda kwenye mafunzo ya kuendesha basikeli ili ashiri japo Tour de france.

  Najua kutokana na ugumu wa maisha watu wengi kwa mazingira mbali mbali wamejikuta wana vipaji ambavyo vinaweza kutumika kama opprtunity ya kuuinua maisha yao zaidi. Ni kiasicha kuviendelza tu vipajihivi watu wakiwa na umri sahihi.

  Nimewahi kwenda usukumani vijijini Aisee wasukuma wanakanya basikeli si mchezo.Nakumbuka nilikodi baiskeli( Zinaitwa daladala kule) kwenda kwenye pori la mbao. ohh ukifika mlimani unamuuliza jamaa vipi nishuke anasema hauna haja ya kushuka. Mtu kabeba abiria ananedesha zadi ya masaaa hata manne.

  Arusha kuna wakimbiaji

  Pale feri magogoni naona kuna vijana wanapiga mbizi huku wakufukuzwa fukuzwa. Kwa nini hata JWTZ pale kigamboni wasijenge ka kituo cha kuwafundia watoto kuogelea profesionally siku za week end????


  CCM CCM jamani. Hao vijana mlionao wanawapa mawazo gani mapya?????

  CDM na nyie haya ndo mambo ya kufanya mkifanikiwa.
   
 2. Masanilo

  Masanilo JF-Expert Member

  #2
  Jul 6, 2011
  Joined: Oct 2, 2007
  Messages: 22,303
  Likes Received: 168
  Trophy Points: 160
  Bado wanavuta mashuka!
   
 3. Vin Diesel

  Vin Diesel JF Gold Member

  #3
  Jul 6, 2011
  Joined: Mar 1, 2011
  Messages: 8,402
  Likes Received: 738
  Trophy Points: 280
  umenena vyema mkuu...tunatakiwa tuangalie sekta nyingine ili kuinua maisha ya wananchi.
   
 4. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #4
  Jul 6, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  [​IMG]
   
 5. g

  geophysics JF-Expert Member

  #5
  Jul 6, 2011
  Joined: Nov 1, 2010
  Messages: 904
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Zing sasa wewe ndo umenena...kama mawazo haya wangekuwa nayo wengi tungekuwa mbali..... You are a great thinker...kufikiria mambo ya...mmhhh
   
 6. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #6
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  political budget ya wizara ya michezo sijui watasemaje. Business as usual
   
 7. Kibunango

  Kibunango JF-Expert Member

  #7
  Jul 6, 2011
  Joined: Aug 29, 2006
  Messages: 7,639
  Likes Received: 185
  Trophy Points: 160
  Zing:
  Kwa muda mrefu suala la vipaji na hasa vinavyotokana nje ya elimu vimekuwa vikipewa uzito mdogo, Baadhi ya wanamichezo walioweza kufanikiwa sana katika anga za michezo waliweza kuliona hilo. Nafikili wengi wanakumbuka Opereshi Bayi, Operesheni Nyambui n.k.... Hizi zilikuwa ni operesheni maalum kwa kuvuta vijana wenye vipaji vya riadha.

  Hata wakati Salim A. Salim alipokuwa waziri aliweza kuwapa nafasi nyingi wakimbiaji kwa kuwaunganisha/kuwapa ajira JKT, wengi watakuwa bado wanamkumbuka Tausi Said ambae aliwezeshwa kusoma shule ya sekondari (private) mkoani Singida kutokana na medali kadhaa alizoweza kuzinyakuwa Kimataifa akiwa bado ni msichana alie chini ya umri wa miaka 18.

  Sera ya serikali kuu ilikuwa ikiangalia kwa upande tofauti zaidi, mfano wao waliona ni bora kuendeleza vipaji vya akademiki zaidi, kiasi cha kuanzishwa kwa Ilboru kule Arusha, huku vijiji vya michezo katika uwanja wa taifa vikifa na operesheni za kina Bayi zikizikwa!.

  Hii imewafanya Watz wengi zaidi kujali kupata vyeti ili waweze kupata ajira. Wengi tumesikia kashfa kubwa kubwa za kugushi vyeti toka ngazi za Mawaziri wetu hadi wanao wania ukarani maofisini!

  Hapa chini ni wapanda baiskeli wako wa Mwanza...
  [​IMG]
   
 8. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #8
  Jul 6, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0

  Aiseee kibunago hao jamaa wa mwanza umenikumbusha mbali wakiongezewa skiil ndogo tu hata yule Les Amstrong na kina cavendish hawoni ndani. VIle vie kuna miaka jamaaa alikuwa anzunguka uwanja wa CCM krumba siku mechi wakati wa mapunziko . Alikuwa anaitwa Mang'ombe.
   
 9. Kibanga Ampiga Mkoloni

  Kibanga Ampiga Mkoloni JF-Expert Member

  #9
  Jul 6, 2011
  Joined: Aug 9, 2007
  Messages: 14,583
  Likes Received: 1,675
  Trophy Points: 280
  MCHINA KALETA PIKIPIKI ATAUA VIPAJI VYOTE HIVI!!!!! MCHINA noma!!!!!
   
 10. Zing

  Zing JF-Expert Member

  #10
  Jul 7, 2011
  Joined: Jun 24, 2009
  Messages: 1,780
  Likes Received: 21
  Trophy Points: 0
  Mkuu sijaongeala kipaji kimoja nimeongelea
  • watoto wanao ogelea feri huku wakifukuzwa fukuzwa .
  • Kuna watoto na watu wa arusha sijui ni mbulu kule kwa asili wana vipaji kwa kukimbia
  Sasa sijakusoma ukisema pikipiki itamaliza vipaji vyote. Kwanza unadhani wangapi wana huo uwezo wa kununua pikipiki huko vijijiji..

  Vipaji vingi navyoongelea hapa ni vyawatu walio mbali na miji mkuu
  .

  Kibanga vipi bado una mawazo ya kumpiga mkoloni
   
 11. Ngisibara

  Ngisibara JF-Expert Member

  #11
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 2, 2009
  Messages: 2,083
  Likes Received: 431
  Trophy Points: 180
  Hivi na yule Msukuma aliyetaka kumtupa chini JK wakati wa kampeni kule Mwanza aliishia kifungo gani? kwani kupona ilikuwa haiwezekani,
   
 12. Mtazamaji

  Mtazamaji JF-Expert Member

  #12
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 29, 2008
  Messages: 5,972
  Likes Received: 33
  Trophy Points: 0

  Mkuu huelewewi mada au uwezo wa kufikiri ndo umeishia hapo
  .


  Kweli inatakiwa sera ya michezo iboreshwe na itekelezzwe kuna vijana wengi street
   
 13. Gsana

  Gsana JF-Expert Member

  #13
  Jul 7, 2011
  Joined: Aug 28, 2010
  Messages: 4,387
  Likes Received: 348
  Trophy Points: 180
  Unaongelea yule msukuma aliyetokea pale sarenda briji na kusema katoka mwanza? Ivi kuna tairi gani ya baiskeli ya imara ya kutembea kilometa 2000 tena kwa lami? Gari ikienda mwanza na kurudi tairi utolewa na kuweka reserve alafu kutia mpya,iweje baiskeli iweje ije mpaka dar?ilikuja juu ya basi au? Uyo mtu alikuwa tajiri kiasi gani mpaka aje na spea za baiskeli mpaka dar?alitumia wiki ngapi kufika dar kama gari inaenda siku 1 mpaka 2?? nadhani usanii umezidi!
   
Loading...