Bunduki hazitamaliza matatizo yetu - Kikwete | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Bunduki hazitamaliza matatizo yetu - Kikwete

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by EasyFit, Jul 7, 2011.

 1. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #1
  Jul 7, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Niliposoma heading hii kwenye gazeti moja nilifurahi sana nikajua rais wangu umeanza kuziona kero za wananchi wako, cha ajabu niliposoma habari yake nikagundua ulikuwa huwaambii watanzania ulikuwa unawaambia watu wa Sudani na Sudan kusini kuwa risasi huwa hazitatui matatizo njia pekee ya kupata majawabu sahihi ya mvutano kati ya pande hizo ni kwa njia ya majadiliano, hata hivyo nikafikiri rais una akili sana kwa kuliona hilo.
  Ajabu rais wangu unaporudi nyumbani akili kama hizo sijui huwa unazipeleka likizo maana watu wanapigwa risasi wala sijasikia ukitoa maneno ya busara kama hayo, asikari wanazidi kuua watu bila huruma tumeshuhudia mauaji ya Arusha baadae Mbeya baadae Tarime jana tumesikia huko Mwanza na Dar es salaam asikari wakiwapiga watu risasi za kichwa sielewi kesho itakuwa zamu ya nani, rais wangu uko kimya kama hakijatokea kitu, hivi tumekukosea nini kiasi kwamba watoto wako huwajali unajali watoto wa jirani? Tuhurumie basi kama tumekukosea.

  Ziko wapi hekima ulizotumia kuwaambia watu wa Sudani, ina maana watu wa Sudani ni bora kuliko watu wa Tarime, Rais wangu kweli nasikitika sana ningekuwa na uwezo ningekuja ikulu kukuuliza hili swali kwanini uhurumie watu wa jirani kuliko watu wa damu yako?

  HabariLeo | Kikwete- Bunduki hazitamaliza matatizo yetu
   
 2. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #2
  Jul 7, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Umesahau alimuambia nini Nicholaus Mgaya ya Tukta Mwaka jana?
  Hayo ni maneno tu, yeye pia ni fan wa matumizi ya bunduki kama unavyoona.
   
 3. EasyFit

  EasyFit JF-Expert Member

  #3
  Jul 7, 2011
  Joined: Jul 4, 2011
  Messages: 1,244
  Likes Received: 105
  Trophy Points: 160
  Sikumbuki alimwambia nini Mgaya lakini hii ya Sudan kweli imenisikitisha sana.
   
 4. T

  Taifa_Kwanza JF-Expert Member

  #4
  Jul 7, 2011
  Joined: Sep 3, 2010
  Messages: 443
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 0
  Umesahau alimuambia nini Nicholaus Mgaya ya Tukta Mwaka jana?<BR>Hayo ni maneno tu, yeye pia ni fan wa matumizi ya bunduki kama unavyoona.<BR>
   
 5. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #5
  Jul 7, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,155
  Trophy Points: 280
  Wanojidai kuhamasisha na kushadidia maandamano na uvunjifu wa amani kwa matamanio yao ya kisiasa, halafu askari wanapowanyuka risasi hao wavunjaji amani wapate kusema serikali inaua, waefilisika kisiasa.

  Askari zetu wawe makini kulinda amani wakati wote na iwatandike risasi wakati wowote wanapoona kuwa wanahatarisha au kuvunja amani.

  Sheria ya Ugaidi iliyo sainiwa haraka haraka na Mkapa hapo ndio mahala pake kutumika. Ikiwa mwanasiasa anahamasisha maandamano ya uvunjaji wa amani huyo kama si gaidi ni nini? Na anaeingia mtaani akaanza kuharibu mali za raia na serikali wasio na hatia huyo kama si gaidi ni nini?

  Sheria inaturuhusu kutandika risasi hawa magaidi kwa hiyo tuwatandike tu bila mzaha.
   
 6. M

  Makupa JF-Expert Member

  #6
  Jul 7, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 2,742
  Likes Received: 67
  Trophy Points: 145
  Sidhani kama kuuwa wananchi wanaomitafutia riziki tena kwa njia halali ni sawa kama mafisadi wengeuwa kwa kupigwa risasi tanzania yenye neema inawezekana
   
 7. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #7
  Jul 7, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  hujafa hujaumbika kama hili linakufurahisha toka moyoni nakuombea kwa Mungu ndugu wako wa karibu sana apigwe risasi na kufa halafu haya maneno tuone kama utayasema,chunga sana mdomo wako hapa ni duniani serikali si kila kitu katika maisha yako na uwe na utu,wazungu wanasema never say never as long as your alive,hata raisi anaweza kuuliwa na ulinzi wote alionao sembuse wewe?angalia mdomo sio kila sehemu unaunga mkono hata upupu,
   
 8. Mamzalendo

  Mamzalendo JF-Expert Member

  #8
  Jul 7, 2011
  Joined: Dec 29, 2010
  Messages: 1,664
  Likes Received: 10
  Trophy Points: 135
  u a heartless may God forgive you, hivi wewe ni mwanamke?umezaa wewe?kama hujazaa na ni mwanamke hata kama ni mwanaume Mungu akunyime watoto,i pray u die were nobody can find you and birds eat your body,tena usiombe wafiwa wakulaani kwa maneno yako,hao wanaouliwa ni watoto wa binadamu kama wewe si wa nyama,i regret meeting u in this thread are you a witch or wizard?do you drink peoples blood?evil creature,
   
 9. FaizaFoxy

  FaizaFoxy JF-Expert Member

  #9
  Jul 7, 2011
  Joined: Apr 13, 2011
  Messages: 58,107
  Likes Received: 22,155
  Trophy Points: 280
  Aanze fujo, aharibu mali za watu, halafu waachiwe waendelee, wasidhibitiwe? Mnanshangaza! Vibaka wakiiba endiketa tu za gari mnawapiga tairi, leo hawa wanachoma magari na kuhatarisha maisha ya raia kibao, waachiwe? No.

  Tandika risasi wao na wanao washawishi.
   
 10. K

  Kaseko Senior Member

  #10
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 15, 2011
  Messages: 160
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 35
  we huna maana na kutetea ujinga, ukiona kuna tatizo sehem fulan ujue watu wamechoka, mi nimeishi mz najua hao sio vibaka ni watu waliopigika na uongozi wa serikali yao.
   
 11. F

  FJM JF-Expert Member

  #11
  Jul 7, 2011
  Joined: Apr 11, 2011
  Messages: 8,088
  Likes Received: 90
  Trophy Points: 145
  Kwa kifupi FaizaFoxy, unapingana na Rais Kikwete, na maoni yako ni kuwa risasi zitamaliza matatizo yetu! sawa Miss?
   
 12. mashikolomageni

  mashikolomageni JF-Expert Member

  #12
  Jul 7, 2011
  Joined: Jan 5, 2010
  Messages: 1,565
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Nashukuru Faiza Foxy leo umefungua jicho moja vp tukitandika risasi mafisadi na hayo mnayoita magamba hebu weka wazi maana nao wanaharibu amani na utulivu kwa kutumia vibaya/ kwa manufaa yao mali ya umma wa watz
   
 13. K

  Kahinda JF-Expert Member

  #13
  Jul 7, 2011
  Joined: Feb 5, 2009
  Messages: 849
  Likes Received: 133
  Trophy Points: 60
  Nina ungana na kauli yako FF ila nashangaa kuwa mkuki kwa nguruwe ni halali. Chenge na genge lake, Kagoda n.k wao hawasitahili risasi?
  Kikwete amewaambia wa sudan kuwa risasi si suluhisho na wewe mshawishi wa kikwete kwa hilo unasemaje.

  Nina imani unatumwa na una shughuli maalumu kwenye hili jamvi, lakini ingekuwa busara kwako kutoa mchango unaojenga kwa manufaa ya jamii.
  Nasikitika kusema kwamba kwa sasa jamvi hili limeanza kupoteza umaarufu, kwani mulio wengi humu mko kuwakilisha vyama vyenu vya siasa baadala ya kuchangia hoja zenye manufaa ya Taifa.
   
 14. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #14
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Na yule aliyeiba taulo gesti mbona ulimtetea kwa nini hukushauri atiwe tairi shingoni
   
 15. Mhadzabe

  Mhadzabe JF-Expert Member

  #15
  Jul 7, 2011
  Joined: May 20, 2009
  Messages: 1,649
  Likes Received: 715
  Trophy Points: 280
  TAFADHARI USINITAFUTIE BAN KUTOKA KWA paw!
   
 16. Donyongijape

  Donyongijape JF-Expert Member

  #16
  Jul 7, 2011
  Joined: May 28, 2010
  Messages: 1,451
  Likes Received: 180
  Trophy Points: 160
  hahaha..u made my night man!
   
 17. Bramo

  Bramo JF Bronze Member

  #17
  Jul 7, 2011
  Joined: Oct 21, 2009
  Messages: 9,457
  Likes Received: 2,504
  Trophy Points: 280
  We kweli ni FOXY (Mbwa Jike), Kila Dume likija twende....Moods Moods Moods Nilindeni,kwa Post za Huyu Foxy Nahis mtanipa BAN,ila Naomba Mnivumilie kwa Hili
   
 18. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #18
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  EasyFit

  Lazima atetee amani atakakokimbilia tutakapo mkurupusha
  watu wa Mwanza au Mbeya hawana thamani kwake tena wameshampa kura basi
  afterall hagombei tena.
   
 19. Mag3

  Mag3 JF-Expert Member

  #19
  Jul 7, 2011
  Joined: May 31, 2008
  Messages: 9,094
  Likes Received: 6,188
  Trophy Points: 280
  Iko siku mwali atatolewa nje na wana JF wataujua ukweli wa who, what and where is FaizaFoxy ! Trust me, hakuna mwana JF atakayeshtuka tena na huu upuuzi wake. Hivyo ndivyo alivyo/walivyo - the guilty are always afraid na safari hii wameshikwa pabaya.
   
 20. Feedback

  Feedback JF-Expert Member

  #20
  Jul 7, 2011
  Joined: Mar 14, 2011
  Messages: 7,944
  Likes Received: 358
  Trophy Points: 180
  Kwa hiyo umeona bora rais wako awashauri magaidi wa Sudani wakae wazungumze ila wa ndani wapigwe risasi
  huna lolote kwanza kamkumbushe Nepi bado siku mbili abakie uchi wa mnyama.
   
Loading...