Kumbe shida ni ngome za CHADEMA wala si vinginevyo

Lunyungu

JF-Expert Member
Aug 7, 2006
8,873
1,894
Wakuu habari zenu .
Usiku huu nime bahatika kusema na mkubwa mmoja huko serikalini akiwa amechukia aliitwa kwenda kwenye matukio ya mauaji ya Mwanza , ghafla wamesitisha safari .Nikamuuliza kwa nini wanakimbilia kwenye mauaji na hawachukui hatua za kuacha kuwaua wananchi kasema unajua mkuu Lunyungu shida ni serikali kuwa na hofu Chadema imeweka ngome na zinaongezeka.Wanadhani kutumia risasin kutawafunza wanao ikataa CCM .Nikamuuliza ni sahihi serikali kumwaga damu kwa njia hizi na kuongopa akasema ni power struggle .Upinzani na hasa Chadema wamekubalika imekuja kama shock wao walitegemea CUF kumbe chadema ni wabaya zaidi kwa watawala so ndiyo hayo mnayo yaona leo .Kataja ngome za Chadema ni Kilimanjaro , Arusha ,Mbeya , Iringa na sasa zinaelekea Shinyanga na Dar iko nusu kwa maana ya wabunge walivyo lakini akasema Dar ni kutangaza matokeo kwa nguvu CCM haikubaliki . Mkuu huyu anayajua na kumbe wote wanayajua ila ndiyo hivyo madaraka .

Nawasilisha kwa ufupi
 
Na zitaongezeka ngome. Bado Lindi na Mtwara hata Iringa. Wape pole watawala kutoka kwa watawaliwa!!
 
Sure they know better .Na hasa pale wanaposhindwa kuwapata watu 2 pale .Mbowe na Slaa . Maana wanawatafuta mno wawape cha juu lakini wale watu pamoja na uanadamu wao wana mapungufu lazima ni wa kujivunia kabisa .Wako imara na hapo wanaogopa sana .
 
Wakuu habari zenu .
Usiku huu nime bahatika kusema na mkubwa mmoja huko serikalini akiwa amechukia aliitwa kwenda kwenye matukio ya mauaji ya Mwanza , ghafla wamesitisha safari .Nikamuuliza kwa nini wanakimbilia kwenye mauaji na hawachukui hatua za kuacha kuwaua wananchi kasema unajua mkuu Lunyungu shida ni serikali kuwa na hofu Chadema imeweka ngome na zinaongezeka.Wanadhani kutumia risasin kutawafunza wanao ikataa CCM .Nikamuuliza ni sahihi serikali kumwaga damu kwa njia hizi na kuongopa akasema ni power struggle .Upinzani na hasa Chadema wamekubalika imekuja kama shock wao walitegemea CUF kumbe chadema ni wabaya zaidi kwa watawala so ndiyo hayo mnayo yaona leo .Kataja ngome za Chadema ni Kilimanjaro , Arusha ,Mbeya , Iringa na sasa zinaelekea Shinyanga na Dar iko nusu kwa maana ya wabunge walivyo lakini akasema Dar ni kutangaza matokeo kwa nguvu CCM haikubaliki . Mkuu huyu anayajua na kumbe wote wanayajua ila ndiyo hivyo madaraka .

Nawasilisha kwa ufupi

mbona shinyanga zamani tu.
 
Back
Top Bottom