Wanaopinga maandamano ya CHADEMA hawaijui historia ya Tanzania

ibange

JF-Expert Member
Dec 31, 2010
1,543
550
nimevutiwa sana na kuonyeshwa kwenye taarifa la tbc matukio ya zamani maandamano makubwa ya kulaani mauaji ya karume. Tz tangia zamani tumekuwa tunafanya maandamano ya kuunga mkono au kupinga mambo fulani. je, leo chadema wanavyofanya maandamano ya kupinga kupanda bei holela na mambo mengine ya msingi tatizo nini? wanaopinga ni waoga maana maandamano hata kabla ya uhuru yametumika sana kuwapa watz umoja na uzalendo
 
Hawa wabunge wa kulala na kuzinduka na kuunga hoja 100%, unafikiri wanasoma historia. Disco saa ngapi na kusoma saa ngapi. Maandamana ni njia ya kawaida kuonyesha au kuhamasisha mabo mengi tu, sio katika siasa tu.
 
ibange! hata mimi kwa upande wangu nimefurahi sana kuona TBC wakionesha maandamano yaliofanyika kipindi hicho cha kulaani mauaji ya karume sasa Chadema wakiandamana kupinga maisha magumu wanasema wanachochea vurugu sasa tuwaulize huko nyuma vipi waliokuwa wanavunja amani pia......
 
Back
Top Bottom