Jukwaa la Siasa

Tanzania's Political Forum. Hakikisha hoja unayoiweka hapa ni ya kisiasa kweli!

On JF:

Kwa vyovyote hiki kitakuwa kiburi tu, mtoto akianza kudharau wazazi mwisho wake unakuwa mbaya. Kitendo cha serikali kuwakaanga wananchi waliowapa kura kwa kupandisha gharama ya mafuta ya taa ni...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Kwa mara ya kwanza toka namsikia Mheshimiwa Zungu leo kaongea kama Mzalendo,UNYAMBILISI makampuni ya simu yanayowatendea watanzania. Anasema Taifa limekuwa SHAMBA LA BIBI,kwenye REVENUE WATCH...
1 Reactions
42 Replies
4K Views
TBC hapa kuna Waziri anatumia muda mrefu kweli kwenye majumuisho ya Wizara yake... anataja waheshimiwa kibao waliochangia kwenye majadiliano, kwa majina...na kumalizia..Mheshimiwa...
6 Reactions
36 Replies
3K Views
Dear CDM chairman and secretary! I am moved with your strategy to cause hard time to CCM!! I was a ccm fun for the past twenty years but now I am starting to re-think about my future with this...
0 Reactions
12 Replies
2K Views
Kwa mujibu wa vyanzo vyangu vya taarifa, Bashe amepata ule wasaa aliokuwa akiutamani na ambao ulimponyoka bila yeye kutarajia-kuingia mjengoni. Vyanzo vinasema kuwa Rostam anahakikisha kuwa jimbo...
0 Reactions
50 Replies
5K Views
Ndugu zangu, Wahenga walinena; " Baniani mbaya, kiatu chake dawa!". Na kuna kisa nilipata kusimuliwa. Ni kisa cha mwandishi wa habari wa Kitanzania aliyekamatwa na makachero wa Idi Amin mpakani...
0 Reactions
19 Replies
2K Views
Salaam wanaJF! Katika siku za hivi karibuni television ya TBC1 imekua na kipindi kiitwacho Enzi Hizo; kipindi ambacho kinarushwa wakati wa taarifa ya habari ya saa 2 za usiku. Toka nimeanza...
0 Reactions
0 Replies
863 Views
chama cha wanainchi cuf kitazindua kampeni zake za kueneza mtandao wa chama mkoani tabora mwezi huu wakazi wa tabora mjini na viunga vyake wakae tayari kuupokea ugeni wa kitaifa kuanzia sasa. kwa...
0 Reactions
5 Replies
1K Views
Watanzania wenzangu, Nimeisoma kwa kuirudia KATIBA yetu ya sasa ya JMT sijaona mahala popote panapompa Mbunge wa Bunge la Jamhuri yetu nafasi ya kuacha Ubunge kwa kujiuzulu kwa hiari yake kama...
0 Reactions
55 Replies
5K Views
Hivi kweli wana cdm twaweza tumia mbinu zipi tukaweza kulitwaa jimbo la Igunga? Wana igunga wameonyesha chuki za wazi dhidi ya ccm kuwa siasa za fitina ndani ya chama hicho tawala zimepelekea...
0 Reactions
1 Replies
927 Views
CCM: Kwa sababu ya 'siasa zao uchwara' wamesababisha mbunge kipenzi wa wananchi wa Igunga ajiuzulu. CDM: Walikuwa wa kwanza kumtangaza RA fisadi, wameendelea kumbana na kuibana Serikali imfikishe...
0 Reactions
7 Replies
2K Views
Poleni ndg zangu kwa kero ya umeme,ama kwel watanzania tunavumilia mengi,watanzania wengi hatupendi kujua mambo au hata kama tunajua basi tunapenda kujua kwa juu juu tuu ili hali...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tunamngojea mzee wa Monduli Ndg EL ajivue gamba naye! Patamu hapo......pples...!
0 Reactions
59 Replies
6K Views
Nimezunguka jana na leo karibu kila nilipotembelea nimesikiliza watu katika makundi kwa furaha au huzuni wakizungumza kuhusu dhana ya kujivua gamba kwa wanachama na viongozi wa CCM. Katika hili...
1 Reactions
7 Replies
2K Views
Nimemsikia Ndugu Shamhuna akilieleza Baraza la Wawakilishi Zanzibar , kuwa suala la mafuta ni la uchumi wa zanzibar na halina uhusiano na muungano. Kwa hiyo litatolewa katika shughuli za muungano...
0 Reactions
7 Replies
1K Views
Tanzania tumepata pigo baada ya kiwanda cha san flag cha mjini Arusha kuamua kupunguza wafanyakazi 3,000, hii ni baada ya kuwa wanapata umeme saa 6 kwa siku huku wao wakidai mitambo yao huanza...
2 Reactions
24 Replies
2K Views
Hizi ni tetesi,... kwamba shibuda anaweza kujiuzuru ubunge na kuipondea chadema kwa sana ili apate nguvu za kurudia ccm tofauti na pale atakapo ondoka chadema kwa kufukuzwa,... Its time,either...
1 Reactions
56 Replies
5K Views
Ndugu waziri wa Ulinzi, (na serikali kwa ujumla) tafakari zaidi kabla ya utekelezaji wa Mujibu wa sheria JKT. Kutokana na hali ya uchumi ulivyo, itakuwa vigumu kuwalea watoto wetu huko jeshini...
0 Reactions
0 Replies
2K Views
This is happening in 2011:- Greece Cannot Be Saved: If Italy and Spain Follow, So Goes the Entire EU "If a reconstruction plan does not come soon, Europe's leaders will be charged with 'the...
0 Reactions
1 Replies
1K Views
Wanazi wa chadema napenda kujuwa mmefikia wapi kuhusu: 1) Muafaka wa Arusha na wakili wenu bwana Marando uchunguzi wake umefikia wapi? au maji ya shingo? maana nilisikia Maalim Seif katika...
0 Reactions
0 Replies
1K Views
Back
Top Bottom