Kiburi hutangulia maangamizi | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Kiburi hutangulia maangamizi

Discussion in 'Uchaguzi Tanzania' started by oba, Jul 14, 2011.

 1. oba

  oba JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 307
  Likes Received: 8
  Trophy Points: 35
  Kwa vyovyote hiki kitakuwa kiburi tu, mtoto akianza kudharau wazazi mwisho wake unakuwa mbaya.
  Kitendo cha serikali kuwakaanga wananchi waliowapa kura kwa kupandisha gharama ya mafuta ya taa ni nini kama siyo kiburi?kwamba serikali imeshindwa kudhibiti wachakachuaji wachache wa dizel na kuwabebesha wakulima ambao ni 80% ya wanachi wote gharama; je nini kama siyo kiburi?kitendo cha serikali kuendekeza uzembe wa kutochukua hatua dhidi ya wachakachuaji wa mafuta si kuendekeza mchezo ule ule wa kulindana? hii ni nini kama siyo kiburi? serikali inasema; wananchi wenyewe maskini watatufanya nini?kwanza tuliingia madarakani kwa nguvu zetu watatufanya nini? uchaguzi ukifika tutawapelekea kanga na vitambaa, by the way, watakuwa wameshasahau issue ya mafuta- kura tutapata tu.
  Mimi nasema kiburi hutangulia maangamizi.
  Nawasilisha!
   
Loading...