JF member: Tusipotoshe ukweli kuhusu TANESCO na Mgao wa umeme | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

JF member: Tusipotoshe ukweli kuhusu TANESCO na Mgao wa umeme

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by mwakichi, Jul 14, 2011.

 1. mwakichi

  mwakichi JF-Expert Member

  #1
  Jul 14, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 420
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  Poleni ndg zangu kwa kero ya umeme,ama kwel watanzania tunavumilia mengi,watanzania wengi hatupendi kujua mambo au hata kama tunajua basi tunapenda kujua kwa juu juu tuu ili hali inatakiwa/inatulazimu kujua kwa undani.

  MFANO
  Tatizo la umeme siyo makosa ya Tanesco bali ni serikali kwa ujumla kwan hili shirika la umma lipo chini ya serikal na hata mikataba yote inayoingia mwanasheria mkuu wa serikal anahusika zaidi/anasikilizwa kupita wanasheria wa shirika.mtendaji mkuu wa shirika anateuliwa na rais,leomnataka kulisema shirika limeshindwa kufanya kazi..Tanesco ndo shorika la kwanza kwa mapato nchini lkn fedha zote zinaenda hazina halafu Tanesco inasubiria mgao wa fedha,kinachotakiwa ni kulaani serikali kwa kuinyima uhuru Tanesco katika kutimiza majukumu kama shirika huru na siyo kulisema kwamba limekosa dira,limefiulisika au haliwezi kazi..
  kazi kwenu
   
 2. THINKINGBEING

  THINKINGBEING JF-Expert Member

  #2
  Jul 14, 2011
  Joined: Aug 9, 2010
  Messages: 2,726
  Likes Received: 854
  Trophy Points: 280
  Kuna ukweli ndani yake.
   
 3. Saint Ivuga

  Saint Ivuga JF-Expert Member

  #3
  Jul 14, 2011
  Joined: Aug 21, 2008
  Messages: 39,450
  Likes Received: 19,821
  Trophy Points: 280
  wewe ni nani kwenye tanesco?
   
 4. mwakichi

  mwakichi JF-Expert Member

  #4
  Jul 14, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 420
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  mimi cyo yeyeto ktk tanesco lkn nlijiuliza sana tatizo ni nini?nkagundua serikali ndo tatizo
   
 5. Njowepo

  Njowepo JF-Expert Member

  #5
  Jul 14, 2011
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 9,296
  Likes Received: 381
  Trophy Points: 180
  Leave alone tanesco kuna ewura very toothless,wapo tazara na trc ubovu wa makampuni yote hayo wa kulaumiwa ni serikali bse ndo inachangia kwa kiasi kikubwa kudidimiza hayo mashirika
   
 6. Mtanzania haswa

  Mtanzania haswa JF-Expert Member

  #6
  Jul 14, 2011
  Joined: Oct 31, 2010
  Messages: 665
  Likes Received: 7
  Trophy Points: 35
  ukweli huu jamani
   
 7. koo

  koo JF-Expert Member

  #7
  Jul 14, 2011
  Joined: Mar 9, 2011
  Messages: 258
  Likes Received: 2
  Trophy Points: 35
  Ndugu yangu acha kuchekesha mtendaji mkuu wa tanesco anafanya usahili na kuajiriwa kwa mkataba. Hapa hatuwezi kulaumu serikali tukaiacha tanesco wote wanabeba lawama kwani kama tanesco ingeona serikali inafanya ndivyo sivyo ingekataa ikilazimishwa basi mkurugenzi angeachia ngazi kupinga udhalimu wa wizara lakini kubaki madarakani inamaana unaunga mkono mambo yanayotendeka Tanesco nishirika lililokosa mwelekeo halina mipango zaidi ya kucopy na kupest mambo yakale kama shirika hili halita vunjwa na kuundwa shirika la usambazaji na shirika la uzalishaji umeme matatizo hayatakwisha. watendaji wengi wamejikita katika kukusanya mapato kwani wanavyo kusanya kingi ndivyo wanavyopewa mgao mkubwa wa matumizi mengine yaani (OC) Tanesco imeacha kuzalisha kwani wanaona nikazi ya hasara wanasambaza zaidi na kukusanya mapato kuliko kuzalisha umeme wakutosha na hii nimoja ya sababu ya nchi kwenda gizani ndugu MWAKICHI ACHA KUDANGANYA NA KUPOTOSHA UMMA
   
 8. mwakichi

  mwakichi JF-Expert Member

  #8
  Jul 14, 2011
  Joined: May 14, 2011
  Messages: 420
  Likes Received: 23
  Trophy Points: 35
  hamna habari za kupotosha hapa..kwan C.V za mtendaji wa Tanesco zinapelekwa wapi?bodi hua inachagua lkn rais ndo mwenye maamuz ya mwisho,mfano bpdi ilimchagua dr idrisa lkn kulingana na mazingira ya kazi dr idrissa akawapa masharti na moja ya sharti ni kutoingiliwa na serikali katika utendaji,nin kilifatia,walimpiga chini dr na kipenzi cha wengi ktk shirika..kumbuka sakata la dr idrissa na lowassa kipindi akiwa mtendaji mkuu wa shirika
   
Loading...